Insha ya Mahojiano - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
 • Mazungumzo yanayoendeshwa kwa muundo wa maswali na majibu(kudadisidadisi)


Muundo

 1. Kichwa
  • Kichwa kizuri kitaje:
   • Ni Mahijianokati ya nani na nani?
   • Kuhusu nini?
   • Wapi?(ingawa si lazima)
  • mfano
   MAHOJIANO BAINA YA WAZIRI WA USALAMA NA MWANAHARAKATI(BW. KALINDE) AFISINI MWAKE
 2. Utangulizi
  • mwanafunzi awafanye wahusika wake kuamkuana
  • Mmoja(mwenyeji) amkaribishe mwenzake
  • Watangulize mada/sababu ya mahojiano yao
 3. Mwili
  • Hoja zote zijumuishwe kwenye mahojiano huku wahusika wote wakishirikishwa vilivyo na kuonyesha umahiri wao wa mada.
 4. Hitimisho
  • Hitimisho idhihirike ; aidha kwa muhtasari wa waliyokuwa wakizungumzia au
  • Shukrani na kuagana
Join our whatsapp group for latest updates

Download Insha ya Mahojiano - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest