0 votes
1.3k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Bainisha maana mbili zinazojitokeza katika sentensi ifuatayo 

  • Bedui alimrushia tufe.

1 Answer

0 votes
by
  1. Alirusha tufe kwa niaba ya mhusika huyo
  2. Alirusha tufe kueiekea kwa mhusika huyo
  3. Alirusha tufe la mhusika huyo
  4. Alirumsha mhusika huyo kwa kutumia tufe.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...