Displaying items by tag: Kidato cha Kwanza
KCM & MWM Form 1 Kiswahili Schemes of Works Term 3 2020/2021
KCM & MWM MAAZIMO YA KAZI KIDATO CHA KWANZA MUHULA WA TATU MWAKA 2020/2021 | |||||||
JUMA | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | NJIA ZA KUFUNDISHIA | NYENZO | MAONI |
1 | 1 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Tamthilia. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kutokana na kifungu. Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi. Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa. |
Drama. Ufahamu wa kusikiliza. Mjadala. Kusoma Kifungu. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 113-5 MWM Uk. 90-91 |
|
2 | Kuandika. Utunzi. |
Barua rasmi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika barua rasmi kwa ufasaha. |
Maelezo. Mifano. |
KCM Uk. 115 MWM Uk. 91 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza. | Kazi mbalimbali. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja kazi mbalimbali. Kufafanua kazi mbalimbali. Kujadili manufaa na hasara za kazi mbalimbali. |
Mdahalo. Mahojiano. Ufafanuzi. Kuigiza bila maneno. Kusoma ufahamu. |
KCM Uk. 117 MWM Uk. 93-4 Kamusi |
||
4 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha. Kueleza maana za maneno na vifungu. Kujibu maswali. |
Ufafanuzi. |
KCM Uk. 117-8 MWM Uk. 87-8 Kamusi |
||
5 | Kuandika. Ufasaha wa lugha. |
Uandishi wa kawaida. Muhtasari. |
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua maana ya ufupisho. Kueleza umuhimu wa muhtasari. Kudondoa hoja kuu. Keleza mambo kwa muhtasari. |
Utatanuzi wa mambo. Mifano. Vielezo. Kusikiliza ufahamu. |
KCM Uk. 120-1 MWM Uk. 95-6 |
||
2 | 1 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Kauli za vitenzi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kugeuza vitenzi katika kauli fulani. Kueleza maana ya sentensi zenye vitenzi katika kauli fulani. |
Ufaraguzi. Mifano. Kujaza jedwali. Kazi mradi. |
KCM Uk. 119-120 MWM Uk. 94-95 |
|
2-3 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Tamthilia. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kutokana na kifungu. Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi. Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa. Kueleza maana ya msamiati wa vihusishi. |
Utatanuzi wa mambo. Ufahamu wa kusikiliza. Mjadala. Kusoma kifungu. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 122-3 MWM Uk. 96-7 |
||
4 | Kuandika. Utunzi. |
Mchezo mfupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutunga mchezo wa kuigiza kwa kusingatia mbinu za utunzi wa michezo ya kuigiza. |
Drama. Maelezo. Majadiliano. Utafiti. Mazoezi |
KCM Uk. 123-4 MWM Uk. 98 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza. | Teknologia mpya. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja majina ya vifaa. Kueleza matumizi ya vifaa. Kutunga sentense na aya kuhusu vifaa vya teknologia. |
Uvumbuzi. Maelezo. Majadiliano. Usomaji. |
KCM Uk. 125 MWM Uk. 98-100 Kamusi |
||
3 | 1-2 | Kusoma na Kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha. Kueleza maana za maneno na vifungu. Kujibu maswali. |
Ufafanuzi. Kusoma. Maswali na majibu. Tajriba. Mazoezi. |
KCM Uk. 126-128 MWM Uk. 100-1 Kamusi |
|
3 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Mpangilio na uhusiano wa maneno. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kupanga maneno katika nafasi sahihi kwenye sentensi. |
Michezo ya lugha. Mifano. Vielezo. |
KCM Uk. 128-9 MWM Uk. 101-2 Kamusi |
||
4 | Kusikiliza na kuzungumza. Ufasaha wa lugha. |
Uundaji wa maneno. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza sababu ya kuunda maneno. Kuunda maneno kutoka kwa maneno mengine. |
Ufafanuzi. Mifano. Maelezo. Imla. Mazoezi. |
KCM Uk. 129-130 MWM Uk. 102-3 |
||
5 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Tamthilia. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kutokana na kifungu. Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi. Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa. Kueleza maana ya msamiati wa vihusishi. |
Utatuzi wa mambo. Ufahamu wa kusikiliza. Mjadala. Kusoma kifungu. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 130-2 MWM Uk. 103-4 |
||
4 | 1-2 | Kuandika. Utunzi. |
Insha ya wasifu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika sifa za kitu, jambo au mtu. Kutumia lugha inayotoa sifa za kitu, jambo au mtu. |
Ufafanuzi. Mifano. Maelezo. Mazoezi. |
KCM Uk. 132 MWM Uk. 104-5 |
|
3 | Kusikiliza na kudadisi. | Semi-Nahau. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya nahau. Kutumia nahau katika sentense. |
Utafiti. Mifano. Kuandika. Kazi mradi. |
KCM Uk. 133 MWM Uk. 105-6 |
||
4 | Kusikiliza na kuzungumza. | Hotuba. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja sehemu za hotuba. Kueleza ujumbe wa hotuba |
Uigizaji. Maswali na majibu. Majadiliano. Ksikiliza ufahamu. |
KCM Uk. 133-5 MWM Uk. 105-6 |
||
5 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha. Kueleza maana za maneno na vifungu. Kujibu maswali. |
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Kusoma. Tajriba. |
KCM Uk. 135-7 MWM Uk. 105-6 Kamusi |
||
5 | 1-2 | Sarufi na matumiza ya lugha. | Maana na aina za sentensi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya sentensi. Kutunga sentensi sahihi na ambatano. |
Uchunguzi. Mifano. Ufafanuzi. Tajriba. Mazoezi. |
KCM Uk. 137-8 MWM Uk. 108 |
|
3 | Kusikiliza na kuzungumza. Ufasaha wa lugha. |
Lugha ya hotuba. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja sifa za hotuba. Kutoa hotuba fupi mbele ya darasa. Kuandika hotuba fupi. |
Kuigiza. Vikundi. Maswali na majibu. Mazoezi. |
KCM Uk. 138-40 MWM Uk. 108-9 Kamusi |
||
4-5 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Tamthilia. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza vitendo vya wahusika. Kujibu maswali kwa usahihi. Kutumia misemo katika sentensi. |
Maelezo. Maigizo. Ufafanuzi. Masimulizi. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 140-2 MWM Uk. 109-10 |
||
6 | 1 | Kuandika. Utunzi. |
Hotuba. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika hotuba yenye mtirirko wa mawazo. |
Mifano / marudio. Melezo. Kazi mradi. |
KCM Uk. 142 MWM Uk. 110 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza. | Utungaji wa kisanii. Vitanzi ndimi. |
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutamka maneno harakaharaka. Kueleza maana ya maneno yatatanishayo. Kutunga vitansi ndimi. |
Michezo ya lugha. Mashindano. Mifano. Imla. Kazi mradi. |
KCM Uk. 143 MWM Uk. 111 |
||
3-4 | Kusikiliza na kuzungumza. | Mjadala. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuzua hoja na kuzitetea. Kuziwasilisha katika mjadala kwa ufasaha. |
Mjadala. Utendaji. Ufafanuzi. Tajriba. Imla. |
KCM Uk. 143 MWM Uk. 111-2 |
||
5 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza taarifa. Kueleza chanzo na madhara ya ufisadi. Kujibu maswali. |
Usomaji. Ufafanuzi. Tajriba. Makundi. Mazoezi. |
KCM Uk. 144-5 MWM Uk. 111-2 Kamusi |
||
7 | 1 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Tungo na sentense. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya tungo, kirai, kishazi na sentensi. Kujua sifa za tungo, kirai, kishazi na sentensi. Kubainisha virai na vishazi katika tungo. |
Ufafanuzi. Maelezo. Majadiliano. Mazoezi. |
KCM Uk. 145-7 MWM Uk. 113-4 |
|
2 | Kuandika. Ufasaha wa lugha. |
Alama za uakifishaji. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutumia alama fulani za uakifishaji. Kutumia alama za uakifishaji katika maandishi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Mifano. Mazoezi. Marudio ya mazoezi. |
KCM Uk. -147-9 MWM Uk. 114-5 |
||
3 | Kusikiliza na kudadisi. Fasihi yetu. |
Mashairi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuanishashairi. Kudondoa hoja kuu kutoka sahiri. Kueleza shairi kwa lugha nadhari. |
Masimulizi. ufafanuzi. Uchambuzi. Maswali na majibu. Kukariri. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 149-152 MWM Uk. 115-6 |
||
4 | Kuandika. Utunzi. |
Insha ya mjadala. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza muundo wa insha ya mjadala. Kufafanua sifa na kuandika insha ya mjadala kwa usahihi. |
Maelezo na ufafanuzi. Mjadala. Utafiti na uchunguzi. Maswali na majibu. Tajriba. Mazoezi. |
KCM Uk.152 MWM Uk. 116-7 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza. | Tanakali za sauti. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutoa mifano ya tanakali za sauti. Kutunga sentensi kutumia tanakli za sauti. |
Utatuzi. Tajriba. Uchunguzi. Kusoma. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 154-6 MWM Uk. 110-11 |
||
8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza. | Magonjwa. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutafakari juu ya maswala yanayoibuka katika jamii. Kutaja baadhi ya magonjwa ya kisasa. |
Maelezo. Utafiti. Mahojiano. Ukusanyanji. Ufahamu wa kusikiliza. |
KCM Uk. 153 MWM Uk. 117-8 |
|
2 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa ufasaha. Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora. Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi. |
Usomaji. Maswali na majibu. Majadiliano. Utafiti. Maelezo. Tajriba. Mazoezi. |
KCM Uk. 153-5 MWM Uk. 118-120 |
||
3 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Vaimbishi vimilikishi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kubainisha maana ya vivumishi vimilikishi. Kuorodhesha vivumilishi vimilikishi. kutumia vivumilishi vimilikishi katika sentensi. |
Maelezo. Tajriba. Mifano. Maswali na majibu. Mazoezi. |
KCM Uk. 156-7 MWM Uk. 120-21 |
||
4 | Kuandika. Ufasaha wa lugha. |
Muhtasari. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika kwa ufupi na urefu wa maneno. Kufupisha vifungu kulingana na maagizo. Kujibu maswali kwa kuzingatia idadi ya maneno kulingana na maagizo. |
Maelezo. Ufafanuzai. Uchunguzi. Mifano. Maswali na majibu. Mazoezi. |
KCM Uk. 157-8 MWM Uk. 121-2 |
||
5 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Riwaya / hadithi fupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuimarisha ujuzi wa kusoma. Kuweka msingi wa fasihi andishi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Uchunguzi maigizo. Kusikiliza ufahamu. |
KCM Uk. 158-160 MWM Uk. 90-91 |
||
9 | 1 | Kuandika. Utunzi. |
Utungaji wa kisanii. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutunga kazi ya sanaa. |
Maelezo. Mifano. Utafiti. Mazoezi. |
KCM Uk. 160 MWM Uk. 124-5 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza. | Misemo. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kututmia misemo kutungia sentensi. Kueleza maana na matumiza ya misemo. |
Maelezo. Masimulizi. Ufahamu. Mazoezi. |
KCM Uk. 161 MWM Uk. 125-6 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza. | Kujaza hojaji. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja muundo wa hojaji. Kueleza umuhimu wa hojaji. Kujibu maswali kuhusu hojaji kikamilifu. |
Maswali na majibu. Kuandika. Ufahamu wa kusikiliza. Mazoezi. |
KCM Uk. 161-2 MWM Uk. 127 |
||
