Displaying items by tag: MWM
KCM & MWM Form 3 Kiswahili Schemes of Work Term 3 2020/2021
KCM & MWM Form 3 Kiswahili Schemes of Work Term 3 2020/2021 | |||||||
JUMA | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | NJIA ZA KUFUNDISHA | NYENZO | MAONI |
1 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza. | Misimu na lakabu | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya misimu na lakabu. Kujadili umuhimu wao. Kutoa mifano ya lakabu na misimu. |
Maelezo |
KCM Uk.161-2 MWM Uk.119-20 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza. Fasihi yetu. |
Lugha ya anthari na ufupisho katika ushairi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya ufupisho na lugha ya nathari. Kufafanua umuhimu wa lugha ya ufupisho katika shairi. |
Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu Makundi Uhakiki Tajriba |
Kitabu teule | ||
3 | Ufahamu. | Kujali wenye ukimwi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa ufasaha. Kujadili yaliyomo. Kueleza maana ya istilahi ngeni na msamiati. |
Maelezo Kuandika Maswali na majibu |
KCM Uk.166-67 MWM Uk.123 |
||
4-5 | Sarufi | Aina za virai | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza virai. Kueleza aina za virai. Kubaininisha virai mbalimbali katika sentensi |
Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu Makundi |
KCM Uk.166-67 MWM Uk.123 |
||
6 | Utunzi | Insha ya maelezo | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza ya kuzingatiwa wakati wa kuandika insha ya maelezo, Kuandika insha ya maelezo |
Maelezo Tajriba Maswali na majibu Maigizo Kuandika |
KCM Uk.170 MWM Uk.125 |
||
2 | 1-2 | Kusikiliza na kuzungumza. (Ufasaha wa lugha) |
Muhtasari: Usanifishaji wa lugha ya Kiswahili | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya Usanifishaji. Kufafanua sababu za kusanifisha lugha. Kujadili udhaifu katika usanifishaji. Kufupisha makala ilivyoagizwa. |
Maelezo Ufafanuzi Maswali na majibu Makundi Kufupisha Utafiti |
KCM Uk.167-169 MWM Uk.123-4 |
|
3-4 | Kusikiliza na kuzungumza. (Fasihi teule) |
Maudhui katika tamthilia | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maudhui na dhamira Kueleza namna ya kuhakiki maudhui. Kufafanua mambo ya kuzingatia katika uchambuzi wa maudhui. |
Maelezo Ufafanuzi Mifano Majadiliano Makundi Uhakiki |
KCM Uk.169-70 MWM Uk.124-5 |
||
5-6 | Hadithi fupi | Wahusika katika hadithi fupi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuchambua hadithi teule. Kueleza wahusika wanavyojipambanua kwa hadithi. |
Maelezo Majadiliano Tajriba Makundi Uhakiki |
Kitabu cha hadithi fupi | ||
3 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza. | Maagizo na maelekezo | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya maagizo na maelekezo. Kufafanua umuhimu wa maagiza na maelekezo. Kuandika ripoti. |
Ufaraguzi Mifano Ufaraguzi Kazi mradi Kuandika |
KCM Uk.171 MWM Uk.125-7 |
|
2 | Ufahamu | Povu la sabuni | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali. Kuzingatia mafunzo yaliyomo. |
Tajriba Mjadala Mufani Maigizo Usomaji |
KCM Uk.172-4 MWM Uk.128-9 Kamusi |
||
3-4 | Sarufi | Aina za vishazi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: kuanisha vishazi. Kutunga sentensi kubainisha mabadiliko ya maneno. |
Uchunguzi Mifano Maelezo Ufafanuzi |
KCM Uk.179-81 MWM Uk.131-2 |
||
5-6 | Ufasaha wa lugha | Mwingiliano wa maneno | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuainisha na kubainisha aina za maneno kutegemea matumizi. Kutunga sentensi kubainisha mabadiliko ya aina ya maneno. |
Uchunguzi Mifano Maelezo |
KCM Uk.177-9 MWM Uk.130 |
||
4 | 1-2 | Fasihi teule | Wahusika katika tamthilia | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua nafasi ya mhusika. Kueleza uumbaji na uchoraji wa wahusika. Kupambanua aina za wahusika. Kueleza jinsi ya kuchambua wahusika. |
Maigizo Uchunguzi Mjadala Utazamaji Ufahamu Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu teule | |
3 | Utunzi | Haithi fupi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua hatua za kuandika hadithi fupi. Kuandika hadithi fupi. |
Mifano Majaribio Uchunguzi Majadiliano Vidokezo Maelezo Ufafanuzi |
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa | ||
4 | Kusikiliza na kuzungumza. | Habari na ripoti za runinga na redio | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana, umuhimu na jinsi ya kutoa ripoti za redio na runinga. Kuainisha ripoti. |
Mifano Masimulizi Maelezo Ufahamu Mjadala |
KCM Uk.183 MWM Uk.133-5 |
||
5-6 | Fasihi yetu | Hadithi fupi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza fani ya lugha. Kufafanua umuhimu wa fani hizo. |
Kusoma Uchunguzi Ufafanuzi Mjadala Masimulizi Uchambuzi |
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa | ||
5 | 1 | Ufahamu | Ripoti za michezo | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa ufasaha. Kueleza aina ya michezo. Kutoa mifano ya taarifa. |
Makundi Maelezo Utafiti Tajriba Usomaji |
KCM Uk.184-6 MWM Uk.135-6 Kamusi |
|
2-3 | Sarufi | Sentensi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuainisha sentensi. Kueleza sifa za sentensi. Kutoa mifano ya kila aina. |
Majadiliano Makundi Mifano Ufafanuzi Mazoezi |
KCM Uk.186-8 MWM Uk.137 |
||
4 | Kusikiliza na kuzungumza. Ufasaha wa lugha |
Lugha za ripoti na uandishi wake | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza jinsi ya kuwasilisha ripoti. Kueneza lugha ya ripoti. Kuandika ripoti maalumu. |
Utafiti Mifano Maelezo |
KCM Uk.188-9 MWM Uk.137-8 |
||
5-6 | Fasihi teule | Hadithi fupi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kubainisha na kueleza muundo na mtindo wa tamthilia. Kuhakiki muundo wa tamthilia. |
Maelezo Ufafanuzi Uhakiki Majadiliano Kuigiza |
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa. | ||
6 | 1-2 | Utunzi | Insha ya ripoti | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza hatua za kuandika ripoti. Kuandika ripoti. |
Ufaraguzi Utafiti Kazi mradi kuandika |
KCM Uk.190 MWM Uk.138-9 |
|
3 | Kusikiliza na kuzungumza. | Mahakama | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua aina za mahakama na shughuli zao. Kutumia msamiati unaofaa wa mahakama kutunga sentensi. Kuendesha mazungumzo ya mahakama. |
Ziara Masimulizi Utafiti Maelezo Ufahamu Ufaraguzi |
KCM Uk.191 MWM Uk.139-42 |
||
4-5 | Fasihi yetu | Hadithi fupi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya maigizo. Kubainisha sura za sanaa za maonysho ya kawaida. |
Kuigiza Ziara Maelezo Masimulizi |
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa | ||
6 | Ufahamu | Haki za binadamu | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kwa usahihi. Kueleza ujumbe wa shairi. |
Kusoma Kukariri Maswali na majibu Maelezo |
KCM Uk.194-5 MWM Uk.143-4 Kamusi |
||
7 | 1 | Sarufi | Uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya mishale | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuchanganua sentensi kwa njia ya mishale au mistari. Kueleza muundo wa kikundi nomino (KN) na kikundi tenzi (KT). |
Maelezo Mifano Mazoezi |
KCM Uk.195-6 MWM Uk.143-4 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza. Ufasaha wa lugha |
Muhtasari- haki za watoto | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kudondoa hoja muhimu. Kuandika muhtasari was kifungu. Kubainisha haki za watoto. |
Makundi Masimulizi Utatuzi wa mambo |
KCM Uk.196-8 MWM Uk.144 |
||
3-4 | Fasihi teule | Matumizi ya lugha katika tamthilia | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza sifa za lugha katika tamthilia. Kutoa mifano ya matumizi ya lugha katika tamthilia. |
Kuigiza Uchunguzi Mifano Ufafanuzi Uhakiki |
Kitabu teule. | ||
5-6 | Kusikiliza na kuzungumza | Mialiko | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza umuhimu wa mialiko. Kupambanua sifa za mialiko. Kuainisha mialiko. |
Mifano Utafiti Vikundi Ufahamu Maelezo |
KCM Uk.201-2 MWM Uk.145-9 |
||
8 | 1-2 | Fasihi yetu | Hadithi fupi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutoa mifano ya maigizo. Kupambanua umuhimu wa maigizo. Kueleza jinsi ya kuchanganua maigizo. |
Ziara Utafiti Uchunguzi Uhakiki Maigizo |
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa | |
3 | Ufahamu | Kumbukumbu za mkutano | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma kumbukumbu. Kueleza maana za manen na vifungu. Kujibu maswali ya taarifa. |
Maswali na majibu Majadiliano Maelezo Kuigiza |
KCM Uk.204-6 MWM Uk.149-50 Kamusi |
||
4-5 | Sarufi | Uchanganuzi wa sentensi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kubainisha dhana ya uchanganuzi. Kuchanganua sentensi kwa njia ya jedwali. |
Mazoezi Maelezo Ufafanuzi |
KCM Uk.206-8 MWM Uk.150-1 |
||
6 | Ufasaha wa lugha | Kumbukumbu | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza umuhimu wa kumbukumbu. Kupambanua sifa za kumbukumbu. Kujibu maswali. |
Dayolojia Mahojiano Ufafanuzi |
KCM Uk.208-9 MWM Uk.151-2 |
||
9 | 1-2 | Fasihi teule | Mafunzo katika tamthilia | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya mafunzo. Kufafanua mbinu za wasanii kutoa mafunzo katika tamthilia. Kueleza mafunzo. |
Tajriba Mifano Mjadala Maelezo Ufafanuzi |
KCM Uk.209-10 MWM Uk.153-5 |
|
3-4 | Utunzi | Insha ya kumbukumbu | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika kumbukumbu. Kufafanua ya kuzingatia unapoandika kumbukumbu. |
Maelezo Ugunduzi Majaribio Ufaraguzi Uhakiki |
KCM Uk.210 MWM Uk.153-8 |
||
5-6 | Kusikiliza na kuzungumza | Matangazo | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza sifa za matangazo katika redio na runinga. Kufafanua jinsi ya kuandaa matangazo. Kuhakiki na kuandaa matangazo. |
Maelezo Tajriba Majadiliano Ufaraguzi Uhakiki Ufahamu |
KCM Uk.211 MWM Uk.155-8 |
||
10 | 1 | Hadithi fupi | Mikusanyiko ya kazi za fasihi simulizi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua umuhimu wa kukusanya na kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. Kueleza njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi. |
Maelezo Ufafanuzi Makundi Uhakiki |
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa | |
2 | Ufahamu | Maji na uhai | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusma taarifa kwa ufasaha. Kufafanua hali ya maji na umuhimu wake. Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi. |
Usomaji Tajriba Maswali na majibu Uvumbuzi Uchunguzi |
KCM Uk.213-5 MWM Uk.159-7 Kamusi |
||
3-4 | Sarufi | Uchanganuzi wa sentensi | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya uchanganuzi. Kuchanganua sentensi sahili, ambatano na changamano kwa njia ya michoro ya matawi. |
Maelezo Ufafanuzi Mifano Maswali na majibu Mazoezi |
KCM Uk.216-7 MWM Uk.161-6 |
||
5-6 | Ufasaha wa lugha | Matangazo | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika tangazo la kuvutia kulingana na kichwa walichopewa. Kueleza sifa za matangazo ya maandishi. |
Maelezo Maswali na majibu Mkundi Tajriba |
KCM Uk.218 MWM Uk.166-7 |
||
11 | 1-2 | Fasihi teule | Tathmini katika tamthilia | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza sifa za tamthini katika tamthilia. Kueleza namna ya kujibu maswali katika tamthilia. |
Maelezo Maswali na majibu Mkundi Tajriba |
Kitabu kilichoteuliwa | |
3-4 | Utunzi | Insha ya makala | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua maana ya makala ya kitaaluma. Kuandika insha ya kitaaluma kuhusu mada walitopewa kwa usahihi. |
Ufaraguzi Makundi Mahojiano Maelezo |
KCM Uk.220 MWM Uk.168 |
||
12-13 | MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA |
KCM & MWM Form 1 Kiswahili Schemes of Works Term 3 2020/2021
KCM & MWM MAAZIMO YA KAZI KIDATO CHA KWANZA MUHULA WA TATU MWAKA 2020/2021 | |||||||
JUMA | KIPINDI | MADA KUU | MADA NDOGO | SHABAHA | NJIA ZA KUFUNDISHIA | NYENZO | MAONI |
1 | 1 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Tamthilia. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kutokana na kifungu. Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi. Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa. |
Drama. Ufahamu wa kusikiliza. Mjadala. Kusoma Kifungu. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 113-5 MWM Uk. 90-91 |
|
2 | Kuandika. Utunzi. |
Barua rasmi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika barua rasmi kwa ufasaha. |
Maelezo. Mifano. |
KCM Uk. 115 MWM Uk. 91 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza. | Kazi mbalimbali. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja kazi mbalimbali. Kufafanua kazi mbalimbali. Kujadili manufaa na hasara za kazi mbalimbali. |
Mdahalo. Mahojiano. Ufafanuzi. Kuigiza bila maneno. Kusoma ufahamu. |
KCM Uk. 117 MWM Uk. 93-4 Kamusi |
||
4 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha. Kueleza maana za maneno na vifungu. Kujibu maswali. |
Ufafanuzi. |
KCM Uk. 117-8 MWM Uk. 87-8 Kamusi |
||
5 | Kuandika. Ufasaha wa lugha. |
Uandishi wa kawaida. Muhtasari. |
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua maana ya ufupisho. Kueleza umuhimu wa muhtasari. Kudondoa hoja kuu. Keleza mambo kwa muhtasari. |
Utatanuzi wa mambo. Mifano. Vielezo. Kusikiliza ufahamu. |
KCM Uk. 120-1 MWM Uk. 95-6 |
||
2 | 1 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Kauli za vitenzi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kugeuza vitenzi katika kauli fulani. Kueleza maana ya sentensi zenye vitenzi katika kauli fulani. |
Ufaraguzi. Mifano. Kujaza jedwali. Kazi mradi. |
KCM Uk. 119-120 MWM Uk. 94-95 |
|
2-3 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Tamthilia. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kutokana na kifungu. Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi. Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa. Kueleza maana ya msamiati wa vihusishi. |
Utatanuzi wa mambo. Ufahamu wa kusikiliza. Mjadala. Kusoma kifungu. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 122-3 MWM Uk. 96-7 |
||
4 | Kuandika. Utunzi. |
Mchezo mfupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutunga mchezo wa kuigiza kwa kusingatia mbinu za utunzi wa michezo ya kuigiza. |
Drama. Maelezo. Majadiliano. Utafiti. Mazoezi |
KCM Uk. 123-4 MWM Uk. 98 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza. | Teknologia mpya. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja majina ya vifaa. Kueleza matumizi ya vifaa. Kutunga sentense na aya kuhusu vifaa vya teknologia. |
Uvumbuzi. Maelezo. Majadiliano. Usomaji. |
KCM Uk. 125 MWM Uk. 98-100 Kamusi |
||
3 | 1-2 | Kusoma na Kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha. Kueleza maana za maneno na vifungu. Kujibu maswali. |
Ufafanuzi. Kusoma. Maswali na majibu. Tajriba. Mazoezi. |
KCM Uk. 126-128 MWM Uk. 100-1 Kamusi |
|
3 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Mpangilio na uhusiano wa maneno. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kupanga maneno katika nafasi sahihi kwenye sentensi. |
Michezo ya lugha. Mifano. Vielezo. |
KCM Uk. 128-9 MWM Uk. 101-2 Kamusi |
||
4 | Kusikiliza na kuzungumza. Ufasaha wa lugha. |
