0 votes
4.7k views
in Kigogo by
Mwanamke ni kiumbe wa kukandamizwa. Thibitisha kauli hii ukirekjelea tamthilia ya Kigogo

1 Answer

0 votes
by
  1. kupigwa: Ashua akiwa gerezani anapigwa na askari
  2. kubezwa / kukejeliwa: Tunu anakejeliwa na Ngurumo na walevi wengine
  3. Chombo cha mapenzi. Majoka anamtaka Ashuakimapenzi anapokwenda kumwomba msaada.
  4. Kijakazi nyumbani. Majoka anamtuma chopi kumuagiza mkewe kumpikia kuku na nyama na kumuokea chapatti
  5. Kutusiwa. Boza anamwambia Sudi kuwa asifikiri kuwa yeye anauza nyong’a kama Tunu wake.
  6. Kufungwa. Ashua anafungwa na Majoka
  7. Kunyimwa kura/uongozi. Nurumo anamwambia Tunu kuwa kama hampi kura Majoka ni heri ampe paka wake. Majoka lakini si mwanamke Tunu.
  8. Kunyimwa ajira. Licha ya Ashua kufuzu taaluma ya ualimu, hakuajiriwa na serikali. Anaishia kuchuuza maembe sokoni la chapakazi.
  9. Kuozwa bila hiari. Majoka nataka kumwoza Tunu kwa mwanawe Ngao Junior bila hiari yake.
  10. Kunyimwa fidia. Majoka alitaka kumnyima Hashima fidia baada ya kifo cha mumewe
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...