0 votes
2.9k views
in Fasihi by
Fafanua mchakato/fomula ya uwasilishaji wa vitendawili.

1 Answer

0 votes
by
  1. Kitangulizi- Mtegaji: kitendawili
  2. Mteguaji: tega
  3. Swali lenyewe- kitendawili kutegwa
  4. Majibu kutolewa
  5. Mtegaji asipooridhika huomba kupewa zawadi kisha hutoa jibu.
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...