MASWALI
Kusikiliza na kuzungumza
A. Imla
Mwanafunzi asomewe maneno kisha ayaandike kwenye mapengo.
Maneno ya Imla
- Bwana
- fyonza
- mwanafunzi
- kwama
- fyatuka
- Nyundo
- mwewe
- kimbilia
- ndimu
- ukabila
- chinja
- pwaguzi
- vyombo
- kuteketea
- vifaa
B Soma maneno haya kwa sauti alikwea
bweni alikwea fyeka afya
mbegu aliomba vunjika njama
mzalendo kwekwe pwaya daktari
shuka mchoro hamali
C. Soma sentensi hizi kwa sauti
- Kwa nini njiwa wamelala?
- Wewe hukuimba wimbo wa taifa.
- Nyinyi mlisafisha mazingira.
- Walimu walitufunza tabia nzuri.
- Usikae na mtu usiyemjua.
- Salama alizaliwa mwezi wa Machi.
D. UFAHAMU
Mzazi au mlezi amsomee mwanafunzi taarifa hii kwa sauti mara mbili kisha amwulize maswali.
Shule zilipofungwa kwa likizo ya Aprill sikukaa tena mjini. Nilifunga safari yangu hadi mashambani kwa shangazi yangu. Shangazi yangu ni mkulima maarufu katika kijiji cha kwao. Nilifika kwa shangazi alasiri. Shangazi na watoto wake walikuwa shambani wakilima. Nilienda hadi shambani na nikaanza kulima. Hata sikubadilisha nguo.
Jioni tulienda nyumbani. Shangazi alipika kilalio. Baada ya kula, sisi sote tulienda kulala. Mimi nililala katika kitanda kimoja na mkoi wangu. Niliomba Mungu sana usiku huo nisikojoe kitandani; sikutaka kuchekwa na wakoi wangu.
Maswali
- Shule zilipofungwa mwandishi aliondoka wapi? ...............................................
- Shangazi na watoto wake walikuwa wapi? ...............................................
- Ni nani aliyepika kilalio?...............................................
- Mbona mwandishi aliomba Mungu sana?...............................................
- Chakula cha asubuhi huitwa ...............................................
E.
Je, ni vifaa vipi hutumika shambani
F.
- Mwaka una miezi mingapi? ..............................................
- Je, ulizaliwa mwezi gani? ..............................................
- Kwa kawaida shule hufungwa miezi gani?
- ..............................................
- ..............................................
- ..............................................
- Sherehe ya Jamhuri husherehekewa mwezi gani? ..............................................
- Mwezi wa tano ni ..............................................
G.
Tazama picha hizi. Ni kazi zipi unazozijua
Wewe ungetaka kufanya kazi gani baada ya masomo?
Kwa nini mtu hafai kufanya mambo haya?
- Kwenda msituni peke yako! ..............................................
- Kuzungumza na watu usiowajua ..............................................
- Kucheza karibu na shimo? ..............................................
- Kunywa chochote kilicho kwenye chupa ..............................................
H.
Mazingira ni vitu vinavyotuzunguka kama vile:
- Mazingira machafu huleta wadudu na wanyama kama vile
..............................................
..............................................
- Ni muhimu kufungua madirisha wakati wa mchana ili ..............................................
- Vitendo viwili vya kusafisha mazingira
- ..............................................
- ..............................................
I.
Taja majina ya bidhaa hizi;
- Mtu anayeuza dukani huitwa ..............................................
- Pesa za karatasi zinaitwa..............................................
- Mtu akikopesha bidhaa bila kulipa huwa amefanya nini? ..............................................
- Uzito wa sukari hupimwa kwa kutumia ..............................................
J.
- Chora ndege umpendaye?
- Kwa nini unampenda ndege huyo!
- ..............................................
- ..............................................
- ..............................................
- Unamtunzaje ndege unayempenda?
- ..............................................
- ..............................................
- ..............................................
- Hawa ni ndege gani?
- Nyumba ya ndege wa porini ni
A. KUANDIKA
Jaza mapengo kwa maneno yanayofaa zaidi
Juu ya mti _ 1__ (hiyo, hizo, huo) palikuwa na _2__ (kizimba, kiota, kikombe) cha ndege. Ndani palikuwa na mayai _ 3__ (mbili, mawili,pili) ya ndege. Mayai hayo__4_ (ilikuwa, yalikuwa, zilikuwa) ya ndege. Mimi __5__ (hakuyachukua, sikuyachukua,hachukui) mayai yale. Niliyaacha hapo nikaondoka. Nilirudi hapo __6__ (kabla ya, baada ya, badala ya) wiki_._7__ (tatu, mitatu, watatu). Niliwapata _8_ (vifaranga, viyoyo, makinda) kiotani. Nilikimbia hadi nutimbani. Nilimkuta baba ___9____ (zake, yangu, 'langu). Aliniambia hao ni watoto wa ndege. Alisema niachane na ndege __10__ (wandogo, wadogo, ndogo).
B. Andika maneno yanayoanza kwa herufi hizi kwa hati hadhifu
- dh .............................................. ..............................................
- th .............................................. ..............................................
- ny .............................................. ..............................................
- ng .............................................. ..............................................
- sh .............................................. ..............................................
C.Kuandika kuhusu soko
Soko letu linaitwa Marikiti. Watu wengi hupenda kununua __1__ (bidhaa, bidha) huko. Kuna vitu ainati ambavyo __2__ (hupandwa, huuzwa) kwa ___3___ (noti, bei) nafuu sana.__4__ (Wauzaji, Wanunuzi) hutumia __5__ (pesa, vyakula) kununua wanachohitaji. Kuna wale ambao huwaomba wauzaji __6__ (wawaongezee, wawapunguzie) bei. Muuzaji akiuza yeye hupata__7____ (hasara, faida). Ukinunua kitu mara nyingi huwa unapewa -__8_(risiti, karatasi). Mchele au unge hupimwa kwa __9__ (kipino, ratili), lakini maziwa hupimwa kwa ___10___ (pakiti, mafungu)
D. Kuandika kuhusu usalama
Tulikuwa tumesimama ___1__ (katikati ya , ndani ya) kaka na dada. Mzee ___2____ (moja, mmoja) alikuja akatusalimia. Alituomba tumwonyeshe njia um kwenda sokoni. ___3___ (kabla ya, baada ya) kumwonyesha, alitushukuru na ___4___ (aliondoka, ataondoka). "Kwa nini mzee huyo ana macho (mekundu, nyekundu)? kaka akauliza “Labda ni mgonjwa,” nilijibu. Matatu iliwasili. Tuliingia na kuelekea sokoni. Tulifika sokoni haraka. __6__ (Tutanunua, Tulinunua) vitu tulivyotaka. Nilimwona mzee ___7___ (yule, ule) mwenye macho mekundu. Alikuwa ameshikwa na askari. Alishikwa ____8___ (lakini, kwa sababu) aliwauzia watoto bangi. Alikuwa mzee mbaya. Alitaka kuharibu maisha ya ___ 9___ (wazee, watoto). Tulichukua mizigo, tukaenda kwetu nyumbani.
SARUFI
A. Tumia maneno yaliyo kwenye kisanduku kujaza mapengo
Ndani ya Chini ya, Nje ya, kando ya, Juu ya |
- Panya yuko ..............................................shimo.
- Mtoto mepanda..............................................ya mti.
- Kitabu kimeanguka..............................................ya meza
- Watoto wanacheza..............................................ya nyumba.
- Gari limeegeshwa..............................................ya barabara
B. Tumia alama ya kuuliza swali (?)
- Wewe unaenda wapi .............................................
- Kwa nini unacheka.............................................
- Unapenda somo gani.............................................
- Jani lilianguka lini.............................................
- Kinyonga anatembea polepole kwa nini.............................................
C.Tumia "polepole" au "haraka"
- Mnyama huyu huwa anaenda .............................................
- Ni vizuri kufagia sakafu ............................................. ili iwe safi
- Kimani alishinda mbio kwa sababu alikimbia.............................................
- Mnyama huyu huwa anaenda .............................................
- Kukiwa na baridi nguo hukauka .............................................
- Dereva aliendesha gari .............................................likaanguka
D. Andika Kinyume
- Lala .............................................
- Keti .............................................
- Cheka .............................................
- Tabasamu .............................................
- Nenda .............................................
- Penda .............................................
E. Andika wingi wa sentensi hizi
- Mimi niliandika vizuri. .............................................
- Wewe nenda sokoni. .............................................
- Yeye atasoma kitabu. .............................................
- Choo kitasafishwa. .............................................
- Mdudu anauma. .............................................
F. Kanusha sentensi hizi
- Mimi ninasoma vibaya .............................................
- Nyinyi mlifanya makosa .............................................
- Yeye atachora nyumba .............................................
- Sisi tulipita mtihani .............................................
- Msichana anaenda ziara .............................................
G. Sahihisha sentensi hizi
- sarah anapenda samaki .............................................
- dada alizaliwa juni .............................................
- sherehe ya leba ni mei .............................................
- tutaenda Nakuru agosti .............................................
- huu ni mwaka wa tatu .............................................
H. Andika umoja wa sentensi hizi
- Vitabu vyao vimepotea .............................................
- Watoto wao wanalia .............................................
- Hii ni mikoba yao .............................................
- Kalamu hizi ni zao .............................................
- Madawati yao yamenunuliwa .............................................
I. Tumia "-ake" au "-ao"
- Yai .............................................limevunjika.
- Maembe.............................................yameiva yote.
- Duka.............................................limefungwa.
- Sahani ............................................ zimepangwa kabatini.
- Vyoo ............................................vimeoshwa.
MSAMIATI
Mimea hii, hutupatia mazao gani?
- Mtu anayeipenda nchi yake ni .............................................(Mwananchi, mzalendo)
- Mtu anayeijali nchi yake hupenda.............................................(vita, amani)
- Sheria za nchi ya Kenya zimeandikwa kwenye .............................................(Kitabu, katiba)
- Bendera yetu ina rangi ............................................. (tatu, nne)
- Wakazi wa nchi ni .............................................(ruiya, raia)
Andika majina ya miezi ambayo ina siku thelathini na moja - .............................................
- .............................................
- .............................................
- .............................................
- .............................................
Andika majina ya miezi ambayo ina siku thelathini (30) - .............................................
- .............................................
- .............................................
- .............................................
- Ni mwezi upi umbo huwa na siku ishirini na nane (28) au ishirini na tisa (29)?.............................................
Tambua kazi ya watu hawa
Andika vitendo vitatu ambavyo vinaweza kusababisha fujo au ghasia K.m kuchoma mali ya watu
- ..........................................................................................
- ..........................................................................................
- ..........................................................................................
Kwa nini ni muhimu kufanya mambo haya?
- Kufyeka nyasi zilizoko karibu na nyumba zetu? ..........................................................................................
- Kuchoma takataka ..........................................................................................
- Kusafisha vyoo shuleni ..........................................................................................
- Chora vifaa viwili ambavyo hutumiwa kusafisha mazingira..........................................................................................
- Mtu anayenunua bidhaa dukani huitwa ..........................................................................................
- Pesa anazorudisha mnunuzi baada ya kununua zinaitwa .............................................
- Kuuza bidhaa kidogo kidogo ni kuuza kwa .............................................
- Kuuza bidhaa kwa wingi ni kuuza kwa .............................................
- Pesa ambazo si za karatasi huitwa.............................................(Baki, Sarafu, Rejareja, Muujazi, Jumla)
- ............................................. ni ndege wa nyumbani (bata, kanga)
- ............................................. ni ndege mwenye macho makubwa (bundi, punda)
- Mtoto wa kuku ni .............................................(kiyoyo, kifaranga)
- Mdomo wa ndege huitwa.............................................(meno, kidona)
- Njiwa ni ndege.............................................(mkali, mpole)
- Bidha kama mboga na matunda hupimwa kwa.............................................(mafungu, pakiti)
MWONGOZO
D. UFAHAMU
- Mjini
- Mashambani
- Shangazi
- Ili asikojoe kitandani
- Staftanı/Kiasha kinywa
E. Shambani
- Jembe
- Shoka
- Plau
- Reka
- Upanga
F.
- Kumi na miwili
- Chagua katika ya Januari hadi Disemba
-
- Aprili
- Agosti
- Disemba
- Disemba
- Mei
G
- Ualimu,
- Useremala,
- Upishi,
- Uashi,
- Sarakasi
- ajibu kutegemea mwanafunzi
- Kuna wanyama
- Wanaweza kuwa watu watuya
- Unaweza kuanguka ndani
- Vitu vingine ni sumu
H. Mazingira
- Misitu
- Majengo
- Mto
-
- Nzi
- Pariya
- Kuleta hewa safi
-
- Kupangusa
- Kufagia
- Kuzoa taka
I. Kununua dukani
- Unga
- Vipuli
- Suruali
- Peremende
- Mafuta ya kujipaka
- Rinda
- Muuzaji
- Noti
- Amechukua deni
- Ratili
J
- Mchoro
-
- Wana faida
- Anapendeza
- hufigwa bwa urahisi
-
- Kuwapa matiba
- Kuwajengoa Kiben
- Kuwapa maji na chakula
- Kuwapiga dawa ya kuzuia viroboto
- Mwewc, njiwa, tausi
- Kiota
KUANDIKA
A
- Huo
- Kiota
- Mawili
- Ya kuwa
- Sikuyachukua
- Baada ya
- Tatu
- Makinda
- Yangu
- Wadogo
B
- Dhambi, Dhihaki
- Thamani, thurea
- Nyanya, niyayo
- Ngano, ngiri
- Shati, shamba
C
- Bidhaa
- Huuzwa
- Bei
- Vanunuzi
- Pesa
- Wawapunguzie
- Faida
- Risiti\ratili
- Pakiti
D
- Katikati ya
- Mmoja
- Baada ya
- Aliondoka
- Mekundu
- Tulinunua
- Yule
- Kwa sababu bagu Watoto unda
SARUFI
A
- Ndani ya
- Juu ya
- Chini
- Nje
- Kando
C
- Haraka
- Polepole
- Haraka
- Polepole
- Polepole
- Haraka
D
- Amka
- Simama
- Lia
- Nuna
- Rudi
- Chukia
E
- Sisi tuliandika vizuri
- Nyinyi nendeni sokoni
- Wao watasoma vitabu
- Vyoo vitasafishwa
- Wadudu wanauma
F
- Mimi sisomi vibaya
- Nyinyi hamkufanya makosa
- Hatachora nyumba
- Sisi hatukupita mtihani
- Msichana haendi ziara
G
- Sarah anapenda samaki.
- Dada alizaliwa Juni.
- Sherehe ya Leba ni Mei.
- Tutaenda Nakuru Agosti:
- Huu ni mwaka wa tatu,
H
- Kitabu chake kimepotea
- Mtotu wake analia
- Huu ni mkoba wake
- Kalamu hii ni yake
- Dawati lake limenunuliwa
I
- lao/lake
- yake/yao
- lao/lake
- zao zake
- vyao vyake
MSAMIATI
- Mahindi
- Ndizi
- Mananasi
- Maembe
- Mzalendo
- Amani
- Katiba
- Nne
- Raia
- Disemba
- Januari
- Machi
- Mei
- Agosti
- Septemba
- April
- Juni
- Novemba
- Februari
- Daktari
- Mkulima
- Mvuvi
- Mwanajeshi
- Kuiba mali ya watu/Kuharibu mali/Kuvunja vitu
- Kuteka nyara watoto
- Kupiga watu
- Kuzuia wadudu na wanyama
- Kuzuia haulu mbaya na wadudu
- Kuzuia harufu mbaya, na magonjwa
-
- Reki
- Ufagio
- Fyekeo
- Talata
- Mteja
- Mnunuzi, baki, sazo
- Rejareja
- Jumla
- Sarafu
- Bata
- Bundi
- Kufaranga
- Kidona
- Mpole
- Mafungu
Download Shughuli za Lugha Homework Activities - CBC Grade 3.
Tap Here to Download for 30/-
Get on WhatsApp for 30/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students