MASWALI
SEHEMU YA A
Nakala ya mwanafunzi
Kusikiliza na kuzungumuza
Sikiliza hadithi ya mwalimu kisha ujibu maswali.
Amu ana matatu. Matatu ya Arnu ina taa. Matatu ina taa nne. Matatu inabeba watu.
Jibu maswali haya.
- Amu ana nini?........................................................
- Matatu ya Amu ina nini? ........................................................
- Matatu ina taa ngapi? ........................................................
- Matatu inabeba nini? ........................................................
- Hadithi inazungumzia kuhusu nini? ........................................................
KUSOMA KWA SAUTI
Soma kwa sauti.
|
|
|
ti
|
SEHEMU YA B:
Zoezi la (i): SARUFI.
Jaza mapengo.
- Ma me.......... , .......... mu
- ka .......... ki ko ku
- ..........se si so ..........
- wa we wi wo ..........
- ba be bi .......... ..........
- m..........za
- k..........ti
- ya..........
- j..........ni
- s..........ba
Unganisha silabi hizi kuunda neno.
- da + da=........................................
- ki + ti =........................................
- da + wa =........................................
- ka + ka =........................................
- sa + sa=........................................
Linganisha jina na picha.
Zoezi la (ii): Kuandika.
Imla: Mwalimu atakusomea maneno kisha uyaandike.
- ........................................
- ........................................
- ........................................
- .......................................
- .......................................
Majibu
- matatu
- taa
- nne
- watu
- Amu na matatu yake inayobeba watu.
Sehemu B
- mi, mo
- ke
- sa,su
- wu
- bo,bu
- e
- i
- i
- a
- a
- dada
- kiti
- dawa
- kaka
- sasa
Download Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 1 Opener Exams Term 1 2023 Set 2.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students