Uundaji wa maneno. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza sababu ya kuunda maneno. Kuunda maneno kutoka kwa maneno mengine. |
Ufafanuzi. Mifano. Maelezo. Imla. Mazoezi. |
KCM Uk. 129-130 MWM Uk. 102-3 |
||
5 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Tamthilia. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kutokana na kifungu. Kudondoa maneno yaliyotumiwa kifasihi. Kutaja baadhi ya mbinu za kifasihi zilizotumiwa. Kueleza maana ya msamiati wa vihusishi. |
Utatuzi wa mambo. Ufahamu wa kusikiliza. Mjadala. Kusoma kifungu. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 130-2 MWM Uk. 103-4 |
||
4 | 1-2 | Kuandika. Utunzi. |
Insha ya wasifu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika sifa za kitu, jambo au mtu. Kutumia lugha inayotoa sifa za kitu, jambo au mtu. |
Ufafanuzi. Mifano. Maelezo. Mazoezi. |
KCM Uk. 132 MWM Uk. 104-5 |
|
3 | Kusikiliza na kudadisi. | Semi-Nahau. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya nahau. Kutumia nahau katika sentense. |
Utafiti. Mifano. Kuandika. Kazi mradi. |
KCM Uk. 133 MWM Uk. 105-6 |
||
4 | Kusikiliza na kuzungumza. | Hotuba. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja sehemu za hotuba. Kueleza ujumbe wa hotuba |
Uigizaji. Maswali na majibu. Majadiliano. Ksikiliza ufahamu. |
KCM Uk. 133-5 MWM Uk. 105-6 |
||
5 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma kwa ufasaha. Kueleza maana za maneno na vifungu. Kujibu maswali. |
Ufafanuzi. Maswali na majibu. Kusoma. Tajriba. |
KCM Uk. 135-7 MWM Uk. 105-6 Kamusi |
||
5 | 1-2 | Sarufi na matumiza ya lugha. | Maana na aina za sentensi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya sentensi. Kutunga sentensi sahihi na ambatano. |
Uchunguzi. Mifano. Ufafanuzi. Tajriba. Mazoezi. |
KCM Uk. 137-8 MWM Uk. 108 |
|
3 | Kusikiliza na kuzungumza. Ufasaha wa lugha. |
Lugha ya hotuba. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja sifa za hotuba. Kutoa hotuba fupi mbele ya darasa. Kuandika hotuba fupi. |
Kuigiza. Vikundi. Maswali na majibu. Mazoezi. |
KCM Uk. 138-40 MWM Uk. 108-9 Kamusi |
||
4-5 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Tamthilia. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza vitendo vya wahusika. Kujibu maswali kwa usahihi. Kutumia misemo katika sentensi. |
Maelezo. Maigizo. Ufafanuzi. Masimulizi. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 140-2 MWM Uk. 109-10 |
||
6 | 1 | Kuandika. Utunzi. |
Hotuba. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika hotuba yenye mtirirko wa mawazo. |
Mifano / marudio. Melezo. Kazi mradi. |
KCM Uk. 142 MWM Uk. 110 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza. | Utungaji wa kisanii. Vitanzi ndimi. |
Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutamka maneno harakaharaka. Kueleza maana ya maneno yatatanishayo. Kutunga vitansi ndimi. |
Michezo ya lugha. Mashindano. Mifano. Imla. Kazi mradi. |
KCM Uk. 143 MWM Uk. 111 |
||
3-4 | Kusikiliza na kuzungumza. | Mjadala. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuzua hoja na kuzitetea. Kuziwasilisha katika mjadala kwa ufasaha. |
Mjadala. Utendaji. Ufafanuzi. Tajriba. Imla. |
KCM Uk. 143 MWM Uk. 111-2 |
||
5 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza taarifa. Kueleza chanzo na madhara ya ufisadi. Kujibu maswali. |
Usomaji. Ufafanuzi. Tajriba. Makundi. Mazoezi. |
KCM Uk. 144-5 MWM Uk. 111-2 Kamusi |
||
7 | 1 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Tungo na sentense. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya tungo, kirai, kishazi na sentensi. Kujua sifa za tungo, kirai, kishazi na sentensi. Kubainisha virai na vishazi katika tungo. |
Ufafanuzi. Maelezo. Majadiliano. Mazoezi. |
KCM Uk. 145-7 MWM Uk. 113-4 |
|
2 | Kuandika. Ufasaha wa lugha. |
Alama za uakifishaji. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutumia alama fulani za uakifishaji. Kutumia alama za uakifishaji katika maandishi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Mifano. Mazoezi. Marudio ya mazoezi. |
KCM Uk. -147-9 MWM Uk. 114-5 |
||
3 | Kusikiliza na kudadisi. Fasihi yetu. |
Mashairi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuanishashairi. Kudondoa hoja kuu kutoka sahiri. Kueleza shairi kwa lugha nadhari. |
Masimulizi. ufafanuzi. Uchambuzi. Maswali na majibu. Kukariri. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 149-152 MWM Uk. 115-6 |
||
4 | Kuandika. Utunzi. |
Insha ya mjadala. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza muundo wa insha ya mjadala. Kufafanua sifa na kuandika insha ya mjadala kwa usahihi. |
Maelezo na ufafanuzi. Mjadala. Utafiti na uchunguzi. Maswali na majibu. Tajriba. Mazoezi. |
KCM Uk.152 MWM Uk. 116-7 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza. | Tanakali za sauti. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutoa mifano ya tanakali za sauti. Kutunga sentensi kutumia tanakli za sauti. |
Utatuzi. Tajriba. Uchunguzi. Kusoma. Maswali na majibu. |
KCM Uk. 154-6 MWM Uk. 110-11 |
||
8 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza. | Magonjwa. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutafakari juu ya maswala yanayoibuka katika jamii. Kutaja baadhi ya magonjwa ya kisasa. |
Maelezo. Utafiti. Mahojiano. Ukusanyanji. Ufahamu wa kusikiliza. |
KCM Uk. 153 MWM Uk. 117-8 |
|
2 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa ufasaha. Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora. Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi. |
Usomaji. Maswali na majibu. Majadiliano. Utafiti. Maelezo. Tajriba. Mazoezi. |
KCM Uk. 153-5 MWM Uk. 118-120 |
||
3 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Vaimbishi vimilikishi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kubainisha maana ya vivumishi vimilikishi. Kuorodhesha vivumilishi vimilikishi. kutumia vivumilishi vimilikishi katika sentensi. |
Maelezo. Tajriba. Mifano. Maswali na majibu. Mazoezi. |
KCM Uk. 156-7 MWM Uk. 120-21 |
||
4 | Kuandika. Ufasaha wa lugha. |
Muhtasari. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuandika kwa ufupi na urefu wa maneno. Kufupisha vifungu kulingana na maagizo. Kujibu maswali kwa kuzingatia idadi ya maneno kulingana na maagizo. |
Maelezo. Ufafanuzai. Uchunguzi. Mifano. Maswali na majibu. Mazoezi. |
KCM Uk. 157-8 MWM Uk. 121-2 |
||
5 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Riwaya / hadithi fupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuimarisha ujuzi wa kusoma. Kuweka msingi wa fasihi andishi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Uchunguzi maigizo. Kusikiliza ufahamu. |
KCM Uk. 158-160 MWM Uk. 90-91 |
||
9 | 1 | Kuandika. Utunzi. |
Utungaji wa kisanii. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutunga kazi ya sanaa. |
Maelezo. Mifano. Utafiti. Mazoezi. |
KCM Uk. 160 MWM Uk. 124-5 |
|
2 | Kusikiliza na kuzungumza. | Misemo. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kututmia misemo kutungia sentensi. Kueleza maana na matumiza ya misemo. |
Maelezo. Masimulizi. Ufahamu. Mazoezi. |
KCM Uk. 161 MWM Uk. 125-6 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza. | Kujaza hojaji. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutaja muundo wa hojaji. Kueleza umuhimu wa hojaji. Kujibu maswali kuhusu hojaji kikamilifu. |
Maswali na majibu. Kuandika. Ufahamu wa kusikiliza. Mazoezi. |
KCM Uk. 161-2 MWM Uk. 127 |
||
