GRADE 6 JKF NYOTA KISWAHILI
SCHEMES OF WORK TERM 1 2023
SHULE |
GREDI |
ENEO LA KUJIFUNZA |
MUHULA |
MWAKA |
|
GREDI 6 |
KISWAHILI |
1 |
2023 |
Wiki |
Kipindi |
Mada kuu |
Mada ndogo |
Matokeo maalum yanayotarajiwa |
Shughuli za ujifunzaji |
Maswali dadasi |
Nyenzo |
Mapendekezo ya tathmini |
Maoni |
1 |
1 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /d/ na /nd/ |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/d/ na /nd/ Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v rununu na kinasasauti Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. |
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 1-2 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya sifa |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vya sifa. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya sifa vinavyochukua viambishi awali (k.v mzuri, mkubwa, kidogo) Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya sifa kwenye sentensi au vifungu. |
Vivumishi vya sifa zinahusu nini? Je, ni vivumishi vya sifa zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 2-4 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi vya sifa
|
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vya sifa kwa kutumia vitu au watu katika mazingira yake. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya sifa visivyochukua viambishi awali. Mwanafunzi aweze kuandika vivumishi vya sifa visivyochukua viambishi awali kwa kutumia tarakilishi katika vikundi. |
Je, vivumishi vya sifa visivyochukua viambishi awali ni gani? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 10-11 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Biashara haramu ya viungo |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu kwa kuzingatia ujumbe matukio na wahusika. Mwanafunzi aweze kushiriki katika vikundi kujadili na kutumia msamiati lengwa katika sentensi. |
Je, Biashara haramu ni gani? Vifaa vya kidijitali vina umuhimu gani? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 5-7 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
2 |
1 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Kuandika; Insha ya wasifu |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua insha wasifu kwa kuzingatia mtindo na muundo wake. Mwanafunzi aweze kutumia methali, tashbihi na nahau zinazofaa ili kuipamba insha yake. Mwanafunzi aweze kutilia maanani anwani, mtiririko wa mawazo, mwandiko safi na kanuni za lugha aandikapo insha ya wasifu. Mwanafunzi aweze kuandika insha ya wasifu kwa ubunifu ili kujenga maelezo yenye kutoa picha dhahiri. |
Insha ya wasifu ni gani? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 7-8 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /ch/ na /sh/ |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/ch/ na /sh/) Mwanafunzi aweze kutamka vitanzandimi vinavyoundwa kwa silabi za sauti zinazokaribiana kimatamshi (/ch/ na /nd/) Mwanafunzi aweze kutambua maneno yenye silabi za sauti /ch/ na /sh/ katika mchoro wa viungo vya mwili vya ndani katika vikundi. |
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 8-9 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Umuhimu wa viungo vya mwili vya ndani |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kusoma kifungu kwa kuzingatia ujumbe matukio na wahusika. Mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa suala lengwa uliotumika katika kifungu ili kuimarisha ufahamu wakiwa wawiliwawili au katika vikundi. Mwanafunzi aweze kujibu maswali yanayotokana na kifungu ipasavyo. |
Kusoma kuhusu viungo vya mwili vya ndani vina umuhimu gani? Je, viungo vya mwili vya ndani zina umuhimu gani? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 11-13 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Sarufi; Aina za Maneno: Vivumishi viashiria |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi viashiria kwa kutaja vitu vilivyo karibu, mbali kidogo na mbali kabisa katika vikundi. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viashiria katika sentensi kwenye vitabu, tarakilishi, chati kwa kuzipigia mstari au kukoleza rangi. |
Je, Vivumishi viashiria vinahusu nini? Je, ni vivumishi viashiria zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 13-14 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
3 |
1 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Sarufi; Aina za Maneno: Vivumishi viashiria |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja vivumishi viashiria mbalimbali. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viashiria, kuviburura na kuvitia kapuni. |
Je, ni vivumishi viashiria zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 16-17 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /j/ na /nj/ |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/j/ na /nj/ Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v tarakilishi Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. |
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 15-16 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi vimilikishi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vimilikishi. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vimilikishi katika sentensi kwa kuigiza umiliki wa vitu mbalimbali wakiwa wawiliwawili. Mwanafunzi aweze kujaza jedwali kutumia vimilikishi katika nafsi I, nafsi II na nafsi III katika vikundi |
Vivumishi vimilikishi vinahusu nini? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 18-20 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi vimilikishi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia vivumishi vimilikishi na nomino. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vimilikishi kati ya orodha alizopewa katika tarakilishi, aviburure na kuvitia kapuni. Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa kimilikishi sahihi kati ya vile alivyopewa. |
Je, ni vivumishi vimilikishi zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 22-23 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
4 |
1 |
Viungo vya mwili vya ndani |
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Silabi na vitanzandimi: Sauti /g/ na /ng/ |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua silabi zinazotokana na sauti zinazokaribiana katika maneno (/g/ na /ng/ Mwanafunzi aweze kusikiliza sauti lengwa zikitamkwa kutoka kwa vifaa vya kiteknolojia k.v tarakilishi Mwanafunzi aweze kutamka silabi lengwa na vitanza ndimi akiwa pekeake, wakiwa wawili au katika vikundi. |
Ni silabi zipi zinazoundwa katika vitanzandimi ulivyokariri? Je, ni silabi zipi zinazorudiwa katika vitanza ndimi unavyounda? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 20-22 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Michezo |
Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano: Maamkuzi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maamkuzi. Mwanafunzi aweze kutambua aina mbalimbali za maamkuzi katika mawasiliano katika vikundi. Mwanafunzi aweze kujadili umuhimu wa maamkuzi wakiwa wawiliwawili. Mwanafunzi aweze kuigiza maamkuzi mbalimbali. |
Je, watu husalimiana vipi katika jamii? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 24-25 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Michezo |
Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi vya idadi kamili |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi vya idadi. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya idadi kamili katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno (k.v nne, tano, sita) akiwa katika vikundi. |
Je, vivumishi vya idadi ni zipi? Je, vivumishi vya idadi kamili ni zipi? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 25-27 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Michezo |
Sarufi; Aina za Maneno; Vivumishi vya idadi ya jumla |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza vivumishi vya idadi isiyo kamili kwa kutumia vitu katika mazingira ya darasani. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi vya idadi ya jumla katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno (k.v wengi, vingi, kadhaa) Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia idadi isiyodhihirika. |
Je, vivumishi vya idadi ya jumla ni zipi? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 32-33 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
5 |
1 |
Michezo |
Kusoma; Matumizi ya kamusi: Mashindano ya mashua |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze Kusoma kifungu ‘Mashindano ya mashua’ Mwanafunzi aweze kutumia kamusi halisi au ya mtandaoni kutafuta maana na matumizi ya msamiati mpya aliousoma katika kifungu. Mwanafunzi aweze kutumia msamiati aliojifunza katika sentensi |
Unatafutaje maana ya maneno kwenye kamusi? Kwa nini tunatumia kamusi? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 27-29 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Michezo |
Kuandika; Insha ya masimulizi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha vilivyoandikwa katika magazeti au tarakilishi wakiwa wawili. Mwanafunzi aweze kuandika insha isiyopungua maneno 200 huku akizingatia anwani, mtiririko mzuri wa mawazo, mwandiko bora, kanuni za lugha na ubunifu wa hali ya juu. |
Je, unazingatia nini ili kuandika insha nzuri ya masimulizi? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 30 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Michezo |
Kusikiliza na kuzungumza; Maamkuzi na maagano: Maagano |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maagano. Mwanafunzi aweze kutambua aina mbalimbali za maagano katika mawasiliano. Mwanafunzi aweze kujadili umuhimu wa maagano wakiwa wawiliwawili. Mwanafunzi aweze kueleza njia wanazotumia kuagana. |
Je, watu huagana vipi katika jamii? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 31-32 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Michezo |
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya vivumishi viulizi kwa kutumia vitu katika mazingira ya darasani. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viulizi katika sentensi. |
Vivumishi viulizi vinahusu nini? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 33-35 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
6 |
1 |
Michezo |
Sarufi; Aina za maneno: Vivumishi viulizi
|
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja vivumishi viulizi mbalimbali. Mwanafunzi aweze kutambua vivumishi viulizi kati ya maneno alizopewa, aviburure na kuvitia kapuni. |
Je, ni vivumishi viulizi zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 36-37 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Michezo |
Kusoma; Matumizi ya kamusi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kufungua linki kuhusu michezo kisha kusikiliza maelezo kutoka kwa msimulizi. Mwanafunzi aweze kudondoa maneno ya michezo kutoka kwenye masimulizi hayo akiwa peke yake na wakiwa wawiliwawili. Mwanafunzi aweze kuunda sentensi kutumia msamiati wa michezo alioupata kutoka kwa msimulizi. |
Je, ni habari zipi unazoweza kutoa kwenye mtandao? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 35 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Michezo |
Sarufi; Aina za maneno: Kivumishi kirejeshi amba- |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya kivumishi kirejeshi amba- akitumia vitu katika mazingira ya darasani. Mwanafunzi aweze kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika tarakilishi, kapu la maneno au mti wa maneno. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia kirejeshi amba- na nomino katika ngeli mbalimbali kwa umoja na wingi. |
Je, kivumishi kirejeshi ni nini? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 37-38 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Michezo |
Sarufi; Aina za maneno: Kivumishi kirejeshi amba- |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua kivumishi kirejeshi amba- katika vifungu. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia kivumishi kirejeshi (k.v ambayo, ambalo, ambao, ambavyo, ambaye) |
Je, ni maneno gani yanayopatikana katika kivumishi kirejeshi amba-? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 38-39 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
7 |
1 |
Michezo |
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Vitendawili- Sauti /d//nd/, /ch//sh/, /j//nj/ na /g//ng/ |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua vitendawili vya suala lengwa vyenye sauti zinazokaribiana (/d//nd/, /ch//sh/, /j//nj/ na /g//ng/) Mwanafunzi aweze kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa. Mwanafunzi aweze kuandika vitendawili alivyosikiliza kisha kuwategea wenzake darasani nao wategue kwa ajili ya kuendelea kuelimishana. |
Je, ni vitendawili gani unavyovijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 41-42 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Mahusiano |
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya nafsi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi vya nafsi. Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya nafsi katika sentensi. Mwanafunzi aweze kujaza pengo akitumia viwakilishi vya nafsi. |
Viwakilishi vya nafsi vinahusu nini? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 42-43 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Mahusiano |
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya nafsi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja viwakilishi vya nafsi mbalimbali. Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi kati ya maneno alizopewa, aviburure na kuvitia kapuni. Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa kiwakilishi nafsi sahihi. |
Je, ni viwakilishi vya nafsi zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 48 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Mahusiano |
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu- Jirani |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kusoma ufahamu, ‘Jirani’ Mwanafunzi aweze kutambua msamiati wa mahusiano uliotumiwa katika habari. Mwanafunzi aweze kueleza maana ya msamiati wa mahusiano alioupata katika habari. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi kwa kutumia msamiati wa mahusiano. |
Kwa nini ni muhimu kusoma kuhusu ujirani mwema? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 43-45 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
8 |
1 |
Mahusiano |
Kuandika; Kuandika kwa kutumia tarakilishi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya tarakilishi. Mwanafunzi aweze kutambua sehemu mbalimbali za tarakilishi zinazotumika kupigia chapa Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya kipanya. Mwanafunzi aweze kutambua ishara zinazotumiwa kutofautisha maandishi k.v kiyota (*), hatimiliki (@), kishale. |
Je, ni sehemu zipi za tarakilishi unazozijua? Tarakilishi hutuwezesha kufanya kazi gani? Ni hatua gani zinazohusika tunapotumia tarakilishi? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 46-47 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Mahusiano |
Kusikiliza na kuzungumza; Matamshi bora: Vitendawili- Sauti /d//nd/, /ch//sh/, /j//nj/ na /g//ng/ |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutamka maneno yenye sauti zinazokaribiana katika vitendawili lengwa. Mwanafunzi aweze kutega na kutegua vitendawili vyenye sauti zinazokaribiana ili kujenga matamshi bora |
Je, mtu akisema ‘kitendawili’ unajibu vipi? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 47 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Mahusiano |
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi viashiria |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi viashiria. Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi viashiria katika sentensi Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja viwakilishi viashiria mbalimbali Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi viashiria katika ubao, tarakilishi, chati, mti wa maneno au kadi za maneno. |
Viwakilishi viashiria vinahusu nini? Je, ni viwakilishi viashiria zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 49-50 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Mahusiano |
Kusoma; Kusoma kwa ufahamu: Marafiki wa chanda na pete |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kusoma ufahamu, ‘Marafiki wa chanda na pete’ Mwanafunzi aweze kueleza maana ya maneno mapya aliyoyapata katika kifungu akiwa katika kikundi. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi akitumia msamiati kutoka kwa kifungu. |
Je, urafiki mwema una umuhimu gani? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 50-52 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
9 |
1 |
Mahusiano |
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya idadi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza maana ya viwakilishi vya idadi kamili. Mwanafunzi aweze kutambua sentensi zenye viwakilishi idadi kamili. Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya idadi katika ubao, tarakilishi, kadi za maneno, chati au mti wa maneno. Mwanafunzi aweze kujaza pengo kwa viwakilishi vya idadi sahihi. |
Viwakilishi vya idadi kamili vinahusu nini? Je, ni viwakilishi vya idadi kamili zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 54-55 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
2 |
Mahusiano |
Sarufi; Aina za maneno: Viwakilishi vya idadi |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kueleza na kutaja viwakilishi vya idadi isiyodhihirika. Mwanafunzi aweze kutambua viwakilishi vya idadi isiyodhihirika katika ubao, tarakilishi, kadi za maneno, mti wa maneno au chati. Mwanafunzi aweze kujaza mapengo kwa kuchagua viwakilishi vya idadi isiyodhihirika alivyopewa katika mabano. Mwanafunzi aweze kuandika sentensi akitumia viwakilishi vya idadi isiyodhihirika. |
Viwakilishi vya idadi isiyodhihirika vinahusu nini? Je, ni viwakilishi vya idadi isiyodhihirika zipi unazozijua? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 55 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
3 |
Mahusiano |
Sarufi; Uakifishaji: Alama ya hisi (!) na ritifaa (‘) |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua alama ya hisi (!) na ritifaa (‘) katika maandishi. Mwanafunzi aweze kutumia alama ya hisi (!) na ritifaa (‘) ifaavyo katika maandishi. Mwanafunzi aweze kutafuta katika kamusi, atamke na kuandika maneno yenye sauti ya ungo’ong’o. |
Kwa nini alama za kuakifisha hutumiwa katika maandishi? Alama ya hisi na ritifaa hutumiwa vipi katika maandishi? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 56 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
|
4 |
Mahusiano |
Sarufi; Uakifishaji: Koloni (:) |
Kufikia mwisho wa mada ndogo mwanafunzi aweze:
|
Mwanafunzi aweze kutambua alama ya koloni (:) katika maandishi. Mwanafunzi aweze kueleza matumizi ya koloni (:) katika maandishi. Mwanafunzi aweze kutunga sentensi na kuziakifisha kutumia koloni. |
Alama ya kuakifisha- koloni hutumiwa vipi katika maandishi? |
JKF; Nyota ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 6, Uk. 57 |
Kutunga sentensi Kujibu maswali Kujaza pengo Kuandika tungo Kazi mradi |
|
10 |
KUFUNGA SHULE |