Maswali
- UFAHAMU
Soma hadithi ifuatayo kisha ujibu maswallyerfuatayo:
Karimi ni msichana nadhifu. Yeye husoma katika gredi ya kwanza shuleni leleji. Mwalimu wake wa darasa ni Bi Khadija. Kiranja wa darasa ni mvulana. Jina lake ni Adhoch.- Karimi ni msichana wa aina gani?
- Ako katika gredi gani?
- Shule yake inaitwaje?
- Mwaiimu wake wa darasa anaitwaje?
- Kiranja woo anaitwaje?
- SARUFI (Mama 20)
- Andika majina ya vyakula hivi (Mama 5)
- chagua jibu sahihi. (Mama 5)
- Ndizi ___________ zimeharibika. (zetu, langu)
- Mihogo ___________ imepikwa. (letu, yetu)
- Embe ___________ limeiva. (Iangu, zangu)
- Muwa ___________ ni mtamu. (zetu, wangu)
- Viazi ___________ ni vikubwa. (chetu vyetu)
- Tumia haya maneno kujaza pengo
(nawa mikono, futa kamasi, kata kucha)- Mtoto ali ___________ kwenye pua lake.
- Baada ya kutoka msalani ali ___________
- Mwanafunzi ali___________ zake ndefu za vidole
- Jaza pengo kwa kutumia maneno haya
(pole, tafadhali, kwaheri)- Ukimkosea mtu utamwambia ___________
- Ukimuaga mtu unasema ___________ ya kuonana.
- ___________ nisaidie kalamu yako.
- Andika majina ya nambari hizi kwa maneno
- 10 ___________
- 8 ___________
- 6 ___________
- 7 ___________
- Andika majina ya vyakula hivi (Mama 5)
- KUANDIKA.
Unda maneno kumi kutoka kwenye jedwali
kwa mfano: a na bi sha - anabisha
nya bu bi na mba za mu ba sha a ha sa - ___________________________
- ___________________________
- ___________________________
- ___________________________
- ___________________________
- ___________________________
- ___________________________
- ___________________________
- ___________________________
- ___________________________
Majibu
-
- nadhifu
- gredi ya kwanza
- Leleji
- Bi Khadija
- Adhoch
-
-
- mhindi/ mahindi
- sukuma
- kitunguu
- nyanya
- maharagwe/maharage
-
- zetu
- yetu
- langu
- wangu
- vyetu
-
- futa kamasi
- nawa mikono
- kata kucha
-
- pole
- kwaheri
- tafadhali
-
- kumi
- nane
- sita
- saba
-
- Sahihisha maneno yoyote kumi ambayo yametengenezwa kulingana na maagizo
mfano: babu, hamu, sanaa, hasa, baa, bisha, nasa, sana, zamu, zaba, shamba, ana, amba, anabisha, sambaza, sambaa, saba, na mengineo
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Download Kiswahili Activities Questions and Answers - CBC Grade 1 End Term 1 Exams 2022 Set 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students