0 votes
1.7k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Andika katika usemi wa taarifa:-
"Tutaanza mashindano kesho," Mwalimu alimwambia mwanafunzi.

1 Answer

0 votes
by
Mwalimu alimwambia mwanafunzi kuwa wangeaza mashindano kesho yake/ siku itakayofuata
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...