KISWAHILI PAPER 3 - 2019 LAINAKU JOINT MOCK EVALUATION EXAMINATION

Share via Whatsapp

SEHEMU A : LAZIMA

RIWAYA: CHOZI LA HERI: AsumptaMatei

  1. ...haifaikuchezanauwezowavijana, waonikamananga.
    Huwezakuzamishanakuiongoamerikebu.”(alama 4)
    Kwakurejeleariwayahii, onyeshajinsivijanawamezamishamerikebuyaWahafidhina. (alama 12)

SEHEMU B :TAMTHILIA

     KIGOGO:Pauline Kea

  1. Jibuswali la 2 au la 3.
    Chombochenyerubaniimarahuhimilivishindonahasirayamawimbimakali.
  1. Wekadondoohilikatikamuktadha wake. (alama 4)
  2. Onyeshajinsimsemewaalivyofelikuhimili ‘vishindonahasirayamawimbimakali’. (alama 4)
  3. Elezakwatafsili mambo yoyotekumi  (alama 10)
    1. Jadilijinsikumiambazokwazomaudhuiyausaliti (alama 10)
    2. ElezakwakutoleamifanokumiyamatumiziyaJazanda (alama 10)

SEHEMU YA C: USHAIRI
Jibuswali la 4 au la 5

  1. USHAIRI
    Najasasanindiyani, najakwetumzalendo
    Najanirudinyumbani, nilowekwanakokando
    Kwetu mi nakutamani, kulonawingiuhondo
    Nijayeniilenyundo, misumarihadharani

    Najakwinginekuwapi, kulojaalangupendo?
    Nendanendekwinginepi, sawanakokwamuundo?
    Kaakwingineanapi, elakwenye lake gando?
    Nijayeniilenyundo, misumarihadharani

    Najanijerudipapo, panalendememgando
    Ningambwakwetuhapo, kwambakunukauvundo
    Sitakwendapenginepo, ‘tarudikukokwamwando
    Nijayeniilenyundo, misumarihadharani

    Najasitapakimbiya, ningambwakunavimondo
    Takujakuvilekeya, vinganijiyakwarundo
    Nilipozawa ‘tafiya, sikimbiikwendakando
    Nijayeniilenyundo, misumarihadharani

    Najahiwa ‘mekomaa, kuzidinilivyomwando
    Tenannajiandaa, kwafikiranavitendo
    Kwetunijekuifaa, nakitilioyapondo
    Nijayeniilenyundo, misumarihadharani.

    Najanaingawanaja, siwaekeimifundo
    Moyowanguushatuja, mawinalotendwamwando
    Elawataoningoja, navyaoviwivitendo
    Nijayeniilenyundo, misumarihadharani.

    1. Hukuukitoamifanomwafaka, liwekeshairihilikatikabahari(alama 4)
    2. Andikaubetiwatatu (alama 4)
    3. Katikaubetiwatano Yatajenaudhibitishejibulako. (alama 2)
    4. Nafsinenininanikatikashairihili? Thibitishajibulako. (alama 2)
    5. Yaandikemanenohayakwa Kiswahili sanifu. (alama 2)
      Mwando
      Ningambwa
    6. Onyeshakwakutoamifanomiwilivile uhuruwamshairiumetumikakatikashairihili.  (alama 4)
    7. Nafsinenewaninanikatikashairihili? Thibitisha. (alama 2)
  1. Soma Shairilifuatalokishaujibumaswaliyanayofuata.

    Ukabilaukabila, ukabilawauzima
    Kenya yetutamalizwanajangahiliukabila.
    MakabilakaumbaJalaliukabilakaubwanani?
    Wakenyatutahadharitusizongwenahatari.
    Waulizajinalangunakwambiya la ubatizo.
    Hutoshekina la kwanza watakana la pili.
    Si kwambawasaidia. Wajalikabilalangu.
    Kabilalanguwalitakiani? MiminiMkenyatosheka
    Na hilo.

    Wanasiasawatuchochea, kwamisingiyakikabila,
    Mshikemshikeikitokea, wanasiasatachanambuga,
    Mwananchiwakawaida, tabakikatikajanga,
    Tuwaaminimpakalini, wanasiasamatapeli?
    Wasituhadaewatuhawa, hawanaukiritimba
    mawazo!

    TuipendenchiyetutupendanesiWakenya,
    Tuipendenchiyetu, raslimalituipendayo,
    Tuauninawenzetu, kwavyovyotetuwezavyo,
    Tukumbukekwelikuwa, nyumbanininyumbani,
    Hatakamanipangoni.
    Kuenezaukabilanimatusikwanchiyetu,
    Ni aibu, laanianasikitiko, kwayeyotekumtukana
    Ninayake!

    Nchiyetunchiyeturaslimalituipendayo,
    Tuitunzeipasavyo, tusijekuiangamiza,
    MakabilanimazurinimaumbileyakeMola,
    Ukabilaniushetaniuloumbwanawanadamu,
    Haufaihaufaitukomeshejangahili,
    Tukomeshejangahilikablatuangamiye!

    Maswali
    1. Elezadhamira (alama 2)
    2. Fafanuamuundo (alama 4)
    3. Andikaubetiwanne (alama 4)
    4. Elezambinumbili(alama 4)
    5. Ni njiaganimwafakayakumalizaukabilanchini Kenya? Toa maoniyako. (alama 1)

SEHEMU YA D: HADITHI FUPI

  1. Chokochona D.Kayanda -TumboLisiloshibanaHadithiNyingine.
    Jibuswali la 6 au 7.
    M.K. Ghassany-MameBakari
  1. ‘Lakinikwanini, nakwaninihasa? … Je !,nimetendewahayakwasababuyaudhaifuwangu- kwasababunimwanamke...’
    1. Elezamuktadhawadondoohili.(alama 4)
    2. Bainishambinumbili(alama 2)
    3. Fafanuasifanne (alama 4)
    4. Hukuukijadilihojakumi (alama 10)
  2. “Madhilayamtotomvulanakatikakarneyaishirininamojanimengi” Teteakaulihiiukirejeleahadithizifuatazo:(alama 20)
    1. MapenziyaKifaurongo
    2. MashartiyaKisasa
    3. NdotoyaMashaka

SEHEMU E : FASIHI SIMULIZI

  1. “Magwijiwauwandompanawatamadunizakiafrika: wazeewalioilachumviwakabobeakatikafalsafazaturathizetu, maghulumawenyemisulitinginyanavifuavyamfumbatavinavyostahimilihujumazakilanuinamalaikawa kike aliyeshehenimizinganachemichemiyaurembo, nawasabahi. Wazamaniwaliambakuwamwachamilanimtumwa. Turathizetuniuhai. Turathizetunimsingiwaubinadamuwetu. Turathizetuzinabebamustakabaliwetu. Tuzienzikamatuienzivyoasali.”
    1. Tambuakipera cha utanzuwamazungumzokinachohusishwanakifunguhiki.(alama 1)
    2. Thibitishajibulakokatika (i) kwamifanoyoyotemitatu. (alama 3)
    3. Iwapoumehudhuriautendajiwakiperahikinyanjanielezasifatano (alama 5)
    4. Tajanauelezemiktadhaminne (alama 4)
    5. Elezasifazozotenne (alama 4)
    6. Elezanjiatatuzaukusanyajiwa data unazowezakutumiakukusanya data kuhusukiperahiki. (alama 3)


MARKING SCHEME

    1.  Ni maneno yake Mwangeka                       (uk49.)
      1. Anamwambia Ridhaa
      2. Wamo katika uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Rubia.\
      3. Ni baada ya kuyakumbuka maneno ya Tila kuwa haifai kucheza na uwezo wa vijana katika jamii. (4 x 1 = 4)
    2.  
      1. Tashibihi – wao ni kama nanga.
      2. Jazanda – merikebu inasimamia taifa la Wahafidhina.
      3. Taswira – Picha ya merikebu inayozamishwa. (2 x 2 = 4)
    3.  
      1. Jinsi vijana walizamisha merikebu ya Wahafidhina.
      2. Genge la wavulana watano linawabaka Lime na Mwanaheri kwa kukisia kwamba    wazazi wao hawakuchangia uchaguzi wa Mwanzi.
      3. Wanazorotesha usalama kwa kumvamia Subira na kumkata kwa sime kwa kumdhania kuwa hakumpigia kura Mwanzi.
      4. Vijana wanawavamia abiria barabarani wakiongozwa na kijana aliyekuwa amevaa shati lenye maandishi “Hitman” na kuwachomea ndani ya magari.
      5. Wanayachoma magari barabarani.
      6. Sauna anaiba watoto wake Lunga-Dick na Mwaliko na kuwatenga na dada yao Umu.
      7. Pete anameza vidonge ili kuavya kitoto chake cha pili ila hakufanikiwa.
      8. Zohali anajiingiza katika mapenzi na kupata mimba akiwa kidato cha pili.
      9. Wanawe Kiriri wanakataa kurudi nyumbani- Kutoka ughaibuni walikoenda kusoma.
      10. Vijana wanamdhalilisha Mwekevu baada ya kuibuka mshindi katika uchaguzi.
      11. Kipanga anaachia masomo kidato cha pili na kuanza kunywa kangara – ananusurika kifo.
      12. Wanafunzi shuleni – wanakomsea Ridhaa- wanaendeleza ukabila dhidi ya wanafunzi walowezi.
      13. Vijana wanapokea hongo kutoka kwa wanasiasa kama papa ili wawachague, hivyo kuimarisha uongozi mbaya.
      14. Vijana wasichana wanajifungua watoto na kuwatupa kwenye majaa ya taka kama yule aliyeokolewa na Neema.
      15. Wanavunja sheria kwa kuandamana huku wamebeba picha za Mwanzi na kumhimiza atawale ingawa alikuwa ameshindwa n.k. (12 x 1 = 12) 
    1. (uk.83)
      - msemaji ni babu
      - anamwambia Majoka Wako katika ambulensi
      -Majoka anadhani daktari wake ni babu yake anapoongea naye akipelekwa hospitalini.                            (4×1=4)
    2. Jazanda – chombo na rubani inalinganishwa na nchi na kiongozi.(alama 2 x 1 = 2)
    3. Msemewa ni Majoka.
      Anawaua wapinzani wake.
      Anawafunga watetezi
      Anatumia wahuni kutisha wapinzani.
      Anaamuru polisi kuwapiga risasi raia. (alama 4 x 1 = 4)
    4. Mambo yanayokwaza usawa:
      Ubabedume                  uharibifuwa mazingira
      Unyakuzi wa ardhi        kukubalia biashara haramu.
      Ukatili                         matumizi mabaya ya vyombo vya dola.
      Mauaji                          upiro miongeni mwa viongozi
      Unyanyasaji                   ukwere miongoni mwa viongozi.
      Ufisadi
      Uongozi mbaya. (Zozote 10 x 1 = 10)     (atoe maelezo mafupi)
    1. Maudhui ya usaliti.
      1. Kombe anamuunga mkono Majoka kisiasa lakini Majoka anashurutisha kufurushwa kwake kupitia kwa vijikaratasi vilivyosabazwa.
      2. Ngurumo alisoma na Tunu lakini anamsaliti kwa kumuumiza miguu.
      3. Majoka anawasaliti wafanyi biashara wa Sagamoyo kwa kumwaga kemikali katika soko lao.
      4. Majoka anasaliti juhudi za kuhifadhi mazingira kwa kufungulia biashara ya ukataji miti.\
      5. Mkuu wa polisi Kenga anamsaliti Majoka kwa kumtoroka hali ya kisiasa ilipokuwa mbaya.
      6. Raia wa Sagamoyo wanasaliti wajibu wao wanapoendelea kumuunga mkono Majoka “dikteta”.
      7. Shule ya Majoka and Majoka Academy inasaliti wanafunzi kwa kuwaruhusu kutumia mihadarati.
      8. Ngurumo anamsaliti Boza kwa kushiriki mapenzi na Asiya mkewe.
      9. Majoka anasaliti raia kwa kufunga soko la Chapakazi.
      10. Majoka anasaliti wapiganiaji haki kwa kumuua Jabali mpinzani wake.
      11. Kenga anawasaliti Wanasagamoyo kwa kuunda genge ambalo lilizorotesha usalama.
      12. Majoka anasaliti Chopi kwa kupanga na Kenga ili auwawe licha ya kwamba alikuwa amemtumikia kwa muda mrefu.
      13. Majoka anawasaliti raia kwa kuchukua mikopo na kuitumia kwa mirandi isiyo wanufaisha.
      14. Serikali inamsaliti Ashua kwa kukosa kumwajiri licha ya kuwa amehitimu.
      15. (zakwanza 10 x 1 = 10)\
    2. Jazanda
      1. Rubani – Viongozi wa jimbo la Sagamoyo
      2. Kigogo – kiongozi wa Sagamoyo\
      3.  Keki ya Uhuru – Raslimali za nchi\
      4. Kutoa tonge mdomoni – tonge la Husda – Majoka ambaye ni mumewe.
      5. Kuku – Sudi ambaye ni mumewe Asha
      6. Chatu mmoja kutolewa kafara – chatu ni Sudi au Tunu auwawe.\
      7. Majoka kutotumia bomu kuua mbu – hangetumia nguvu nyingi kuua Tunu. – anauwezo.
      8. Chatu kumaanisha watu wanaotekeleza mauaji wanapoambiwa na kiongozi – akina Ngurumo.
      9. Majoka kumshauri Sudi anawe mikono ili ale na watu wazima – akubali kuchonga kinyago ili Ashua aachiliwe.
      10. Majoka kuwa katika chombo cha safari ya jongomeo – uongozi wake unakaribia kuisha.
      11. Kisima kuingiwa na paka na maji hayanyweki – mambo yameharibika Sagamoyo.
      12. Chombo cha Majoka kwenda kinyumenyume – Majoka haleti maendeleo Sagamoyo.
      13. Marubani wasioendesha vyombo vyao vizuri – Viongozi wabaya
      14. Husda anafananishwa na chui anayeishi ndani ya ngozi ya kondoo – hampendi Majoka - unafiki\
      15. Hashima anamuonya Tunu asijipeleke kwenye pango la nyoka – kujitia kwenye hatari
      16. Tuu anadai moto umewaka – harakati za kumng’oa Majoka zimeanza.
      17. Sumu ya nyoka – dawa za kulevya.
      18. Kanga – Majoka – mumewe Husda
        (za kwanza 10 x 1 = 10)
        USHAIRI
        1. Bahari nne
          Ukara – vina vya mwisho vina urari
          Mathnawi – vipande 2 ukwapi na utao katika kila mshororo
          Tarbia/unne – mstari minne kwa kila ubeti
          Kikwamba – neno (naja) limeanza mshororo katika kila ubeti (4 x 1 = 4)
        2. Lugha tutumbi
          -Ninarudi hapo kwetu na nitakuwa hapo
          -Hata nikiambiwa pananuka nitakaa tu
          -Siendi pengine hivyo narudi hapo tu
          -Nyundo ninakuja misumari jihadharini (4 x 1= 4)
        3. Amekomaa – anasema amekomaa kuliko mwanzo (2 x 1 = 2)
        4. Mzalendo anayeipenda nchi yake – hata kama pananuka atarudi tu
        5. Anataka kurudi kufaa nchi yake. (kutaja alama 1, kueleza alama 1 = 2)
          1. mwando – mwanzo
          2. Ningambwa – ningaambiwa (2 x 1 = 2)
        6. Uhuru wa kishairi
          1. Inkisari -ametumia ritifaa – ‘mi – mimi
             -‘tarudi – nitarudi
            - ‘mekomaa – nimekomaa
            -‘tafiya - nitafia
          2. Tabdila - Sitapakimbiya – sitapakimbia
            - tafiya – tafia
          3. kilahaja – ndiyani – njiyani
            -Mwando – mwanzo
            -Ningaambwa – ningaambiwa
          4. kuboronga sarufi – naja kwetu mzalendo – mzalendo ninakuja/naja kwetu
            - kwetu ‘mi nakutamani – ninatamani kwetu
            - kulo na mwingine uhondo – kuna uhondo mwingi (2x2=4)
          5. Wananchi wa kwao hasa waliomtendea maovu (ubeti wa mwisho) (2 x 1 = 2)
        1. ukabila (1 x 1 = 1)
          1. dhamira i) kueleza jinsi nchi yetu ilivyokubwa na ukabila
          2. Athari zinazotokana na ukabila(2 x 1 = 2)
        2. Muundo
          1. beti tano
          2. idadi tofauti ya mshororo katika kila ubeti
          3. idadi tofauti ya mizani katika kila mshororo
          4. idadi tofauti ya vipande katika kila mshororo(4 x 1 = 4)
          5. ubeti wa nne – tutumbi
            Tuipende nchi yetu na tusaidie wanaohitaji usaidizi wetu. Tukumbuke kuwa nyumbani ni nyumbani hatakama haliyake ni gani. Ni tabia mbaya kueneza ukabila katika nchi yetu kwa sababu ni aibu kwa mtu kumtukana mama yake. (4 x 1 = 4)
        3. Mbinu mbili
          1. Takriri – ukabila ukabila
          2.  Balagha – Wanasiasa matapeli?
          3. Istiari – ukabila ni shetani. (2 x 2 = 4)
        4. Njia ya kumaliza ukabila
          1. Kuhakikisha kuwa kila jamii imeshirikishwa katika uteuzi wa kiserikali.
          2. Kuanzisha kampeni za kumaliza ukabila.
            (1 x 1 = 1) (atoe maoni yake)
        5. Uhuru wa Ushairi
          1. inkisari – waumiza – unaumiza
          2. kuboronga sarufi – wasituhadae watu hawa – watu hawa wasituhadae.
          3. Tabdila – tuangamiye – tuangamie
          4. msamiati kale/lahaja – Jalali – Mungu, Nina – Mama (zozote 4 x 1 = 4)
        1. Maneno ya Sara
          -“uzugumzi nafsia”
          - akijiambia anarejelea alivyobakwa na jitu
          -Tayari alikuwa mjamzito kutokana na ubakaji. 4x1=4
        2. mbinu za lugha
          1. takriri – kwa nini kwani nini
          2. balagha – kwa nini hasa?
          3.  uzungumzi nafsi – wa Sara     (2 x 1 = 2)
        3. sifa nne za Sara
          1. mwenye mapenzi ya dhati
          2. mwenye utu
          3. mwoga
          4. mwenye busara
          5. mkakamavu
          6. msamehevu.
            (lazima atoe maelezo, lazima amtaje Sara, za kwanza 4 x 1 = 4)
      1. Athari za ubakaji.
      2. Sara anahisi mdidimo na mkadamizo wa kiwiliwili chake.
      3. ujauzito
        kuvunjwa ujana jike.
      4. Sara anaona laana na masumbuko kutoka kwa kila mtu aliye karibu naye.
      5. kilio na maombolezo katika familia.
      6. wazo la kutoa mimba – unyama
      7. maafa – jitu linauwawa na wanakijiji.
        (za kwanza 10 x 1 = 10) (lazima atoe maelezo mafupi na mifano kutoka kwa hadithi husika.)
      1. Mapenzi ya kifaurogo
      2. malezi duni – Dennis alalelewa katika mazingira ya kimaskini
      3. ikuishi kwa majuto – Dennis anaishi kujihurumia
      4. kuaibishwa – Dennis anaaibishwa na Dkt Mabonga.
      5. upweke – Dennis anakumbuka wenzake wanavyojigamba.
      6. Maisha duni chuoni – Dennis anaishi kwenye chumba kisicho na vitu vya dhamani.
      7. kupuuzwa – Dennis anapuuzwa na wachapishaji vitabu.
      8. kushindwa kukidhi masilahi ya kibinafsi.
      9. Dennis anakosa chakula akiwa chuoni.
      10. kulazimishiwa mapenzi – Dennis analazimishiwa mapenzi na Penin
      11. kuishi maisha ya utegemezi – Dennis anamtegemea Penina.
      12. Ukosefu wa ajira – Dennis anaishi kipindi kirefu bila ajira.
      13. kusalitiwa kimapenzi – Dennis anasalitiwa na Penina baada ya kukosa kazi.
        (zozote 8 x 1 = 8)
      1. Masharti ya kisasa
        1. kuhangaika kutafuta mapenzi- Dadi anahangaika akimtafuta Kidawa
        2. Kuadhibiwa kimapenzi – Dadi anapewe masharti magumu na Kidawa
        3. Wasiwasi katika ndoa – Dadi anaishi kwa wasiwasi kwa kudhania kuwa mkewe        anamwendea kinyume.
        4. Kudhibitiwa na mke – Dadi alazimika kufanya kazi za nyumbani ambazo hazimwafiki mwanamume
        5. Dhihaka ya majirani – Dadi anadhihakiwa na Bii Zuhura.
        6. Kupata majeraha ya mwili – Dadi alianguka na kupoteza fahamu pale shuleni akichunguza kama kidawa ana uhusiano wa kimapenzi na mwalimu mkuu. (zozote 6 x 1 = 6)
      2. Ndoto ya Mashaka
        1. upweke na ukiwa wakuvunjikiwa na ndoa. – Mashaka anaingiwa na upweke baada ya ndoa yake kusambaratika.
        2. Uyatima – Mashaka alipoteza wazazi wake akiwa mtoto mdogo.
        3. kazi ngumu – Mashaka analazimika kufanya kazi ngumu shambani.
        4. kukosa Elimu – Mashaka hakuweza kuendelea na masomo yake.
        5. Malezi duni – Mashaka alilelewa na Bi. Kidebe aliyekuwa maskini.
        6. Pingamizi za familia katika suala la mapenzi – Mapenzi kati ya Mashaka na Waridi yalipingwa nafamilia ya Mzee Rubeya.
          zozote 6 x 1 )(mtahini akadirie jibu la mwanafunzi katika swali hili. )
        1. Ulumbi 1 x 1
          1. matumizi ya lugha yenye mnato/tamathali za usemi – mwacha mila ni mtumwa
            - Taswira – ya urembo, misuli tinginya.
            - Takriri – turathi zetu, turathi zetu.
            - Kusema moja kwa moja mbele ya hadhira – nawasabahi.
            - Anafahamu hadhira yake (utamaduni)
            (za kwanza tatu 3 x 1 = 3)
          2. Sifa zisizojitokeza katika kifungu
        2. kupanda na kushuka kwa toni
          1. kupaza sauti.
          2. kuvaa maleba maalum.
          3. matumizi ya viziada lugha.
          4. miondoko jukwaani
          5. kutua kidrama katika maongezi
          6. huenda akaimba, akauliza maswali, akaulizwa maswali na hadhira yake
            (za kwanza 5 x 1 = 5)
          1. Asasi ya ndoa – mijadala ya mahari, utatuzi wa migogoro au kuchumbia
          2. Maabadini
          3. mahakamani
          4. Siasani
          5. Asasi ya elimu
          6. Muktadha wa upatanishi
            (za kwanza 4 x 1 = 4
          1. Inaenzi uzee
          2. inaenzi urembo
          3. wavulana wanastahili kuwa na nguvu.
          4. utamaduni unaenziwa
          5. Niwafugaji wa nyuki
            (za kwanza 4 x 1 = 4)
          1. kutumia vinasa sauti
          2. kutumia kanda za kunasa video
          3. kuandika mazungumzo ya mtendaji
          4. kusikiliza kwa makini.
            (za kwanza 3 x 1 = 3) (mtahiniwa atoe maelezo mafupi katika swali hili. Mtahini akadirie jibu la mwanafunzi.)
          5. uoga kwa babake – atakavyokejeliwa na jamii.
          6. kufukuzwa shuleni na mwalimu mkuu.
          7. hisia za kujiua.
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI PAPER 3 - 2019 LAINAKU JOINT MOCK EVALUATION EXAMINATION.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest