Barua kwa Mhariri - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
 • Hii ni barua ya msomaji wa jarida kwa mhariri mkuu wa jarida/gazeti fulani akitoa maoni yake kuhusu jambo fulani kama vile uchumi, kisa, sera za serikali au habari zozote zinazoendelea kwa wakati huo


Muundo

 • Anwani ya mwandishi (wima au mshazari)
 • Tarehe ya kuandikwa (usiweke jina).
 • Marejeleo - REJ: SUD/MSS/054/009 (nambari ya kumbukumbu, faili au nambari ya barua)
 • Anwani ya mwandikiwa na cheo k.m.

  Mhariri wa Gazeti la ‘Nation',
  S.L.P 89000, Nairobi.

  Iwapo ni mwanafunzi anaandika
 • Kupitia kwa: MWALIMU MKUU, anwani
 • Mtajo k.m. Kwa Bwana/Bibi/Profesa/Daktari/Mhubiri
 • Kichwa cha barua k.m. MINT: KUENEZWA CHUKI KUPITIA GAZETI LAKO.
 • Utangulizi
  (Mintaarafu ya chuki mliyoeneza kuhusu wakaazi wa matopeni nimeamua kusimama nao tisti kama kigongo na kukataa katakata jambo hilo. Kwa kweli insikitisha kuona gazeti imara kama hili likifanya haya…)
 • Mwili (matatizo, madhara, mapendekezo, shukrani n,k)
 • Hitimisho (Natumai, Nitashukuru…)
 • Thibitisho: (Wako mwaminifu/mtiifu, sahihi, jina /cheo)
 • Nakala kwa:

Mfano

Kwa Mhariri Mkuu

Jarida la Mwenda Zake Leo

MINT : HATUA YA SERIKALI KUFADHILI SEKTA YA BODABODA

...ujumbe...

Na [jina]

Join our whatsapp group for latest updates

Download Barua kwa Mhariri - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest