Kiswahili Schemes - Grade 1 Schemes of Work Term 1 2023

Rate this item
(0 votes)

WIKI

KIPINDI

MADA 

MADA NDOGO

MATOKEO MAALUM YANAYOTOKEA

MASWALI DADISI

MAPENDEKEZO YA SHUGLI ZA UFUNZAJI

KAZI YA ZIADA

NYEZO

MAONI

1

Kwanza

Karibu Darasani

Kusikiliza na kuzungumza

 

 

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kutambua maneno yanayotukika katika maamkuzi kuamkua na kuitikia maamkuzi ili kujenga stadi ya kuzungumza  

Tunatumia maneno yepi katika salamu?

Mwanafunzi aigize maamkuzi kama vile hujambo?

Sijambo; Hamjambo?

Hatujambo darasani   

Mwanafunzi ajadili mchoro wa watu wawili wakisalimiana   

Wanafunzi wasalimiana na kisha washirikishwe katika mjadala kuhusu maamkuzi

Mwalimu asikilize wanafunzi wakitaja maneno yanayopatikana katika salamu.

Mwalimu ubao chati Uk 1-2  

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

2

KARIBU DARASA NI

Maamkuzi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kufurahia kushirika katika maamkizi

Kutambua umuhimu wa salamu

Kwa nini watu husalimiana?

Je kuna furaha unapomsalimu mwenzako?

Wanafunzi waweza  kuigiza maamkuzi darasani wakiwa wawili wawili

Mwalimu asikilize maoni ya wanafunzi kwa kushiriki katika maamkuzi.

Ubao

Wanafuzi  

Uk 4-5  

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

3

KUSIKILI ZA NA KUZUNG UMZA

Maagizo

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kutambua maagizo mepesi yanayotolewa darsani

 

Je unaweza kutambua maagizo yoyote?

Mwanafunzi ashiriki katika kutoa na kufuata maagizo kama vile simama, keti, andika na chora  

Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video ya jinsi ya kutoa na kufuata maagizo   

Mwanafunzi ashiriki katika mjadala wa maagizo yafaayo na yasiyofaa kufuatwa.

Mwalimu  asikilize wanafunzi wakitambua  maagizo mepesi yanayotolewa

Kitabu chati Uk 6-7  

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

2

1

KUSIKILI ZA NA KUZUNGUMZA

Maagizo

Kutatoa na kufuata maagizo mepesi yanayotumiwa darasani

Ni nani anayetakiwa kutoa maagizo?  

Kufuata maagizo kuna umuhimu gani?

Mwanafunzi afafanue umuhimu wa maagizo   

Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika masimulizi ya matokeo ya kufuata na kutofuata maagizo

Mwalimu asikilize wanafunzi wakifuata maagizo mepesi darasani.

 

 

Kitabu mwalimu Chati Uk 7-6 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

2

KUSIKILI ZA NA KUZUNGUMZA

Msamiati

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze;

Kutambua majina ya vifaa vinavyopatikana darasani ili kurahisisha mawasiliano.

Je mwanafunzi anajua vitu ambavyo anatumia darasani?

Mwalimu kusikiza vifaa ambavyo wanafunzi wanazijua. Mwalimu kusikiza vifaa ambavyo wanafunzi wanazijua.

Mwalimu kusikiza vifaa ambavyo wanafunzi wanazijua.

Ubao  mwaklimu chati uk 10-11 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

3

KUSIKILI ZA NA KUZUNGUMZA

Msamiati

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kutumia majina ya vifaa darasani ilinaweze kuzungumza na wenzake.

Kufurahia kuvitunza na kuvitumia viufaa vinavyopatikana darasani.

Je wajua umoja na wingi wa vitun vya darasa?  

Je unafurahia kuwa na vifaa mbalimbali darasani?

Mwanafunzi ataje vifaa halisi k.v. dawati, kitabu, kalamu na kifutio  

Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha za vifaa halisi na kutaja majina   

Mwanafunzi achore maumbo ya vifaa vya darasani

Mwalimu kutazama michoro ya wanafunzi darasani.

Ubao

Dawati Mwalimu wanafunzi  

uk 11-12 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

3

1

KUSOMA

Hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kutambua msamiati uliotumika katika hadithim ili kuimarisha ufahamu..

Je ni maneno yapi  mapya unayoyatambua katika hadithi?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi 

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi 

Mwanafunzi  athibitishe utabiri wake baada ya usomewa hadith

Mwalimu asikize msamiati uliotumika kutoka kwa wanfunzi

Mwalimu Michoro kitabu  

uk 13-14

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

2

KUSOMA 

Hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kusikiliza hadithi ikisomwa na mwalimu ili kujenga usikivu

Unapenda hadithi?

Kwa nini unapenda kusikiliza hadthi?

Mwanafunzi aeleze matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi 

Mwanafunzi aulize na kujibu maswali.   

Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi wakiwa wawili wawili

Mwalimu afafanue hadithi kwa wanafunzi.

Mwalimu awpe wanafunzi zoezi la kueleza walichoelewa

Mwalimu

Mwanafunzi 

Chati

Uk 14

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

3

KUSOMA

Hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze;

Kuchangamkia hadithi katika maisha ya kila siku

Kufafanua hadithi kwa wenzake

Je unaweza kuhadithia wenzako?  

Je unakumbuka hadithi yoyote uliyosikia?

Wanafunzi waweza kujadiliana kuhusu hadithi wakiwa wawili wawili   

Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi ikisomwa kwa kutumia tarakilishi na projekt

Mwalimu asikilize kisa chochote cha mwanafunzi.

Ubao 

Mwalimu

Wanafunzi  

Uk 15

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

4

1

MIMI NA  WENZANGU

Maelezo

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kutambua wezake darasani kwa majina, miaka ,gredi  ili kuweza kuwaeleza

Wewe ni nani?  

Uko katika gredi ipi?

Mwanafunzi asikilize maelezo ya wengine.   

Mwanafunzi aweza kusikiliza maelezo ya wenzake yaliyorekodiwa kwenye simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k.  

Wanafunzi watoleane maelezo kuwahusu katika vikund.

Mwalimu

asikilize

mwanafunzi akimweleza mwenzake

Ubao   

Vikundi

Mwalimu  

Chati  

Wanafunzi

Uk17 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

 

2

MIMI NA WENZANGU

Kusikiliza na kuzungumza

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kutoa muhtasari wa maelezo aliyoyasikia katika mazingira yake.  

Kudhihirisha umakinifu wa kusikili za katika mazingura yake

Unapenda kufanya nini?  

Je unamfahamu mwenzako vizuri?

Mwanafunzi aeleze maana ya msamiati unaotumiwa kujieleza k.v. umri, miaka,msichana, mvulana, gredi na rafiki.   

Mwanafunzi atunge sentensi kwa kutumia maneno yanayotumiwa kujieleza na kueleza wenzake.

Mwalimu aangalie kazi ya mwanafunzi  anapojieleza

Ubao  

Mwalimu  

Wanafunzi  

Uk17-18

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

3

MIMI NA WENZANGU

kusoma

Kufikia  mwisho wa mada mwanafunzi aweze;

Kujivunia nafsi  yake na wenzake katika miktadha mbalimbali

Je unaeza nieleza muktadha wowote ?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. 

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. 

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi.

Mwalimu asikize  mwanafunzi akimueleza

Mwanafunzi

Ubao  

Chati

Uk 18-19  Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

5

1

MIMI NA WENZANGU

Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kusimulia hadithi aliyosikiliza darasani ili kujenga stadi ya kusikiliza  

Kufahamu hadithi aliyosimulia ili kupata ujumbe?

Umewahi kusimulia kisa kipi?  

Unatarajiwa kufanya nini unaposimuliwa masdimulizi?

Mwanafunzi aweze kuwa makini anaposimuliwa masimulizi.   

Mwanafunzi asikilize masimulizi kupitia vifaa vya kiteknolojia k.m. simu, kinasa sauti, kipatakalishi n.k.   

Mwanafunzi aweza kusikiliza mgeni mwalikwa akisimulia masimulizi.

Mwalimu asikilize mwanafunzi akisimukia hadithi

Mwanafunzi  

Uk 20-21

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

2

MIMI NA MWENZANGU

Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kuonyesha umakinifu wa kusikiliza klatika darasani

Kuchangamkia hadithi simulizi maishani

Unakumbuka ni ni katika masimulizi uliyosimuliwa?

Mwalimu asikilize maoni ya mwanafunzi kuhusu masimulizi.

Mwalimu asikilize maoni ya mwanafunzi kuhusu masimulizi.

Mwanafuzi  

Uk 21-22  

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

 

 

 

 

 

KUSOMA

hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze 

Kutambua wenzake darasani kutambua msamiati uliotumika 

Kuskiza hadithi zikisomwa ili kujenga usikivu 

Je,ni hadithi ipi iliosomwa?

 

Unatarajiwa kufanya nini unapo somewa hadithi

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.   

 Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.   

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi.

Mwalimu

asikilize

mwanafunzi akisoma hadithi.

Kitabu  

Mwanafunzi   

Mwalimu  

Uk23-24

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

6

1

KUSOMA

hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kusikiliza kufahamu hadithi aliyo somewa darasani ili kupata ujumbe

Kuchangamkia

kusikiliza hadithi kila siku

Unafikiria ni nini kitakacho tokea katika hadithi hii?

Wanafunzi wajadiliane kuhusu hadithi waliosomewa katika vikundi. 

 Mwanafunzi aweza  kushirikishwa kusikiliza hadithi zikisomwa kupitia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k.

Mwalimu

asikilize maoni ya mwanafunzi kuhusu hadithi.

Kadi   

Mwanafunzi  

Mwalimu  

Uk 24-25

 

 

2

TARAKIMU

Kusikiliza na kuzungumza 

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze 

Kutambua habari moja hadi kumi katika mazingira yake

Kuhesabu nambari moja hadi kumi

Unajua kuhesabu nambari ngapi?

Mwanafunzi anaweza kupewa kadi za nambari azitaje kwa maneno. 

Mwanafunzi aweza  kukariri mashairi kuhusu nambari hadi kumi. 

Mwanafunzi aweza kushirikishwa kuimba nyimbo za tarakimu

Mwalimu atazame wanafunzi wakihesabu tarakimu

Kadi  

Mwanafunzi  

Uk 26-27

 

 

 

 

 

 

 

 

3

TARAKIMU

msamiati

Kutaja majina ya nambari moja hadi kumi kwa mfululizo ili kujenga stadi ya kuzungumza

Kutumia majina ya nambari moja hadi kumi kutunga sentensi ili kujenga stadi ya kuzungumuza

Je unaweza kuhesabu moja hadi kumi?  

Je unaweza kutumia majina yapi ya nambari moja hadi kumi?

Wanafunzi waambatanishe nambari na maneno kwa kuonyeshwa nambari na kutaja jina la nambari husika.   

Wanafunzi wahesabu vidole kwa Kiswahili wakiwa wawili wawil

Wanafunzi wanaweza kupanga kadi za majina ya nambari hadi kumi kwa utaratibu

Mwalimu asikilize wanafunzi wakitaja nambari moja hadi kumi.

Nambari  

Kadi   

Mwanafunzi  

Uk28-29

 

7

1

MASIMULIZI

masimulizi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kusikiliza kwa makini masimulizi kuhusu shambani katika kujenga usikivu

kutaja majina ya  vifaa vinavyo tumika shambani

Je ni vifaa vipi hutumika shambani?

Wanafunzi wanaweza kupanga kadi za majina ya nambari hadi kumi kwa utaratibu.  

 Mwanafunzi aweza kuonyeshwa nambari na jina kwa kutumia tarakilishi na projekta.  

 Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video ya wanafunzi wakisoma nambari hadi kumi kwa tarakilishi.

Mwalimu asikilize mwanafunzi akifafanua masimulizi

Jembe   

Shoka   

Plau  

Mwanafunzi  

Uk 30-31

 

 

2

TARAKIMU

Kusoma hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kutambua msamiati  ulio tumika kurahisisha ufahamu

Umewahi kusikiliza hadithi?  

Unatarajiwa kufanya nini unapo somewqa hadithi?

Mwanafunzi aweza kusikiliza masimulizi kupitia kwa vyombo vya kiteknolojia kama vile simu, kinasasauti na kipatakalishi vyaweza kutumiwa katika kusimulia visa mbalimbali.  

mwalimui ashirikiana na wanafunzi wenzake kusoma ufahamu

Mwanafunzi  

Uk 33-34

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

3

TARAKIMU

hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kusikiza hadithi na kuielewa

Kufahamu hadithi aliyo somewa ili kupata ujumbe

Unatarajiwa kufanya nini wakati wa kusoma hadithi?

Mwanafunzi ashirikiane na wengine kujadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.   

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.   

 Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma hadithi..

Mwalimu

asikilize

mwanafunzi akitambiri kitakachoto kea.

Mwanafunzi  

Picha

Uk 34-35

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

8

1

Siku za wiki

Kusikiliza na kuzungumz a msamiati

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kutambua siku za wiki katika mawasiliano ya kila siku

Kutaja majina ya siku za wiki

Je wiki moja iko na siku ngapi?  

Unaenda shuleni siku ngapi?

 

 

Mwanafunzi atunge sentensi akitumia msamiati uliotumika kwenye hadithi.   

Wanafunzi wajadiliane kuhusu hadithi waliosomewa katika vikundi.

. Mwalimu asikilize majibu wa siku za wiki kutoka kwa wanafunzi.

Mwanafunzi  

Uk36 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

2

Siku za wiki

msamiati

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kueleza shughuli za siku mbalimbali za wiki ili kujenga stadi ya kuzungumza

Kudhamini kila siku ya wiki ili kutilia maanani shughuli za maishani

Je unaweza kutaja na Kuandika majina yapi ya siku za wiki kwa mfuatano?

 

Mwanafunzi aweza kusikiliza hadithi zikisomwa kupitia vifaa vya kiteknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k.   

Mwanafunzi aulize na kujibu maswali kutokana na hadithi

mwalimu ashiriki katika majadiliano ya shughuli ya siku

Mwanafunzi  

Uk 36

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

3

Siku za wiki

masimulizi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kusimulia matukio katika siku tofaotui ili kujenga stadi ya kuzungumza

Kufahamu masimulizi ya matukio ya siku za wiki yaliyosimuliwa ili kupata ujembe

Kuonyesha umakinifu wa kusikiliza kaatika mawasiliano Kuchangamkia masimulizi maishani ili kuimarisha usikivu

Ni matukio yapi uliowahi kushuhudia?

Unatarajiwa kufamnya nini unaposimuliwa kisa?

Mwanafunzi ashiriki katika majadiliano ya shughuli za siku za wiki k.m. Jumatatu naenda shule, Ijumaa, Jumamosi au Jumapili nashiriki ibada n.k.   

Wanafunzi waweza kupanga kadi za majina ya siku za wiki kwa utaratibu wakiwa wawili wawili

Mwalimu asikize mwanafunzi akisimulia kisa darasani.

Kitabu  

Mwalimu

UK 40 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

9

1

Kusoma

hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kutambua msamiati uliotumika katika hadithi kuielewa

Kufahamu hadithi aliyo somewa ili kupa

Kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi

Unafikiria ni nini kitakacho tokea katika hadithi hii?

Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi.   

Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi.   

Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusomewa hadithi.

mwalimui aweze kutazama picha za kadi za

msamiati unaotumiwa katika hadithi

Mwalimu

Wanafunzi

Uk 41

Kiswahili

dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

2

Kusoma

Hadithi

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

Kufahamu hadithi iliyosomwa katika mada ili kupata ujumbe

kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo

Unakumbuka hadithi ipi iliyosomwa?

Mwanafunzi aweza kushirikishwa kusikiliza hadithi kwa kutumia vifaa vya teknolojia k.v. tarakilishi, projekta n.k.   

Mwanafunzi aweza kuonyeshwa picha na kadi za maneno yaliyotumiwa katika hadithi.  

Mwanafunzi ajibu na aulize maswali kutokana na hadithi.

Mwalimu asikilize mwanafunzi akitoa hadithi.

Mwalimu

Hadithi wamnafunzi  

Uk 43-44 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

3

Familia

Kusikiliza na kuzungumza

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika

maneno  ili kuimarisha mazungumzo

Ni sauti zipi unazojua kutamka?

Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti.   

 Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi.

Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa..

Mwalimu asikilize kama mwanafunzi anajua kutambua sauti za herufi moja.

Mwanafunzi  

Uk46

Kiswahili dadisi

mazoezi ya lugha gradi 1

 

10

1

Familia

Kusikiliza na kuzungumza

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma

kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma

Unajua kusoma herufi na maneno?

Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno.  

 Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa.   

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno marefu zaidi vipande vipande.

Mwalimu

asikilize

mwanafunzi akitambua herufi zinazowakili

sha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma.

Wanafunzi  

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

Kwanza

Familia

Kusikiliza na kuzungumza

Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze

kusoma maneno kwa  kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma

 

Unajua kuandiaka maneno na heruf?

Mwanafunzi asikilize na kusoma hadithi kupitia vifaa vya kiteknolojia kama vile tarakilishi, projekta n.k. 

Mwanafunzi afinyange na aandike maumbo ya herufi za  sauti alizosoma hewani na vitabuni.  

 Mwanafunzi aandike maneno yaliyo na herufi za sauti alizofunzwa kwa kunakili aliyoandika mwalimu.

Soma maneno katika kitabu kwa kutumia silabi

Wanafunzi  

Uk 48  

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

2

Familia

Kusikiliza na kuzungumza

Kufikia mwisho wa mada, mwa aweze:      

Kuandika maumbo ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa.

Unaeza Kuandika maumbo ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa?

Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kugawa maneno marefu zaidi vipande vipande

Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili.

Mwalimu atazame mwanafunzi akiandika maumbo ya herufi zinazowakili sha sauti lengwa.

Wanafunzi uk51  

Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gradi 1

 

 

 

Read 380 times Last modified on Monday, 30 January 2023 13:20

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.