Insha ya Dayalojia - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
 • Mazungumzo kati ya watu wawili au zaidi kuhusu jambo au mada fulani


Muundo

 1. Kichwa
  • Kichwa kizuri kitaje:
   • Ni dayalojia ya nani na nani?
   • Kuhusu nini?
   • Wapi?(ingawa si lazima)
  • mfano
   DAYALOJIA BAINA YA WAZIRI WA USALAMA NA MWANAHARAKATI (BW. KALINDE) AFISINI MWAKE
 2. Utangulizi
  • mwanafunzi awafanye wahusika wake kuamkuana
  • Mmoja(mwenyeji) amkaribishe mwenzake
  • Watangulize mada/sababu ya dayalijia yao
 3. mwili
  • Hoja zote zijumuishwe kwenye dayalojia
 4. hitimisho
  • Hitimisho idhihirike aidha kwa muhtasari wa waliyokuwa wakizungumzia au
  • Shukrani na kuagana
Join our whatsapp group for latest updates

Download Insha ya Dayalojia - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest