WK | KIP | FUNZO | MADA | SHABAHA | SHUGHULI ZA MAFUNZO | NYENZO | ASILIA | MAONI |
1 | - | MARUDIO | Mada mbalimbali | ufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuyarudia aliyoyapitia katika darasa la saba ili kujitayarisha kwa kazi ya darasa la nane. | Kuuliza na kujibu maswali ya kauli na ya kimaandishi. | Karatasi za mitihani iliyopita | Vitabu mbalimbali vya marudio. | |
2 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Maamkuzi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumi maneno ya adabu na heshima kwa njia sawa | Kuuliza na kujibu maswali kuigizama |
-Ubao -Zoezi kitabuni mwa wanafunzi. |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu)uk. 1 | |
2 | KUSOMA | Ufahamu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
" Uk 2 | ||
3 | KUANDIKA | Sentensi zenye miundo mbalimbali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufafanua sentensi zenye miundo mbalimbali (neno moja, fupi, mseto/ndefu) |
|
Mifano Ubaoni | Uk. 3 | ||
4 | SARUFI | Viambishi ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze
|
|
-Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi | Uk. 4 | ||
5 | MSAMIATI | Tarakimu (10,000,001- 30,000,000) | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa tarakimu (10,000,001- 30,000,000) kwa kuunda sentensi sahihi. |
|
|
Uk. 7 | ||
3 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Adabu na heshima | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuigiza mazungumzo yanayohusisha maneno ya adabu na heshima. |
|
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 9 | |
2 | KUSOMA | Ufahamu: Usafi wa mazingira |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma ufahamu kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk. 10 | ||
3 | KUANDIKA | Insha ya wasifu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika wasifu wa kiongozi ampedaye kwa hati nadhifu. |
|
Vidokezo ubaoni | Uk. 12 | ||
4 | SARUFI | Vivumishi visivyochukua ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya vivumishi, kutoa mifano ya vivumishi vya sifa kapa, kutunga sentensi sahihi akiyumia vivumishi vya sifa. |
|
|
Uk. 13 | ||
5 | MSAMIATI | Akisami | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa akisami kwa kutunga sentensi sahihi . |
|
|
Uk. 13 | ||
4 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Hadithi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma hadithi kwa sauti na kusimulia hadithi hiyo kwa maneno yake mwenyewe. |
|
Uhusika wa wanafunzi | KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 15 | |
2 | KUSOMA | Ufahamu: Msiba wa kujitakia hauna kilio |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk. 17 | ||
3 | KUANDIKA | Imla | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika maneno atakayosomewa kwa maendelezo sahihi. |
|
Mifano ya maneno kitabuni mwa wanafunzi | Uk. 20 | ||
4 | SARUFI | Vihisishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya vihisishi, kutoa mifano ya vihisishi, kutunga sentensi sahihi akionyesha hisia tofauti |
|
Maelezo kitabuni mwa wanafunzi | Uk. 21 | ||
5 | MSAMIATI | Pembe kumi na sita za dunia | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa dira kwa usahihi. |
|
michoro mbalimbali ubaoni | Uk. 22 | ||
5 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Vitendawili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutega na kutegua vitendawili kwa ustadi |
|
Picha na michoro ubaoni na kitabuni
|
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi:kiswaili kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 24
|
|
2 | KUSOMA | Maktaba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma kitabu chochote akipendacho cha hadithi kutoka kwa maktaba |
|
vitabu vya hadithi kutoka maktaba | Vitabu vya hadithi vilivyosomwa | ||
3 | KUANDIKA | Barua ya kirafiki | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua ya kirafiki kwa hati nadhifu |
|
mfano wa barua ya kirafiki ubaoni | Uk. 25 | ||
4 | SARUFI | Viunganishi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja maana ya viunganishi, kutoa mifano ya viunganish, kutunga sentensi sahihi akitumia viunganishi. |
|
Mifano ubaoni -zoezi kitabuni mwa wanafunzi |
Uk. 26 | ||
5 | MSAMIATI | Sayari | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja sayari |
|
Michoro na picha zinazoonyesha sayari |
Uk. 28 | ||
6 | - | TATHMINI YA MASOMO | " | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kujibu maswali ya mtihani kwa usahihi kulingana na mafunzo ya awali. |
|
Mtihani wa katikati mwa muhula | Karatasi za mitihani | |
7 | MAPUMZIKO MAFUPI | |||||||
8 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Mafumbo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kufumba na kufumbua mafumbo kwa ustadi. | kufumba na kufumbua mafumbo | Uhusika na wanafunzi | KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 29 | |
2 | KUSOMA | Ufahamu: zilizala | ufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk. 29 | ||
3 | KUANDIKA | Insha: Barua rasmi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika barua rasmi kwa mpangilio muafaka. |
|
mfano wa barua rasmi ubaoni na kitabuni | Uk. 31 | ||
4 | SARUFI | Vielezi vya mkazo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutoa mifano ya Vielezi vya mkazo na kutunga sentensi sahihi akitumia Vielezi vya mkazo |
|
Mifano ubaoni | uk. 33 | ||
5 | MSAMIATI | Maliasili | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina za maliasili na kutumia msamiati wa maliasili kutunga sentensi. |
|
-Picha na michoro mbalimbali. | Uk. 34 | ||
9 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Misemo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja misemo na kueleza maana yake. |
|
mifano ya misemo kitabuni na ubaoni. |
KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk.36 |
|
2 | KUSOMA | Ufahamu: Kazi ipewe nani | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma mazungumzo kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye mazungumzo hayo kwa usahihi. |
|
-Picha na makala katika kitabu cha mwanafunzi. | Uk. 37 | ||
3 | KUANDIKA | Ushairi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja kanuni za ushairi na kutunga shairi fupi kuhusu jambo alipendalo. |
|
Mifano ubaoni | Uk 41 | ||
4 | SARUFI | Kirejeshi -amba pamoja na ngeli | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia kirejeshi –amba na ngeli za A-WA,U-I, KI-VI, LI-YA, U-YA na YA-YA kutunga sentensi sahihi. |
|
|
Uk 42 | ||
5 | MSAMIATI | Msamiati wizara | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja wizara mbalimbali na idara zake katika serikali. |
|
|
Uk. 44 | ||
10 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Methali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja methali mbalimbali na kueleza maana ya methali hizo. |
|
Mifano ya methali ubaoni na kitabuni mwa wanafunzi | KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 45 | |
2 | KUSOMA | -Ufahamu Shairi:- Ukimwi janga hatari |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma shairi kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye shairi hilo kwa usahihi. |
|
|
Uk. 47 | ||
3 | KUANDIKA | Insha ya maelezo | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya maelezo kwa hati nadhifu. | Kuandika Insha | Vidokezo ubaoni | Uk. 49 | ||
4 | SARUFI | Matumizi ya ndi- na si | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja matumizi sahihi ya viambishi ndi na si |
|
|
Uk.49 | ||
5 | MSAMIATI | Mahakamani | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja msamiati wa Mahakamani na kuutumia kuunda sentensi sahihi. |
|
|
Uk. 52 | ||
11 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Taarifa: Hotuba ya mfamasia |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusikiliza kwa makini taarifa itakayosomwa na kujibu maswali ya kauli kwa usahihi |
|
Makala kitabuni | KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 54 | |
2 | KUSOMA | Ufahamu Ajira ya watoto |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk.55 | ||
3 | KUANDIKA | Insha ya hotuba | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika isha ya hotuba kulingana na muundu ufaao. | Kuandika insha | vidokezo ubaoni | Uk. 57 | ||
4 | SARUFI | Vivumishi vya A -unganifu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja vivumishi vya A unganifu na kutunga sentensi zenye vivumishi hivyo. |
|
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi | Uk. 59 | ||
5 | MSAMIATI | Tarakimu | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuendelea kupanua kiwango chake cha msamiati kwa kutumia ipasavyo tarakimu za (30,000,001 -60,000,000) |
|
Zoezi katika kitabu cha mwanafunzi | Uk. 60 | ||
12 | 1 | KUSIKILIZA NA KUONGEA | Majadiliano | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kushiriki mjadala kwa kutoa hoja muhimu kuhusu faida na hasara za mbuga za kuhifadhi wanyama pori. |
|
Uhusika wa wanafunzi | KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 61 | |
2 | KUSOMA | Ufahamu Haki za mtoto ni zipi? |
Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kusoma taarifa kwa makini na kujibu maswali kutoka kwenye taarifa hiyo kwa usahihi. |
|
|
Uk. 61 | ||
3 | KUANDIKA | Insha ya kuendeleza | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kuandika insha ya kuendeleza kwa hati nadhifu | Kuandika insha |
|
Uk. 64 | ||
4 | SARUFI | Vielezi | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutaja aina za vielezi kwa kutoa mifano sahihi. |
|
Maelezo kitabuni mwa wanafunzi | Uk. 65 | ||
5 | MSAMIATI | Mekoni | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kutumia msamiati wa akisami kuunda sentensi sahihi. |
|
Vifaa asili kama mbuzi, mwiko, uteo, susu n.k | Uk. 67 | ||
13 | - | MAREJELEO | Mada zote zilizosomwa awali | Kufikia mwisho wa kipindi mwanafunzi aweze kurudia yale yote aliyojifunza ili kujitayarisha kwa mtihani wa mwisho wa muhula. | Kuuliza na kujibu maswali ya kauli naya kimaandishi. | Mazoezi ya marudio kitabuni mwa wanafunzi | KISWAHILI KWA DARASA LA 8 –Kitabu cha wanafunzi: Kiswahili Kitukuzwe (Toleo la tatu) uk. 1-68 | |
14 | MTIHANI WA MWISHO WA MUHULA KUSAHIHISHA NA KUNAKILI MATOKEO |
Wednesday, 23 November 2022 12:09
Kiswahili (KwaDarasa) - Class 8 Schemes of Work Term 1 2023
adeleadmin
Published in
Class 8 Schemes of Work Term 1 2023
Latest from adeleadmin
Leave a comment
Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.