0 votes
3.3k views
in Sarufi na Matumizi ya Lugha by
Tunga sentensi mbili kuonyesha matumizi mawili tofauti ya nukta pacha.

2 Answers

0 votes
by
  1. Kutenganisha orodha ya maneno
  2. Kuandika tarakimu maalumu
  3. Kutanguliza maelezo Fulani
  4. Kutanguliza usemi halisi
  5. Katika maandisha ya tamthlia
  6. Kutenganisha saa dakika na sekunde
0 votes
by
Nisaidie jibu nimeshindwa



Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.

6.4k questions

9.6k answers

6 comments

590 users

...