0 votes
1.0k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by

Eleza tofauti kati ya:

  1. Mofimu huru - 
  2. Mofimu tegemezi 

1 Answer

0 votes
by
  • Mofimu huru - ni zile ambazo hubeba maana hata bila kuambatanishwa na viambishi vyovyote.
  • Mofimu tegemezi - ni zile ambazo haziwezi kujisimamia
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...