Isha ya Ilani - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
 • Julisho, tangazo au notisi.
ILANI
TAFADHALI USITUMIE SIMU
YA MKONO NDANI YA BENKI

ILANI YA SERIKALI KUHUSU KUZUKA KWA UGONJWA WA KIPINDUPINDU

Serikali imetoa ilani kwa wananchi kuhusu kuzuka kwa ugonjwa wa kipindupindu. Kila mwananchi anatakikana kuzingatia mambo yafuatayo ili kudhibiti maambukizi.

 1. Mtu asinywe maji kabla kuyachemsha
 2. Kupika chakula hadi kiive vizuri
 3. Kutoenda haja nje bali kutumia vyoo vya mashimo
 4. Mtu anawe mikono yake kwa sabuni baada ya kutoka msalani
 5. Mtu asile matunda au mboga za majani bila kuziosha kwanza
 6. Anayeonyesha dalili ya ugonjwa wa kipindupindu apelekwe katika kituo cha afya mara moja.
 7. Uchuuzi wa vyakula umepigwa marufuku
 8. Ufuliaji nguo motoni pia umepigwa marufuku

Watakaokaidi maagizo katika (g) na (h) watachukuliwa hatua kali za kisheria ya kutozwa faini ya shilingi elfu tano au kifungo cha miezi miwili gerezani.

Join our whatsapp group for latest updates

Download Isha ya Ilani - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest