MASWALI
Kuzikiliza na kuongea
- Hujambo?
- Jina lako ni nani?
- Shule yako ni gani?
- Nieleze mambo kadhaa kuhusu shule yako?
- Mwalimu wako wa darasa ni nani?
Imla
- ........................................
- ........................................
- ........................................
- ........................................
- ........................................
Chagua jibu mwafaka
- Mti huu ni ........................................
(refu/mrefu) - Macho yangu ni........................................
(mawili, mbili)
Unda maneno kulingana na silabi zifuatazo.
- ba........................................
- sha........................................
Andika kwa wingi
- mtoto........................................
- kitabu........................................
- kalamu........................................
- darasa........................................
- dirisha........................................
Andika kwa herufi kubwa
- nyanya........................................
- chungwa........................................
- Majani........................................
Chora picha hizi
- kitabu
- kalamu
- Damu ni ya rangi gani?
Andika majina ya picha hizi
- ...........................................
- ...........................................
- ...........................................
- ...........................................
- ...........................................
- Mtu akijikwaa utamwambia...........................................
(asante, pole) - Maziwa ni ya rangi gani?...........................................
- Damu ni ya rangi gani?...........................................
- Mnyama anayetupa mayai ni...........................................
- Nguo ninazovaa shuleni huitwa?...........................................
Majibu
- mrefu
- mawili
- baba
- shambe
- watotot
- vitabu
- vilamu
- madarasa
- madirisha
- NYANYA
- CHUNGWA
- MAJANI
- nyekundu
- kikombe
- mti
- kiti
- kitabu
- meza
- pole
- nyeupe
- nyekundu
- kuku
- uniformu
Mazoezi ya Kusoma
Soma majina haya:
- hujambo
- nyumba
- mkebe
- ua
- safari
- ahadi
- mlango
- tarehe
- ghali
- dunia
- elimu
- mke
- paka
- bweni
- damu
Soma sentensi kwa sauti:
- Mtoto anachea.
- Kitabu hiki ni changu.
- Nguo imefuliwa.
- Darasa letu ni safi.
- Chakula chetu ni kitamu.
Download Shughuli za Kiswahili Questions and Answers - Grade 1 MidTerm Exams Term 1 2023 Set 1.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students