0 votes
5.8k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tofautisha kati ya mofimu huru na mofimu funge.

1 Answer

0 votes
by
Mofimu huru ni zile ambazo hubeba maana hata bila kuambatanishwa na viambishi vyovyote, ilihali mofimu funge ni zile hupatikana katika nomino, viwakilishi na vivumishi ( mofimu hizi hazimbatanishwi na viambishi vyovyote.

Related questions

Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...