4 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Vionyeshi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza maana ya vionyeshi. Kueleza aina ya vionyeshi. Kutumia vionyeshi katika sentensi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Maswali na majibu. Mazoezi. |
KCM Uk. 164-5 MWM Uk. -128-9 |
||
5 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa ufasaha. Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora. Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi. |
Usomaji. Maswali na majibu. Majadiliano. Utafiti. Maelezo. Tajriba. |
KCM Uk. 162-3 MWM Uk. 127-8 |
||
10 | 1 | Kusikiliza na kuzungumza. (Ufasaha wa lugha) |
Barabarani. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza safari barabarani. Kutaja na kufasiri alama za barabarani. Kutumia maneno mapya kwa usahihi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Maswali na majibu. Kusikiliza ufahamu. |
KCM Uk. 165-6 MWM Uk. 129-130 |
|
2 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Riwaya / hadithi fupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza uhuru aliotaka mhusika. Kueleza maana ya maneno mageni na misemo mipya katika taarifa. Kueleza sababu ya kutumia alama ya dukuduku. |
Ugunduzi wa kuongozwa. Masimulizi. Mjadala. Ufahamu wa kusikiliza. |
KCM Uk. 167-9 MWM Uk. 130-1 |
||
3 | Kuandika. Utunzi. |
Umdhaniaye ndiye siye ........... | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kujibu maswali kutoka kifungu. Kutumia maneno mapya kkwa usahihi. |
Maelezo. Ufafanuzi. Mifano. Uhakiki. |
KCM Uk. 169-70 MWM Uk. 131-132 |
||
4 | Kuandika. | Insha ya picha. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufaairi ujumbe wa picha. Kuandika insha kutokana na picha. |
Maelezo. Majadiliano. Tajriba. Makundi. Mazoezi. |
KCM Uk. 171 MWM Uk. 133-4 |
||
5 | Kusikiliza na kuzungumza. | Haki za watoto. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza haki za watoto. Kueleza wajibu unaoambatana na kila haki ya mtoto. Kukuza ujuzi wa kujadili ma kutoa maelezo kimantiki. |
Kisa / hadithi. Majadiliano. Kuchochea wanafunzi kuongea. Maelezo. |
KCM Uk. 171-2 MWM Uk. 134-5 |
||
11 | 1 | Kusoma na kuandika. | Ufahamu. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kusoma taarifa kwa ufasaha. Kusoma kwa kuzingatia kanuni za usomaji bora. Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi. Kuzindua masuala maalum kutoka ufahamu. |
Usomaji. Maswali na majibu. Majadiliano. Utafiti. Maelezo. Tajriba. |
KCM Uk. 172-4 MWM Uk. -136-7 |
|
2 | Sarufi na matumizi ya lugha. | Kirejeshi - amba. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kutumia mzizi -amba kwa usahihi katika ngeli zote. Kutumia 'o' rejeshi badala ya mzizi -amba. |
Tjriba. Mifano. Mazoezi. |
KCM Uk. 174-6 MWM Uk. 137-8 |
||
3 | Kusikiliza na kuzungumza. (Ufasaha wa lugha) |
Lugha ya magezetini. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kueleza matumiza ya lugha katika magazeti. Kuonyesha sifa za lugha katika magazetini. Kuandika makala ya magazeti k.v, ukumwi, maji, njaa, ufisadi, n.k. |
Kusoma makala ya magazeti. |
KCM Uk. 179-81 MWM Uk. 131-2 |
||
4 | Kusoma kwa kina. Fasihi yetu. |
Riwaya / hadithi fupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kuimarisha sauti ya kusoma. Kumpa nafasi kuingiliana na kutenda katika matini ya fasihi. Kuhakiki ujumbe wa lugha iliyotumika. |
Mifano. Maelezo. Ufafanuzi. |
KCM Uk. 177-9 MWM Uk. 130 |
||
5 | Kuandika. Utunzi. |
Uandishi wa hadithi fupi. | Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze: Kufafanua hatua za kuandika hadithi fupi. Kuandika hadithi fupi. Kuwa na msingi wa uandishi wa kisanaa. |
Mifano. Uxhunguzi. Vidokezo. Majadiliano Maelezo. Ufafanuzi. |
KCM Uk. 177-180 MWM Uk. 140-1 |
||
12-13 | MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA |