Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Toa sababu sita za kudidimia kwa fasihi simulizi.
0
votes
5.4k
views
asked
Jul 23, 2021
in
Fasihi
by
anonymous
Toa sababu sita za kudidimia kwa fasihi simulizi.
fasihi simulizi
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 23, 2021
by
anonymous
watu kuwa na mtazamo hasi kuhusu fasihi simulizi
ubidhaaishaji wa fasihi simulizi- kuandika kitabu kama vile cha methali na kubadilisha umiliki
watu kupendelea kusoma
mwingiliano wa watu huwafanya kusahau fasihi yao
teknolojia yasasa ambayo fasihi simulizi huhifadhiwa badala yaakilini.
Utamaduni wa fasihi simulizi umebadilika – babu na bibi hawawatambii watoto hadithi. Mwalimu akadirie
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
Ni mambo gani ambayo huchangia kubadilika kwa kazi za fasihi simulizi?
asked
Jul 6, 2021
in
Fasihi
by
anony mous
fasihi
fasihi simulizi
0
votes
1
answer
Kwa kutumia vipengele vitano, onyesha maingiliano yaliyopo baina ya fasihi simulizi na fasihi andishi.
asked
Jul 6, 2021
in
Fasihi
by
anony mous
fasihi simulizi
fasihi andishi
0
votes
1
answer
Eleza kwa hoja tano udhaifu wa hojaji kama njia ya kukusanya Fasihi Simulizi.
asked
Jul 2, 2021
in
Fasihi
by
anonymous
fasihi
fasihi simulizi
0
votes
0
answers
Nyimbo za kitamaduni zilikuwa na na nafasi katika ufanisi wa jamii kwa jumla? Eleza
asked
Oct 7, 2021
in
Fasihi
by
moana
fasihi simulizi
0
votes
1
answer
Toa mifano miwili ya ngomezi katika jamii yako
asked
Aug 16, 2021
in
Fasihi
by
anonymous
fasihi simulizi
ngomezi
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...