Maswali
- KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA (Alama 5)
Nitakusomea hadithi kisha nitakuuliza maswali. Sikiliza kwa makini.
Jumatano ni siku ya soko kula Sori. Mama yangu huuza vyakula vya kiasili vifuatavyo: maharagwe, mahindi na njugu. Rafiki yake Sara humuuzia mihogo na viazi.- Soko ya Sori huwa siku gani?
____________________ - Taja vyakula vitatu vya kiasili ambavyo mama huuza? (alama 3)
____________________
____________________
____________________ - Rafiki ya mama anaitwaje?
____________________
- Soko ya Sori huwa siku gani?
- KUSOMA KWA SAUTI (Alama 10)
Soma hadithi hii kwa sauti
Wakati wa likizo Eliza na Lazizi walielekea ziwani. Waliona minazi na mizabibu. Wakala mizabibu. Waliwabebea wazazi wao zabibu na nazi. Wazazi waliwanunulia Zawadi. Lazizi alizawadiwa zeze. Eliza alinunuliwa miwani. - Mwanafunzi asome maneno 20 kwa dakika moja.
Jumla = (alama 50)
Majibu.
- Maswali yote yanapaswa kujibiwa kwa njia ya kuongea .
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Download Kusoma Activities Questions and Answers - CBC Grade 1 End Term 1 Exams 2022 Set 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students