0 votes
863 views
in Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine by


"...dunia imenikunjulia mikono kunifariji baada ya kunicharaza fimbo yake aushi yangu yote."

  1. Eleza muktadha wa dondoo hili 
  2. Tambua na ueleze mbinu ya lugha iliyotumiwa katika dondoo.

1 Answer

0 votes
by
  1.  
    •  Maneno ya Mashaka .
    • Katika ndoto .
    • Yumo chumbani mwake.
    • Anaota kuhusu kurudi kwa ua lake baada ya kupotea kwa karne moja.
  2.   
    •  Tashihisi -  dunia kunikunjulia mikono kunifariji baada ya kunicharaza
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...