Insha ya Methali - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp


Utangulizi

 • Insha inayosimulia kisa kinachoonyesha ukweli au uongo wa methali Fulani.
 • Wazia methali nyingine za kutilia mkazo methali uliyopewa.
 • Methali huwa na pande mbili na ni lazima insha ya methali izipe sehemu zote mbili uzito sawa.
 • Upande mmoja hutoa wazo au pendekezo; na upande wa pili hutoa jibu, suluhisho au matokeo.
 • Chukua kwa mfano, "Mpanda ngazi hushuka". Katika insha yako ni lazima utoe hoja za kutosha kuonyesha kwamba mhusika fulani kweli alipanda ngazi (k.v alipata cheo kikubwa, alijisifu n.k).
 • Mwandishi pia anapaswa kutoa hoja za kutosha kuonyesha namna mhusika huyo aliposhuka (k.v akafutwa kazi,n.k).
 • Kwa mara nyingi, wanafunzi huzingatia tu sehemu ya kwanza ya methali katika insha yote huku sehemu ya pili ikijitokeza katika aya ya mwisho pekee.


Muundo

 1. Kichwa
  • Methali yenyewe
 2. Utangulizi
  • Maana ya juu/wazi
  • Maana ya ndani/batini
 3. Mwili
  • Kisa kinachofungamana na methali cha kweli au cha kubuni
 4. Hitimisho
 5. Funzo/maadili
Join our whatsapp group for latest updates

Download Insha ya Methali - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest