Insha ya Mdokezo - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
 • Ambapo umepewa mdokezo wa kuanzia (xxx…) au kumalizia (…xxx) k.m. ‘…tangu siku hiyo alikula yamini kutopuuza ushauri wa wazazi wake tena'
 • Mtahiniwa anatarajiwa kubuni kisa kizuri ili: Amalizie/Kutanguliza kwa maneno hayo. Anayekosa kumalizia/kuanzia kwayo amejitungia swali atuzwe D 02/20 au 03/20
 • Anayeongeza maneno chini ya matano, achukuliwe kuwa na kosa la mtindo na akadiriwe ifaavyo.
  Anayekata au kusahau maneno chini ya maneno achukuliwe kuwa na kosa la kimtindo; akadiriwe ifaavyo
 • Kisa cha mtahiniwa sharti kionyeshe mhusika aliyepitia hali inayoelekezwa na maneno hayo
 • Asiyezingatia nafsi iliyo kwenye dondoo atuzwe D 02/20 au 03/20
Join our whatsapp group for latest updates

Download Insha ya Mdokezo - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest