0 votes
5.7k views
in Isimu Jamii by
  1. Eleza maana ya lugha rasmi.   
  2. Zitaje sifa zozote nne za lugha rasmi.  

1 Answer

0 votes
by
  1. lugha rasmi- hii ni lugha inayotumiwa katika shughuli za mawasiliano yaliyo rasmi kama vile ofisini, katika shughuli za kiutawala, kisheria, kitaaluma n.k. 
  2. sifa za lugha rasmi
    • Huwa ni lugha sanifu
    • Ni lugha inayozingatia tasfida
    • Huwa ni lugha isiyo utani (urasmi hutawala)
    • Huvuka mipaka ya kitaifa katika matumizi yake
    • Msamiati wake hutegemea mazingira ya matumizi mfano katika sayansi, ofisini n.k.
    • Huwa na matumizi mengi ya lugha ya heshima.

Related questions

0 votes
1 answer
asked Nov 7, 2023 in Isimu Jamii by 0713753XXX
0 votes
3 answers
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...