- UFAHAMU
- Wakoloni walizipa kipaumbele lugha za kigeni katika bara la afrika na kukandamiza zile za kiasili 1 x 2 = 2
-
- ni kwa sababu lugha zimejaa maarifa mengi tangu jadi
- lugha ni chombo cha maendeleo ya binadamu 2 x 1 = 2
- Hatua ya kufunza masomo yote kwa lugha ya Kiswahili 1 x 1 = 1
-
- iwapo takribu asilimia 30 ya watoto hawajifunzi lugha yao ya mama
- ikishindwa kuhudumia jamii ipasavyo kama chombo mahsusi cha mtagusano 2 x 1 = 2
- Kuwa na imani kuwa lugha za kigeni ndizo zitakazofungua njia za maendeleo hapo baadaye 1 x 2 = 2
-
- marekani
- Australia 2 x 1= 2
- Wizara haijajitokeza waziwazi na sera mwafaka wala mwongozo mwafaka kuhusu ufundishaji wa lugha ya mama. 1 x 2 = 2
-
- takriban – karibu (kuhusu idadi)
- mtagusano - Hali au kitendo kinachoingilia kingine 2 x 1 = 2
- UFUPISHO
-
- mwanadamu tu ndiye ana uwezo wa kujua, kujifunza na kutumia lugha
- mawasiliano ya binadamu yaweza kujumlishwa kama mawasiliano ya wanyama yalivyoendelewa
- utafiti wa wanyama umechangia pakubwa katika ukuzaji wa uwezo wa wanyama wa kutambua.
- binadamu wanaweza kuwasiliana na wanyama kwa kutumia njia za kipekee
- Lengo la makala ni kuthmini na kuzamia sifa au tabia za lugha ya mwanadamu(ii) Sifa au tabia hizi ndizo zinazotofautisha lugha ya mwananadamu na aina zinginezo za mawasiliano (8 utiririko)
-
- binadamu hatumii tu kiwango cha sauti na kiwango cha maana.
- binadamu hutamka kwa mara moja sauti na maana zikiwa zimebebana ndani kwa ndani
- wakati anatamka na kuziunganisha sauti ndiyo wakati anaambatanisha na maana.
- uzalishaji unaonekana katika uwezo wa binadamu kuunganisha maneno
- mjuzi wa lugha anapaswa kuelewa tungo zilizotungwa na watu wengine
- anapaswa kuzielewa tungo sahihi na zisizo sahihi (7 , 1 utirririko)
-
- SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA
- sauti /o/i)
- hutamkiwa sehemu ya nyuma ya ulimiii) hutamkwa ulimi ukiwa kati(wastani)
- hutamkwa mdomo ikiwa imeviringwa 2 x 1 = 2
- kiambishi ni mofimu inayoambatanishwa kwenye mzizi wa neno ili kutoa maana tofautiftofauti kisarufi 1 x 1 =1
- ku – kiambishi cha nafsi ya pili umoja(wewe)
- kunyambua
- pa (kutendeka) peka
- cha (kutendewa) chewa
- wakati ufao hali timilifu
mfano:
dereva atakuwa ameegesha gari yake kati uwanja wa kasarani 1 x 1 =1 - mteja wangu- kirai nomino
atawasili – kirai kitenzi
kesho saa tatu- kirai kielezi 2 x 1 = 2 - sentensi idhihirishe kivumishi:lilo hilo, yayo hayo
nomino ziwe ni kama vile: jino, meno ua 2 x 1 = 2 - mfano
mwanafunzi asomaye kwa bidii hufaulu.
Mwanafunzi asomaye kwa bidii; tegemezi
Hafaulu: huru -
Sentesi ambatano
S1
U
S2
KN
KT
KN
KT
N
T
E
O
T
KN2
mkulima
alilima
Kwa bidii
lakini
hakupata
mazao
mengi
- Shamirisho
Barua- shamirisho kipozi
Babu – shamirisho kitondo 2 x 1 = 2 - Wakati/mfano/
Mgeni alipoingia mkutano ulianza
Mahali/mfano/
Mwanafunzi alienda alipokuwa baba yake 2 x 1 = 2 - Kuchanganua
Alimlisha
A
Li } viambishi awali
M
L } mzizi wa kitenzi
Ish
A } viambishi tamati
A- nafsi
Li- wakati
M- mtendewa
Ish- kauli
A – kiishio -
- kufafanua kifungu au maneno yaliyotangulia
- Mbona umeduwaa(kuzubaa)namna hii
- kuonyesha maneno yasiyokuwa ya lazima katika sentensi(iv) nikipita mtihani wa KCSE (kma ninavyotarajia) nitajiunga na chuo kikuu(v) kuandika nambari au herufi(vi) (i), (2), (3), (a) 2 x 1 = 2
-
- hii ni sentensi ambayo huonyesha kutegemea kwa vitendo au hali 1 x 1 = 1
- mfano
Mwanafunzi akisoma kwa bidii atafaulu 1 x 2 = 2
- Visawe
- Daktari – tabibu
- Kisulisuli – kisunzi,kizunguzungu 2 x 1 = 2
-
- Naam!: kihisishi
- Kabla ta: kihusishi 2 x 1 = 2
- Mwalimu alisema kuwa angeweza kuondoka kwake siku ambayo ingefuata asubuhi
-
- Mwenyewe : kiima
- Chagizo: kwa dhati 2 x 1 = 2
- sauti /o/i)
- ISIMUJAMII
-
- Kiswahili ni lugha ya mseto/mahanganyiko wa lugha
- Kiswahili ni lugha ya vizalia . ni zao la ndoa baina ya wanawake wa pwani ya afrika mashariki na wageni
- Kiswahili ni lugha ya kibantu kulingana na ushahidi wa kiisimu na kihistoria 3 x 1 = 3
-
- Misimu
- Ni maneno au semi ambazo huzuka wakati au kipindi fulani miongoni mwa makundi ya watu na kukaa kwa muda mfupi. Yakikaa sana husanifishwa na kuwa Kiswahili sanifu
- Lafudhi
- Lafudhi ni upekee wa mtu katika kutamka maneno unaotokana na athari ya lugha ya mama au ala za matamshi
- Pijini
- Pijini ni lugha inayozuka kutokana na mwingiliano wa jamii mbili au zaidi ambazo hazina lugha ya mawasiliano 3 x 1 = 3
- Misimu
- Sajili ya maabadini
- Kutoweka sehemu za kuabudu kama vile kanisani au msikitini
- Huhusisha viongozi wa kidini kama vile maimamu na makasisi
- Huwa na urejelezi mwingi wa jina la mungu
- Huambatana na kurejelea na kunukuu vitabu vitakatifu
- Huambatanqa za nyimbo za sifa kwa anayeaminiwa na wahusika
- Mahubiri hutolewa na wahubiri huku waumini wakisikiliza
- Huwa na lugha kunyenyekea na kutubu
- Kuma matumizi ya ishara baina ya kiongozi na waumini
- Hutumia mbinu ya takriri
- Sauti hupanda na kushuka kutegemea maudhui 4 x 1 = 4
-
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download KISWAHILI KARATASI YA 2 Marking Scheme - 2017 MURANG'A MOCK EXAMINATION.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students