0 votes
3.3k views
in Fasihi by
Eleza sifa nne za mtendaji katika ulumbi

2 Answers

0 votes
by
  1. Hutumia lugha kwa njia inayovutia na kushawishi hadhira
  2. Mlumbi huwa jasiri- huwa mkakamavu.
  3. Hutumia chuku kwa ufanisi mkubwa.
  4. Anapaswa kutumia vipengele anuwai vya lugha kama vile ushairi, methali, nahau, taswira.
  5. Hutumia lugha kutegemea muktadha na hadhira yake.
  6. Huwa na kipawa cha kuwa viongozi katika jamii.
0 votes
by
1) awe na uwezo wa kutumia luggage vizuri 
2)awe na uwezo wa kuvutia hadira
3)anahitaji kuwa jasiri na mkakamavu
4)anapaswa kuwa mcheshi Ile aichamshe hadira
5)awe ni mwenye uwezo wakutumia thamathali nyengine za semi katika ulumbi wake
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...