4 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Vionyeshi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya vionyeshi. Kueleza aina ya vionyeshi. Kutumia vionyeshi katika sentensi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Maswali na majibu. Mazoezi. |
KCM Uk. 164-5 MWM Uk. -128-9 |
||
5 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa ufasaha. Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora. Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi. |
Usomaji. Maswali na majibu. Majadiliano. Utafiti. Maelezo. Tajriba. |
KCM Uk. 162-3 MWM Uk. 127-8 |
||
10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza. (Ufasaha wa lugha) |
Barabarani. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza safari barabarani. Kutaja na kufasiri alama za barabarani. Kutumia maneno mapya kwa usahihi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Maswali na majibu. Kusikiliza ufahamu. |
KCM Uk. 165-6 MWM Uk. 129-130 |
|
2 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Riwaya / hadithi fupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza uhuru aliotaka mhusika. Kueleza maana ya maneno mageni na misemo mipya katika taarifa. Kueleza sababu ya kutumia alama ya dukuduku. |
Ugunduzi wa kuongozwa. Masimulizi. Mjadala. Ufahamu wa kusikiliza. |
KCM Uk. 167-9 MWM Uk. 130-1 |
||
3 | Kuandika. Utunzi. |
Umdhaniaye ndiye siye ........... | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kutoka kifungu. Kutumia maneno mapya kkwa usahihi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Mifano. Uhakiki. |
KCM Uk. 169-70 MWM Uk. 131-132 |
||
4 | Kuandika. | Insha ya picha. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufaairi ujumbe wa picha. Kuandika insha kutokana na picha. |
Maelezo. Majadiliano. Tajriba. Makundi. Mazoezi. |
KCM Uk. 171 MWM Uk. 133-4 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza. | Haki za watoto. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza haki za watoto. Kueleza wajibu unaoambatana na kila haki ya mtoto. Kukuza ujuzi wa kujadili ma kutoa maelezo kimantiki. |
Kisa / hadithi. Majadiliano. Kuchochea wanafunzi kuongea. Maelezo. |
KCM Uk. 171-2 MWM Uk. 134-5 |
||
11 | 1 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa ufasaha. Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora. Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi. Kuzindua masuala maalum kutoka ufahamu. |
Usomaji. Maswali na majibu. Majadiliano. Utafiti. Maelezo. Tajriba. |
KCM Uk. 172-4 MWM Uk. -136-7 |
|
2 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Kirejeshi - amba. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutumia mzizi -amba kwa usahihi katika ngeli zote. Kutumia 'o' rejeshi badala ya mzizi -amba. |
Tjriba. Mifano. Mazoezi. |
KCM Uk. 174-6 MWM Uk. 137-8 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza. (Ufasaha wa lugha) |
Lugha ya magezetini. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza matumiza ya lugha katika magazeti. Kuonyesha sifa za lugha katika magazetini. Kuandika makala ya magazeti k.v, ukumwi, maji, njaa, ufisadi, n.k. |
Kusoma makala ya magazeti. |
KCM Uk. 179-81 MWM Uk. 131-2 |
||
4 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Riwaya / hadithi fupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuimarisha sauti ya kusoma. Kumpa nafasi kuingiliana na kutenda katika matini ya fasihi. Kuhakiki ujumbe wa lugha iliyotumika. |
Mifano. Maelezo. Ufafanuzi. |
KCM Uk. 177-9 MWM Uk. 130 |
||
5 | Kuandika. Utunzi. |
Uandishi wa hadithi fupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua hatua za kuandika hadithi fupi. Kuandika hadithi fupi. Kuwa na msingi wa uandishi wa kisanaa. |
Mifano. Uxhunguzi. Vidokezo. Majadiliano Maelezo. Ufafanuzi. |
KCM Uk. 177-180 MWM Uk. 140-1 |
||
12-13 | MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA |