KISWAHILI SCHEMES OF WORK DARASA LA 7 MUHULA WA 3 2020/2021 | ||||||||
WIKI | KIPINDI | FUNZO | MADA | SHABAHA | KAZI | NYENZO | ASILIA | MAONI |
1 | Marudio, Mazoezi na Kufungua | |||||||
2 | 1 | Kusikiliza na kuongea | Makala-mmomonyoko wa udongo. | Mwanafunzi aweze: Kutaja vitu vinavyozorotesha adabu ya vijana. Kujadili na kueleza jinsi vyombo vya habari vimechangia. |
Kusoma makala Kujadili. |
Picha za vyombo vya habari k.v redio. | Kiswahili mufti uk 145-146. Kiswahili sanifu uk 117 |
|
2 | Kusoma | Ufahamu | Mwanafunzi aweze: Kutazama ma kueleza picha. Kusoma makala kwa ufasaha. Kueleza maana ya maneno magumu na kuunga sentensi sahihi ukitumia maneno hayo. |
Kutazama na kueleza picha. Kusoma Kueleza maana ya maneno magumu. Kufanya zoezi. |
Kamusi sanifu. | Kiswahili mufti uk 142-144. Kiswahili sanifu |
||
3 | Kuandika | Insha ya maendelezo | Mwanafunzi aweze: Kuandika insha kwa kuzingatia vigezo vya uandishi wa insha. Kuandika kisa kwa kuendeleza mwanzo aliyopewa. |
Kuandika | Kiswahili mufti uk 147 Kurunzi za insha. |
|||
4 | Sarufi | Alama za uakifishaji | Mwanafunzi aweze: Kutambua majina ya alama za kuakifisha kwa kutazama. Kutumia alama za kuakifisha kwa usahihi. Kufanya zoezi. |
Kutambua alama tofauti za uakifishaji. Kufanya zoezi. | Chati. | Kiswahili mufti uk 144-145. Kiswahili sanifu uk 5 |
||
5 | Msamiati | Viwandani |
Mwanafunzi aweze: |
Kutaja msamiati Kutaja na kueleza vifaa mbalimbali Kufanya zoezi. | Vifaa halisi kama vile spana. Picha vitabuni. |
Kiswahili mufti uk 148-149. |
||
3 | 1 | Kusikiliza na kuongea | Mashairi | Mwanafunzi aweze: Kujadili ujumbe unaowasilishwa kwenye shairi. Kughani shairi Kujibu maswali kwa kutamka. |
Kujadili shairi |
Kiswahili mufti uk 152-154. Kiswahili sanifu uk 79 |
||
2 | Kusoma | Ufahamu | Mwanafunzi aweze: Kughani shairi kwa sauti na kutamka maneno barabara. Kuyajibu maswali ya ushairi kwa ufasaha |
Kughani shairi Kufanya zoezi. |
Kiswahili mufti uk 150-151. Kiswahili sanifu uk 79 |
|||
3 | Kuandika | Insha | Mwanafunzi aweze: Kuandika insha ya kusisimua akizingatia hati nadhifu Misemo na tanakali za sauti Kuandika insha kwa mtiririko ufaao. |
Kuandika |
Kiswahili mufti uk 154 |
|||
4 | Sarufi | Alama za kuakififsha. | Mwanafunzi aweze: Kutambua majina ya alama tofauti za kuakifisha. Kujibu maswali kwa usahihi. |
Kutambua alama tofauti za kuakifisha. |
Chati |
Kiswahili mufti uk 144 – 145 |
||
5 | Msamiati | Viwandani | Mwanafunzi aweze: Kutaja msamiati wa viwandani. Kueleza jinsi vifaa mbalimbali vinavyotumika. Kufanya zoezi la msamiati wa viwandani kwa usahihi. |
Kutazama mchoro na vifaa halisi |
Picha vitabuni |
Kiswahili mufti uk 147-148 |
||
4 | 1 | Kusikiliza na kuongea | Kuigiza(shairi) | Mwanafunzi aweze: Kueleza ujumbe unaowasilishwa na shairi hii. Kujadili na kujibu maswali kwa usahihi. |
Kuigiza shairi la ngonjera. | Kiswahili sanifu uk 120 Kiswahili mufti uk 152-154 | ||
2 | Kusoma | Ufahamu | Mwanafunzi aweze: Kughani shairi kwa sauti na kutamka maneno barabara. Kuyajibu maswali ya ushairi kwa ufasaha. |
Kughani shairi Kujadili shairi Kujibu maswali |
Kiswahili mufti uk 150-151 Kiswahili sanifu uk 120 | |||
3 | Kuandika | Insha ya Kuendeleza | Mwanafunzi aweze: Kuandika insha ya kusisimua akizingatia hati nadhifu. Kuandika insha kwa mtiririko ufaao na kuwasilisha ujumbe. Kuakifisha sentensi vizuri, |
Kuandika insha. | Kiswahili mufti uk 154 | |||
4 | Sarufi | Ukubwa, udogo na wastani wa nomino. | Mwanafunzi aweze: Kutambua mbinu za kubadilisha nomino ziwe katika hali ya ukubwa. Kueleza ukubwa na udogo wa nomino. |
Nomino. Kueleza ukubwa na udogo wa nomino. Kufanya zoezi. |
Chati | Kiswahili sanifu uk 132,138 Kiswahili mufti uk 151-152 | ||
5 | Msamiati | Viumbe vya kike na vya kiume. | Mwanafunzi aweze: Kutaja viumbe vya kike na vya kiume. Kutazama na kueleza picha. Kufanya zoezi. |
Kutaja viumbe vya tofauti vya kike na kiume. Kutazama na kueleza picha. Kufanya zoezi. |
Picha Michoro Chati | Kiswahili mufti uk 154-155 Taswira uk 93 |
||
5 | 1 | Kusikiliza na kuongea | Makala | Mwanafunzi aweze: Kusoma makala kwa sauti. Kueleza maneno magumu yaliyotumika katika ufahamu. Kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi. |
Kusoma Kueleza maneno magumu. Kutunga sentensi. Kujibu maswali |
Kamusi sanifu | Kiswahili mufti uk 157-158 Kiswahili sanifu uk 107 | |
3 | Kuandika | Imla | Mwanafunzi aweze: Kuandika sentensi na maneno anayosomewa kwa usahihi na hati nadhifu. |
Kuandika | Ubao | Kiswahili mufti uk 161 Kiswahili sanifu |
||
4 | Sarufi | Sifa kutokana na vitenzi | Mwanafunzi aweze: Kuunda sifa kutokana na vitenzi alivyopewa. Kufanya zoezi kwa usahihi. Kusoma mifano. |
Kuunda sifa kutokana na vitenzi. Kufanya zoezi. Kusoma masomo. |
Chati | Kiswahili sanifu uk 127 Kiswahili mufti uk 158-159 | ||
5 | Msamiati | Tarakimu | Mwanafunzi aweze: Kubadilisha nambari kuanzia milioni sita na moja hadi milioni saba. Kuandika tarakimu kwa maneno akizingatia idadi na vitu fulani. |
Kusoma | Chati | Kiswahili mufti uk 161-162 Kiswahili sanifu uk 100 | ||
6 | 1 | Kusikiliza na kuongea | Vitendawili na methali |
Mwanafunzi aweze: |
Kutega vitendawili. Kutegua vitendawili. Kutaja methali | Kamusi ya methali. | Kiswahili mufti uk 166-167 Kiswahili sanifu uk 45-69 | |
2 | Kusoma | Ufahamu | Mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha na kutamka maneno barabara. Kueleza maana ya maneno magumu. Kujibu maswali. |
Kutazama na kueleza picha. Kusoma Kueleza maana ya maneno magumu Kufanya zoezi. | Picha vitabuni. | Kiswahili mufti uk 164-165 Kiswahili sanifu uk 88 | ||
3 | Kuandika | Insha ya masimulizi. | Mwanafunzi aweze: Kuandika insha ya kusisimua akitumia fani mbalimbali za lugha. Kuandika kwa hati nadhifu na kuakifisha vizuri. |
Kuandika insha ya kusisimua. | Ubao. | Kiswahili mufti uk 167 Golden tips insha. | ||
4 | Sarufi | Virejeshi | Mwanafunzi aweze: Kutaja virejeshi sahihi katika ngeli mbalimbali Kufanya zoezi kwa usahihi |
Kutunga virejeshi Kufanya zoezi. |
Chati | Kiswahili mufti uk 166 Kiswahili sanifu uk 63 | ||
5 | Msamiati | Watu na kazi zao |
Mwanafunzi aweze: |
Kutaja kazi mbalimbali na wafanyikazi. Kujibu maswali. | Chati | Kiswahili mufti uk 167-168 Taswira uk 94 | ||
7 | 1 | Kusikiliza na kuongea | Misemo | Mwanafunzi aweze: Kutaja misemo mbalimbali na kueleza maana ya misemo na kutunga sentensi akitumia misemo hayo. |
Kutaja misemo Kueleza maana Kutunga sentensi | Chati |
Kiswahili mufti uk 175-176 |
|
2 | Kusoma | Ufahamu | Mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha na kutamka maneno barabara. Kueleza maana ya maneno magumu na kutunga sentensi akitumia maneno haya. Kufanya zoezi kwa usahihi |
Kusoma Kueleza maana ya maneno magumu Kutunga sentensi. Kufanya zoezi | Kamusi sanifu | Kiswahili mufti uk 172-174 Kiswahili sanifu uk 66 | ||
3 | Kuandika | Shairi | Mwanafunzi aweze: Kutunga shairi la beti mbili la aina ya tarbia |
Kutunga shairi la aina ya tarbia | Shairi la tarbia | Kiswahili mufti uk 176 Kiswahili sanifu uk 126 | ||
4 | Sarufi | Wingi na ngeli | Mwanafunzi aweze: Kuandika sentensi kwa wingi akizingatia ngeli. Kutambua nomino na ngeli. Kufanya zoezi la wingi na ngeli kwa usahihi. |
Kuandika sentensi Kutambua nomino Kufanya zoezi | Chati ya ngeli | Kiswahili mufti uk 174-175 Kiswahili sanifu uk 143 | ||
5 | Msamiati | Malipo mbalimbali | Mwanafunzi aweze: Kutaja aina mbalimbali za malipo. Kufanya zoezi kwa kutaja jina sahihi la malipo |
Kutaja malipo mbalimbali. Kufanya zoezi | Kamusi sanifu | Kiswahili mufti uk 177-178 Taswira uk 115 | ||
8 | 1 | Kusikiliza na kuongea | Sentensi-sauti tata | Mwanafunzi aweze: Kueleza maneno yenye sauti tata. Kutunga na kusoma sentensi kwa usahihi |
Kueleza maana Kutunga sentensi Kusoma sentensi | Chati | Kiswahili mufti uk 188-189 Taswira uk 166 | |
2 | Kusoma | Ufahamu | Mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa sauti na kutamka maneno kwa ufasaha. Kueleza maana na matumizi ya msamiati aliopewa Kujibu maswali ya ufahamu kwa usahihi. |
Kutazama na kueleza picha. Kueleza maana na matumizi ya msamiati. Kufanya zoezi. |
Kamusi sanifu. | Kiswahili mufti uk 185-188 Kiswahili sanifu uk 144 | ||
3 | Kuandika | Kukosoa sentensi | Kufikia mwisho wa funzo mwanafunzi aweze: Kukosoa sentensi alizopewa na kuziandika kwa usahihi. |
Kukosoa sentensi | Vitabu vya ziada | Kiswahili mufti uk 189-190 Taswira uk 184 | ||
4 | Sarufi | Mnyambuliko wa vitenzi | Mwanafunzi aweze: Kunyambua vitenzi katika hali ta kutendesha. Kufanya zoezi kwa usahihi. |
Kunyambua vitenzi Kujibu maswali |
Chati | Kiswahili mufti uk 188 Kiswahili sanifu uk 106 | ||
5 | Msamiati | Visawe | Mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya visawe. Kutaja visawe vya maneno aliyopewa. Kufanya zoezi kwa usahihi. |
Kueleza maana |
Chati Kamusi sanifu | Kiswahili mufti uk 190 Taswira uk 116 | ||
9 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA TATU |
Kiswahili Mufti Schemes of Work Class 7 Term 3 2020/2021
Published in
Schemes of Work Class 7 Term 3 2020/2021
Tagged under
Leave a comment
Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.