Usemi Halisi; Usemi wa Taarifa - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes

Share via Whatsapp


Usemi Halisi

 • Maneno halisi kama yanavyotamkwa na msemaji.
 • Huandikwa bila kugeuza chochote.
 • Huanzia kwa herufi kubwa.
 • Hunukuliwa kwa alama za usemi ambazo huandikwa zikiwa mbili mbili na moja moja katika dondoo ndogo k.m. “Mwambie ‘ugua pole’ ukimuona,” baba aliniambia.
 • Koma hutumiwa mwanzoni au mwishoni mwake.
 • Msemaji mpya anapoanza kusema, unapaswa kufungua aya mpya k.m.
  Alimuuliza, “Huendi kwa nini?”
  “Sikupewa ruhusa,” alijibu Zahara.
 • Baada ya (?) na (!) na (.) maneno huanzia kwa herufi kubwa k.m. "Lo! Unatoka wapi saa hii?" Aliniuliza.


Usemi wa Taarifa

 • Ripoti kuhusu mambo yaliyosemwa na mtu mwingine.
 • Si lazima maneno yatokee yalivyosemwa. Yanaweza kubadilishwa mradi ujumbe ubakie ule ule.
 • Alama za mtajo, kiulizi na hisi hazitumiki.
 • Maneno “kwamba’ na ‘kuwa’ hutumiwa.
 • Baadhi ya maneno na viambishi hubadilika k.m. 
  usemi halisi Usemi wa taarifa
  -angu
  -etu
  -enu
  -ako
  wiki ijayo
  kesho
  leo
  sasa
  huyu
  hii
  ta/ki
  ni
  na
  jana
  Lo!
  ?
  -ake
  -ao
  -ao
  -ake
  wiki iliyofuata
  siku iliyofuata
  siku hiyo
  wakati huo
  huyo
  hiyo
  nge
  a
  li
  siku iliyotangulia
  alishangaa
  alitaka kujua

 

Join our whatsapp group for latest updates

Download Usemi Halisi; Usemi wa Taarifa - Sarufi na Matumizi ya Lugha Kiswahili Notes.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest