Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Kenga alichangia pakubwa msiba wa Wanasagamoyo. Thibitisha kwa hoja zozote kumi.
0
votes
1.7k
views
asked
Jul 2, 2021
in
Kigogo
by
anonymous
Kenga alichangia pakubwa msiba wa Wanasagamoyo. Thibitisha kwa hoja zozote kumi.
tamthilia
kigogo
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 2, 2021
by
anonymous
Kutoa ushauri mbaya kwa Majoka km kufunga soko na watu wengi walilitegemea.
Kuzorotesha usalama- alihutubia wahuni pale chini ya mbuyu na aliwatumia kuvuruga usalama. Alikuwa akipanga njama fulani.
Kupiganisha raia/ kufunga raia bure. Anamwambia Majoka aite Husda ofisini ili pakitokea vurugu kati ya Husda na Ashua, asingizie Ashua na kumtia ndani.
Kupendekeza wanaharakati wadhulumiwe- wanaharakati wawekewe vidhibiti mwendo na basi Majoka akawafukuza wafadhili na hivyo kulemaza upiganiaji haki.
Kupendekeza polisi watumie nguvu dhidi ya waandamanaji. Majoka basi akaamuru polisi watumie nguvu zaidi na kukatokea vifo.
Kupendekeza mauaji – ya wapinzani kama vile Jabali. Ya wanaharakati Tunu na Sudi kwa kupinga uongozi mbaya wa Majoka./ ya Chopi kwa sababu Majoka alisema Chopi anajua mengi kuliko inavyostahili.
Anaunga mkono udikteta- Majoka anapotaka kumrithisha Ngao Junior uongozi, Kenga anasema jambo hilo linafaa nah ii inanyima raia nafasi ya kuchaguana.
Kupendekeza runinga ifungwe na iadhibiwe kwa kupeperusha maandamano ya raia jambo amabalo lingeharibia sifa uongozi wa Majoka. Anasema Runinga ya Mzalendo ichukuliwe hatua lakini kituo cha Sauti ya Mashujaa kibakie.
Kutopinga miradi isiyo na faida na hata kuisimamia. Anafanikisha mradi wa kuchonga ambao unafilisi nchi na raia watalazimika kulipa deni kwa miaka mingi.
Kukubali kugawiwa ardhi ya umma. Majoka anamgawia kipande cha ardhi cha soko la Chapakazi alichonyakua.
Kufanikisha ubomoaji wa vibanda sokoni Chapakazi. Alisimamia ubomoaji bila kujali raia waliotegemea soko kwa mapato yao.
Kukubali ajira kwa njia ya mapendeleo- alikuwa binamuye Majoka na basi kuendeleza unasaba badala ya kupatia mtu ambaye angetoa ushauri mwafaka wa kuleta maendeleo.
Kuharamisha maandamano na basi kunyima raia haki ya kupigania haki yao ya kufunguliwa soko. Anamshauri Majoka kuyaharamisha.
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Mwanamke ni kiumbe wa kukandamizwa. Thibitisha kauli hii ukirekjelea tamthilia.
asked
Jul 23, 2021
in
Kigogo
by
anonymous
kigogo
tamthilia
0
votes
1
answer
wa kurejelea tamthlia ya 'Kigogo ya Pauline Kea, onyesha jinsi ambavyo viongozi wengi katika nchi za kiafrika wamejawa na tamaa.
asked
Jul 23, 2021
in
Kigogo
by
anonymous
kigogo
tamthilia
fasihi andishi
0
votes
0
answers
tamthilia ya kigogo ni tamthilia ya tanzia.Thibitisha kwa kufafanua mifano kumi
asked
Aug 13, 2021
in
Kigogo
by
valenxiakidero
kigogo
0
votes
0
answers
''Nyamaza wewe! nyinyi ndio mlioturudisha nyuma miaka yote hii'' 1.Eleza muktadha wa dondoo hii 2.Kwa kurejelea hoja saba eleza jinsi msemaji alivyorudishwa nyumaa 3.Eleza umuhimu wa msemaji katika riwaya 4.Eleza toni ya dondoo hii
asked
Apr 11, 2022
in
Kigogo
by
SilusKemboi
kigogo
0
votes
0
answers
"Mataifa mengi ya Afrika yamekumbwa na tatizo la uongozi mbaya. "Thibitisha ukweli wa kauli hii kwa kurejelea tamthilia ya Kigogo.
asked
Apr 16, 2022
in
Kigogo
by
Kahantara
kigogo
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...