0 votes
670 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
“Akisa! Akisa! Mbona huitiki! Njoo hapa upesi!” mama alimwamrisha.
Andika kwa usemi wa taarifa:

1 Answer

0 votes
by
Mama alimwita Akisa mara mbili na akashangaa (akastaajabu) ni kwa nini hakuitika kisha akamwamrisha aende pale (alipokuwa) upesi.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...