Insha ya Shajara - Kiswahili Insha Notes

Share via Whatsapp
 • Daftari ambayo huhifadhiwa matukio yanayofanyika kila siku.


Aina

 1. Ya kibinafsi
  - Huwa na:
  • Siku
  • Tarehe
  • Mwaka

   JUMANNE 30/8/2016

  • Tukio lililohudhuriwa/tokea

  Mfano

  JUMATANO/01/12/16
  Nilimtembelea Mwalimu wa Kiswahili kule Lenga Juu na tukaenda naye kwenye maktaba ya serikali kutafiti kuhusu changamoto za lugha ya Kiswahili

  ALHAMISI 02/12/2016
  Nilifanya kazi zangu na kuwatembelea waathiriwa wa mkasa wa shambulizi la kigaidi wa Waste Gate.
 2. Rasmi (hutumiwa katika ofisi)
  • Hutumika afisini
Join our whatsapp group for latest updates

Download Insha ya Shajara - Kiswahili Insha Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest