KCM & MWM Form 3 Kiswahili Schemes of Work Term 3 2020/2021

Rate this item
(4 votes)
KCM & MWM Form 3 Kiswahili Schemes of Work Term 3 2020/2021
JUMA KIPINDI MADA KUU MADA NDOGO SHABAHA NJIA ZA KUFUNDISHA NYENZO MAONI
1 1 Kusikiliza na kuzungumza. Misimu na lakabu Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya misimu na lakabu.
Kujadili umuhimu wao.
Kutoa mifano ya lakabu na misimu.

Maelezo
Majadiliano
Tajriba
Ufahamu

KCM Uk.161-2
MWM Uk.119-20
 
2 Kusikiliza na kuzungumza.
Fasihi yetu.
Lugha ya anthari na ufupisho katika ushairi  Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya ufupisho na lugha ya nathari.
Kufafanua umuhimu wa lugha ya ufupisho katika shairi.
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Makundi
Uhakiki
Tajriba
Kitabu teule  
3 Ufahamu. Kujali wenye ukimwi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa ufasaha.
Kujadili yaliyomo.
Kueleza maana ya istilahi ngeni na msamiati.
Maelezo
Kuandika
Maswali na majibu
KCM Uk.166-67
MWM Uk.123
 
4-5 Sarufi Aina za virai Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza virai.
Kueleza aina za virai.
Kubaininisha virai mbalimbali katika sentensi
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Makundi
KCM Uk.166-67
MWM Uk.123
 
6 Utunzi Insha ya maelezo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza ya kuzingatiwa wakati wa kuandika insha ya maelezo,
Kuandika insha ya maelezo
Maelezo
Tajriba
Maswali na majibu
Maigizo
Kuandika
KCM Uk.170
MWM Uk.125
 
2 1-2 Kusikiliza na kuzungumza.
(Ufasaha wa lugha)
Muhtasari: Usanifishaji wa lugha ya Kiswahili Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya Usanifishaji.
Kufafanua sababu za kusanifisha lugha.
Kujadili udhaifu katika usanifishaji.
Kufupisha makala ilivyoagizwa.
Maelezo
Ufafanuzi
Maswali na majibu
Makundi
Kufupisha
Utafiti
KCM Uk.167-169
MWM Uk.123-4
 
3-4 Kusikiliza na kuzungumza.
(Fasihi teule)
Maudhui katika tamthilia Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maudhui na dhamira
Kueleza namna ya kuhakiki maudhui.
Kufafanua mambo ya kuzingatia katika uchambuzi wa maudhui.
Maelezo
Ufafanuzi
Mifano
Majadiliano
Makundi
Uhakiki
KCM Uk.169-70
MWM Uk.124-5
 
5-6 Hadithi fupi Wahusika katika hadithi fupi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuchambua hadithi teule.
Kueleza wahusika wanavyojipambanua kwa hadithi.
Maelezo
Majadiliano
Tajriba
Makundi
Uhakiki
Kitabu cha hadithi fupi  
3 1 Kusikiliza na kuzungumza. Maagizo na maelekezo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya maagizo na maelekezo.
Kufafanua umuhimu wa maagiza na maelekezo.
Kuandika ripoti.
Ufaraguzi
Mifano
Ufaraguzi
Kazi mradi
Kuandika
KCM Uk.171
MWM Uk.125-7
 
2 Ufahamu Povu la sabuni Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma kwa ufasaha na kujibu maswali.
Kuzingatia mafunzo yaliyomo.
Tajriba
Mjadala
Mufani
Maigizo
Usomaji
KCM Uk.172-4
MWM Uk.128-9
Kamusi
 
3-4 Sarufi Aina za vishazi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
kuanisha vishazi.
Kutunga sentensi kubainisha mabadiliko ya maneno.
Uchunguzi
Mifano
Maelezo
Ufafanuzi
KCM Uk.179-81
MWM Uk.131-2
 
5-6 Ufasaha wa lugha Mwingiliano wa maneno Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuainisha na kubainisha aina za maneno kutegemea matumizi.
Kutunga sentensi kubainisha mabadiliko ya aina ya maneno.
Uchunguzi
Mifano
Maelezo
KCM Uk.177-9
MWM Uk.130
 
4 1-2 Fasihi teule Wahusika katika tamthilia Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua nafasi ya mhusika.
Kueleza uumbaji na uchoraji wa wahusika.
Kupambanua aina za wahusika.
Kueleza jinsi ya kuchambua wahusika.
Maigizo
Uchunguzi
Mjadala
Utazamaji
Ufahamu
Ufafanuzi
Uhakiki
Kitabu teule  
3 Utunzi Haithi fupi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua hatua za kuandika hadithi fupi.
Kuandika hadithi fupi.
Mifano
Majaribio
Uchunguzi
Majadiliano
Vidokezo
Maelezo
Ufafanuzi
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa  
4 Kusikiliza na kuzungumza. Habari na ripoti za runinga na redio Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana, umuhimu na jinsi ya kutoa ripoti za redio na runinga.
Kuainisha ripoti.
Mifano
Masimulizi
Maelezo
Ufahamu
Mjadala
KCM Uk.183
MWM Uk.133-5
 
5-6 Fasihi yetu Hadithi fupi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza fani ya lugha.
Kufafanua umuhimu wa fani hizo.
Kusoma 
Uchunguzi
Ufafanuzi
Mjadala
Masimulizi
Uchambuzi
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa  
5 1 Ufahamu Ripoti za michezo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma taarifa kwa ufasaha.
Kueleza aina ya michezo.
Kutoa mifano ya taarifa.
Makundi
Maelezo
Utafiti
Tajriba
Usomaji
KCM Uk.184-6
MWM Uk.135-6
Kamusi
 
2-3 Sarufi Sentensi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuainisha sentensi.
Kueleza sifa za sentensi.
Kutoa mifano ya kila aina.
Majadiliano
Makundi
Mifano
Ufafanuzi
Mazoezi
KCM Uk.186-8
MWM Uk.137
 
4 Kusikiliza na kuzungumza.
Ufasaha wa lugha
Lugha za ripoti na uandishi wake Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza jinsi ya kuwasilisha ripoti.
Kueneza lugha ya ripoti.
Kuandika ripoti maalumu.
Utafiti
Mifano
Maelezo
KCM Uk.188-9
MWM Uk.137-8
 
5-6 Fasihi teule Hadithi fupi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kubainisha na kueleza muundo na mtindo wa tamthilia.
Kuhakiki muundo wa tamthilia.
Maelezo
Ufafanuzi
Uhakiki
Majadiliano
Kuigiza
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa.  
6 1-2 Utunzi Insha ya ripoti Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza hatua za kuandika ripoti.
Kuandika ripoti.
Ufaraguzi
Utafiti
Kazi mradi kuandika
KCM Uk.190
MWM Uk.138-9
 
3 Kusikiliza na kuzungumza. Mahakama Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua aina za mahakama na shughuli zao.
Kutumia msamiati unaofaa wa mahakama kutunga sentensi.
Kuendesha mazungumzo ya mahakama.
Ziara
Masimulizi
Utafiti
Maelezo
Ufahamu
Ufaraguzi
KCM Uk.191
MWM Uk.139-42
 
4-5 Fasihi yetu  Hadithi fupi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya maigizo.
Kubainisha sura za sanaa za maonysho ya kawaida.
Kuigiza
Ziara
Maelezo
Masimulizi
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa  
6 Ufahamu Haki za binadamu Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kujibu maswali kwa usahihi.
Kueleza ujumbe wa shairi.
Kusoma
Kukariri
Maswali na majibu
Maelezo
KCM Uk.194-5
MWM Uk.143-4
Kamusi
 
7 1 Sarufi Uchanganuzi wa sentensi kwa njia ya mishale Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuchanganua sentensi kwa njia ya mishale au mistari.
Kueleza muundo wa kikundi nomino (KN) na kikundi tenzi (KT).
Maelezo
Mifano
Mazoezi
KCM Uk.195-6
MWM Uk.143-4
 
2 Kusikiliza na kuzungumza.
Ufasaha wa lugha
Muhtasari- haki za watoto Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kudondoa hoja muhimu.
Kuandika muhtasari was kifungu.
Kubainisha haki za watoto.
Makundi
Masimulizi
Utatuzi wa mambo
KCM Uk.196-8
MWM Uk.144
 
3-4 Fasihi teule Matumizi ya lugha katika tamthilia Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza sifa za lugha katika tamthilia.
Kutoa mifano ya matumizi ya lugha katika tamthilia.
Kuigiza
Uchunguzi
Mifano
Ufafanuzi
Uhakiki
Kitabu teule.  
5-6 Kusikiliza na kuzungumza Mialiko Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa mialiko.
Kupambanua sifa za mialiko.
Kuainisha mialiko.
Mifano
Utafiti
Vikundi
Ufahamu
Maelezo
KCM Uk.201-2
MWM Uk.145-9
 
8 1-2 Fasihi yetu Hadithi fupi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kutoa mifano ya maigizo.
Kupambanua umuhimu wa maigizo.
Kueleza jinsi ya kuchanganua maigizo.
Ziara
Utafiti
Uchunguzi
Uhakiki
Maigizo
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa  
3 Ufahamu Kumbukumbu za mkutano Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusoma kumbukumbu.
Kueleza maana za manen na vifungu.
Kujibu maswali ya taarifa.
Maswali na majibu
Majadiliano
Maelezo
Kuigiza
KCM Uk.204-6
MWM Uk.149-50
Kamusi
 
4-5 Sarufi Uchanganuzi wa sentensi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kubainisha dhana ya uchanganuzi.
Kuchanganua sentensi kwa njia ya jedwali.
Mazoezi
Maelezo
Ufafanuzi
KCM Uk.206-8
MWM Uk.150-1
 
6 Ufasaha wa lugha Kumbukumbu Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza umuhimu wa kumbukumbu.
Kupambanua sifa za kumbukumbu.
Kujibu maswali.
Dayolojia
Mahojiano
Ufafanuzi
KCM Uk.208-9
MWM Uk.151-2
 
9 1-2 Fasihi teule Mafunzo katika tamthilia Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya mafunzo.
Kufafanua mbinu za wasanii kutoa mafunzo katika tamthilia.
Kueleza mafunzo.
Tajriba
Mifano
Mjadala
Maelezo
Ufafanuzi
KCM Uk.209-10
MWM Uk.153-5
 
3-4 Utunzi Insha ya kumbukumbu Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika kumbukumbu.
Kufafanua ya kuzingatia unapoandika kumbukumbu.
Maelezo
Ugunduzi
Majaribio
Ufaraguzi
Uhakiki
KCM Uk.210
MWM Uk.153-8
 
5-6 Kusikiliza na kuzungumza Matangazo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza sifa za matangazo katika redio na runinga.
Kufafanua jinsi ya kuandaa matangazo.
Kuhakiki na kuandaa matangazo.
Maelezo
Tajriba
Majadiliano
Ufaraguzi
Uhakiki
Ufahamu
KCM Uk.211
MWM Uk.155-8
 
10 1 Hadithi fupi Mikusanyiko ya kazi za fasihi simulizi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua umuhimu wa kukusanya na kuhifadhi kazi za fasihi simulizi.
Kueleza njia za kuhifadhi kazi za fasihi simulizi.
Maelezo
Ufafanuzi
Makundi
Uhakiki
Kitabu cha hadithi fupi kilichoteuliwa  
  2 Ufahamu Maji na uhai Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kusma taarifa kwa ufasaha.
Kufafanua hali ya maji na umuhimu wake.
Kujibu maswali ya taarifa kwa usahihi.
Usomaji
Tajriba
Maswali na majibu
Uvumbuzi
Uchunguzi

KCM Uk.213-5
MWM Uk.159-7
Kamusi
 
  3-4 Sarufi Uchanganuzi wa sentensi Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza maana ya uchanganuzi.
Kuchanganua sentensi sahili, ambatano na changamano kwa njia ya michoro ya matawi.
Maelezo
Ufafanuzi
Mifano
Maswali na majibu
Mazoezi
KCM Uk.216-7
MWM Uk.161-6
 
  5-6 Ufasaha wa lugha Matangazo Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kuandika tangazo la kuvutia kulingana na kichwa walichopewa.
Kueleza sifa za matangazo ya maandishi.
Maelezo
Maswali na majibu
Mkundi
Tajriba
KCM Uk.218
MWM Uk.166-7
 
11 1-2 Fasihi teule Tathmini katika tamthilia Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kueleza sifa za tamthini katika tamthilia.
Kueleza namna ya kujibu maswali katika tamthilia.
Maelezo
Maswali na majibu
Mkundi
Tajriba
Kitabu  kilichoteuliwa  
  3-4 Utunzi Insha ya makala Kufika mwisho wa somo, mwanafunzi aweze:
Kufafanua maana ya makala ya kitaaluma.
Kuandika insha ya kitaaluma kuhusu mada walitopewa kwa usahihi.
Ufaraguzi
Makundi
Mahojiano
Maelezo
KCM Uk.220
MWM Uk.168
 
12-13 MTIHANI WA MWISHO WA MWAKA
Read 1321 times Last modified on Friday, 21 May 2021 08:53

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.