KCM & MWM Form 1 Kiswahili Schemes of Works Term 3 2020/2021

Rate this item
(10 votes)
KCM & MWM MAAZIMO YA KAZI KIDATO CHA KWANZA MUHULA WA TATU MWAKA 2020/2021
JUMA KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHIA NYENZO MAONI
 1      1 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kutokana na kifungu.
Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa.
Drama.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mjadala.
Kusoma Kifungu.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 113-5

MWM Uk. 90-91

 
 2 Kuandika.
Utunzi.
Barua rasmi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika barua rasmi kwa ufasaha.
Maelezo.
Mifano.

KCM Uk. 115

MWM Uk. 91

 
 3 Kusikiliza na kuzungumza. Kazi mbalimbali. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja kazi mbalimbali.
Kufafanua kazi mbalimbali.
Kujadili manufaa na hasara za kazi mbalimbali.
Mdahalo.
Mahojiano.
Ufafanuzi.
Kuigiza bila maneno.
Kusoma ufahamu.

KCM Uk. 117

MWM Uk. 93-4

Kamusi

 
 4 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha.
Kueleza maana za maneno na vifungu.
Kujibu maswali.

Ufafanuzi.
Kusoma.
Maswali na majibu.
Tajriba.
Mazoezi.

KCM Uk. 117-8

MWM Uk. 87-8

Kamusi

 
 5 Kuandika. 
Ufasaha wa lugha.
Uandishi wa kawaida.
Muhtasari.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua maana ya ufupisho.
Kueleza umuhimu wa muhtasari.
Kudondoa hoja kuu.
Keleza mambo kwa muhtasari.
Utatanuzi wa mambo.
Mifano.
Vielezo.
Kusikiliza ufahamu.

KCM Uk. 120-1

MWM Uk. 95-6

 
 2    1 Sarufi na matumizi ya lugha. Kauli za vitenzi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kugeuza vitenzi katika kauli fulani.
Kueleza maana ya sentensi zenye vitenzi katika kauli fulani.
Ufaraguzi.
Mifano.
Kujaza jedwali.
Kazi mradi.

KCM Uk. 119-120

MWM Uk. 94-95

 
 2-3 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kutokana na kifungu.
Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa.
Kueleza maana  ya msamiati wa vihusishi.
Utatanuzi wa mambo.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mjadala.
Kusoma kifungu.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 122-3

MWM Uk. 96-7

 
 4 Kuandika.
Utunzi.
Mchezo mfupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutunga mchezo wa kuigiza kwa kusingatia mbinu za utunzi wa michezo ya kuigiza.
Drama.
Maelezo.
Majadiliano.
Utafiti.
Mazoezi

KCM Uk. 123-4

MWM Uk. 98

 
5 Kusikiliza na kuzungumza. Teknologia mpya. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja majina ya vifaa.
Kueleza matumizi ya vifaa.
Kutunga sentense na aya kuhusu vifaa vya teknologia.
Uvumbuzi.
Maelezo.
Majadiliano.
Usomaji.

KCM Uk. 125

MWM Uk. 98-100

Kamusi

 
3 1-2 Kusoma na Kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha.
Kueleza maana za maneno na vifungu.
Kujibu maswali.
Ufafanuzi.
Kusoma.
Maswali na majibu.
Tajriba.
Mazoezi.

KCM Uk. 126-128

MWM Uk. 100-1

Kamusi

 
3 Sarufi na matumizi ya lugha. Mpangilio na uhusiano wa maneno. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kupanga maneno katika nafasi sahihi kwenye sentensi.
Michezo ya lugha.
Mifano.
Vielezo.

KCM Uk. 128-9

MWM Uk. 101-2

Kamusi

 
4 Kusikiliza na kuzungumza.
Ufasaha wa lugha.
Uundaji wa maneno. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza sababu ya kuunda maneno.
Kuunda maneno kutoka kwa maneno mengine.
Ufafanuzi. Mifano.
Maelezo.
Imla.
Mazoezi.

KCM Uk. 129-130

MWM Uk. 102-3

 
5 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kutokana na kifungu.
Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi.
Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa.
Kueleza maana ya msamiati wa vihusishi.
Utatuzi wa mambo.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mjadala.
Kusoma kifungu.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 130-2

MWM Uk. 103-4

 
4 1-2 Kuandika.
Utunzi.
Insha ya wasifu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika sifa za kitu, jambo au mtu.
Kutumia lugha inayotoa sifa za kitu, jambo au mtu.
Ufafanuzi.
Mifano.
Maelezo.
Mazoezi.

KCM Uk. 132

MWM Uk. 104-5

 
3 Kusikiliza na kudadisi. Semi-Nahau. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya nahau.
Kutumia nahau katika sentense.
Utafiti.
Mifano.
Kuandika.
Kazi mradi.

KCM Uk. 133

MWM Uk. 105-6

 
4 Kusikiliza na kuzungumza. Hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja sehemu za hotuba.
Kueleza ujumbe wa hotuba
Uigizaji.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Ksikiliza ufahamu.

KCM Uk. 133-5

MWM Uk. 105-6

 
5 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha.
Kueleza maana za maneno na vifungu.
Kujibu maswali.
Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Kusoma.
Tajriba.

KCM Uk. 135-7

MWM Uk. 105-6

Kamusi

 
5 1-2 Sarufi na matumiza ya lugha. Maana na aina za sentensi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya sentensi.
Kutunga sentensi sahihi na ambatano.
Uchunguzi.
Mifano.
Ufafanuzi.
Tajriba.
Mazoezi.

KCM Uk. 137-8

MWM Uk. 108

 
3 Kusikiliza na kuzungumza.
Ufasaha wa lugha.
Lugha ya hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja sifa za hotuba.
Kutoa hotuba fupi mbele ya darasa.
Kuandika hotuba fupi.
Kuigiza.
Vikundi.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

KCM Uk. 138-40

MWM Uk. 108-9

Kamusi

 
4-5 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Tamthilia. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza vitendo vya wahusika.
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kutumia misemo katika sentensi.
Maelezo.
Maigizo.
Ufafanuzi.
Masimulizi.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 140-2

MWM Uk. 109-10

 
6 1 Kuandika.
Utunzi.
Hotuba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika hotuba yenye mtirirko wa mawazo.
Mifano / marudio.
Melezo.
Kazi mradi.

KCM Uk. 142

MWM Uk. 110

 
2 Kusikiliza na kuzungumza. Utungaji wa kisanii.
Vitanzi ndimi.
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutamka maneno harakaharaka.
Kueleza maana ya maneno yatatanishayo.
Kutunga vitansi ndimi.
Michezo ya lugha.
Mashindano.
Mifano.
Imla.
Kazi mradi.

KCM Uk. 143

MWM Uk. 111

 
3-4 Kusikiliza na kuzungumza. Mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuzua hoja na kuzitetea.
Kuziwasilisha katika mjadala kwa ufasaha.
Mjadala.
Utendaji.
Ufafanuzi.
Tajriba.
Imla.

KCM Uk. 143

MWM Uk. 111-2

 
5 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza taarifa.
Kueleza chanzo na madhara ya ufisadi.
Kujibu maswali.
Usomaji.
Ufafanuzi.
Tajriba.
Makundi.
Mazoezi.

KCM Uk. 144-5

MWM Uk. 111-2

Kamusi

 
7 1 Sarufi na matumizi ya lugha. Tungo na sentense. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya tungo, kirai, kishazi na sentensi.
Kujua sifa za tungo, kirai, kishazi na sentensi.
Kubainisha virai na vishazi katika tungo.
Ufafanuzi.
Maelezo.
Majadiliano.
Mazoezi.

KCM Uk. 145-7

MWM Uk. 113-4

 
2 Kuandika.
Ufasaha wa lugha.
Alama za uakifishaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutumia alama fulani za uakifishaji.
Kutumia alama za uakifishaji katika maandishi.
Maelezo. 
Ufafanuzi.
Mifano.
Mazoezi.
Marudio ya mazoezi.

KCM Uk. -147-9

MWM Uk. 114-5

 
3 Kusikiliza na kudadisi.
Fasihi yetu.
Mashairi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuanishashairi.
Kudondoa hoja kuu kutoka sahiri.
Kueleza shairi kwa lugha nadhari.
Masimulizi.
ufafanuzi.
Uchambuzi.
Maswali na majibu.
Kukariri.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 149-152

MWM Uk. 115-6

 
4 Kuandika.
Utunzi.
Insha ya mjadala. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza muundo wa insha ya mjadala.
Kufafanua sifa na kuandika insha ya mjadala kwa usahihi.
Maelezo na ufafanuzi.
Mjadala.
Utafiti na uchunguzi.
Maswali na majibu.
Tajriba. Mazoezi.

KCM Uk.152

MWM Uk. 116-7

 
5 Kusikiliza na kuzungumza. Tanakali za sauti. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutoa mifano ya tanakali za sauti.
Kutunga sentensi kutumia tanakli za sauti.
Utatuzi.
Tajriba.
Uchunguzi.
Kusoma.
Maswali na majibu.

KCM Uk. 154-6

MWM Uk. 110-11

 
8 1 Kusikiliza na kuzungumza. Magonjwa. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutafakari juu ya maswala yanayoibuka katika jamii.
Kutaja baadhi ya magonjwa ya kisasa.
Maelezo.
Utafiti.
Mahojiano.
Ukusanyanji.
Ufahamu wa kusikiliza.

KCM Uk. 153

MWM Uk. 117-8

 
2 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa ufasaha.
Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora.
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Usomaji.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Utafiti.
Maelezo.
Tajriba.
Mazoezi.

KCM Uk. 153-5

MWM Uk. 118-120

 
3 Sarufi na matumizi ya lugha. Vaimbishi vimilikishi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kubainisha maana ya vivumishi vimilikishi.
Kuorodhesha vivumilishi vimilikishi.
kutumia vivumilishi vimilikishi katika sentensi.
Maelezo.
Tajriba.
Mifano.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

KCM Uk. 156-7

MWM Uk. 120-21

 
4 Kuandika.
Ufasaha wa lugha.
Muhtasari. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika kwa ufupi na urefu wa maneno.
Kufupisha vifungu kulingana na maagizo.
Kujibu maswali kwa kuzingatia idadi ya maneno kulingana na maagizo.
Maelezo.
Ufafanuzai.
Uchunguzi.
Mifano.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

KCM Uk. 157-8

MWM Uk. 121-2

 
5 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Riwaya / hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuimarisha ujuzi wa kusoma.
Kuweka msingi wa fasihi andishi.
Maelezo.
Ufafanuzi.
Uchunguzi maigizo.
Kusikiliza ufahamu.

KCM Uk. 158-160

MWM Uk. 90-91

 
9 1 Kuandika.
Utunzi.
Utungaji wa kisanii. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutunga kazi ya sanaa.
Maelezo.
Mifano.
Utafiti.
Mazoezi.

KCM Uk. 160

MWM Uk. 124-5

 
2 Kusikiliza na kuzungumza. Misemo. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kututmia misemo kutungia sentensi.
Kueleza maana na matumiza ya misemo.
Maelezo.
Masimulizi.
Ufahamu.
Mazoezi.

KCM Uk. 161

MWM Uk. 125-6

 
3 Kusikiliza na kuzungumza. Kujaza hojaji. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutaja muundo wa hojaji.
Kueleza umuhimu wa hojaji.
Kujibu maswali kuhusu hojaji kikamilifu.
Maswali na majibu.
Kuandika.
Ufahamu wa kusikiliza.
Mazoezi.

KCM Uk. 161-2

MWM Uk. 127

 
4 Sarufi na matumizi ya lugha. Vionyeshi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya vionyeshi.
Kueleza aina ya vionyeshi.
Kutumia vionyeshi katika sentensi.
Maelezo. Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Mazoezi.

KCM Uk. 164-5

MWM Uk. -128-9

 
5 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa ufasaha.
Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora.
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Usomaji. Maswali na majibu.
Majadiliano.
Utafiti.
Maelezo.
Tajriba.

KCM Uk. 162-3

MWM Uk. 127-8

 
10 1 Kusikiliza na kuzungumza.
(Ufasaha wa lugha)
Barabarani. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza safari barabarani.
Kutaja na kufasiri alama za barabarani.
Kutumia maneno mapya kwa usahihi.
Maelezo.
Ufafanuzi.
Maswali na majibu.
Kusikiliza ufahamu.

KCM Uk. 165-6

MWM Uk. 129-130

 
2 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Riwaya / hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza uhuru aliotaka mhusika.
Kueleza maana ya maneno mageni na misemo mipya katika taarifa.
Kueleza sababu ya kutumia alama ya dukuduku.
Ugunduzi wa kuongozwa.
Masimulizi.
Mjadala.
Ufahamu wa kusikiliza.

KCM Uk. 167-9

MWM Uk. 130-1
Vatabu vingine vya hadithi

 
3 Kuandika.
Utunzi.
Umdhaniaye ndiye siye ........... Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kutoka kifungu.
Kutumia maneno mapya kkwa usahihi.
Maelezo.
Ufafanuzi.
Mifano.
Uhakiki.

KCM Uk. 169-70

MWM Uk. 131-132

 
4 Kuandika. Insha ya picha. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufaairi ujumbe wa picha.
Kuandika insha kutokana na picha.
Maelezo.
Majadiliano.
Tajriba.
Makundi.
Mazoezi.

KCM Uk. 171

MWM Uk. 133-4

 
5 Kusikiliza na kuzungumza. Haki za watoto. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza haki za watoto.
Kueleza wajibu unaoambatana na kila haki ya mtoto.
Kukuza ujuzi wa kujadili ma kutoa maelezo kimantiki.
Kisa / hadithi.
Majadiliano.
Kuchochea wanafunzi kuongea.
Maelezo.

KCM Uk. 171-2

MWM Uk. 134-5

 
11 1 Kusoma na kuandika. Ufahamu. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa ufasaha.
Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora.
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Kuzindua masuala maalum kutoka ufahamu.
Usomaji.
Maswali na majibu.
Majadiliano.
Utafiti.
Maelezo.
Tajriba.

KCM Uk. 172-4

MWM Uk. -136-7

 
2 Sarufi na matumizi ya lugha. Kirejeshi - amba. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutumia mzizi -amba kwa usahihi katika ngeli zote.
Kutumia 'o' rejeshi badala ya mzizi -amba.
Tjriba.
Mifano.
Mazoezi.

KCM Uk. 174-6

MWM Uk. 137-8

 
3 Kusikiliza na kuzungumza.
(Ufasaha wa lugha)
Lugha ya magezetini. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza matumiza ya lugha katika magazeti.
Kuonyesha sifa za lugha katika magazetini.
Kuandika makala ya magazeti k.v, ukumwi, maji, njaa, ufisadi, n.k.

Kusoma makala ya magazeti.
Uchunguzi.
Mifano.
Maelezo.
Ufafanuzi.

KCM Uk. 179-81

MWM Uk. 131-2
Magazetti

 
4 Kusoma kwa kina.
Fasihi yetu.
Riwaya / hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuimarisha sauti ya kusoma.
Kumpa nafasi kuingiliana na kutenda katika matini ya fasihi.
Kuhakiki ujumbe wa lugha iliyotumika.
Mifano.
Maelezo.
Ufafanuzi.

KCM Uk. 177-9

MWM Uk. 130

 
5 Kuandika.
Utunzi.
Uandishi wa hadithi fupi. Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua hatua za kuandika hadithi fupi.
Kuandika hadithi fupi.
Kuwa na msingi wa uandishi wa kisanaa.
Mifano.
Uxhunguzi.
Vidokezo.
Majadiliano
Maelezo.
Ufafanuzi.

KCM Uk. 177-180

MWM Uk. 140-1

 
12-13 MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA
Read 1655 times Last modified on Thursday, 20 May 2021 13:22

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.