0 votes
454 views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Andika katika usemi wa taarifa:  

“Hicho kijicho cha paka cheupe leo marufuku kwangu” alisema Mzee Kambumbu

1 Answer

0 votes
by
Mzee kambumbu alisema kuwa hicho kijicho cheupe cha paka kilikuwa marufuku kwake siku hiyo.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...