Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Uliona nini kwa huyo zebe wako ? Eti mapenzi!
0
votes
1.4k
views
asked
Jul 23, 2021
in
Kigogo
by
anonymous
Uliona nini kwa huyo zebe wako ? Eti mapenzi!
Eleza muktadha wa dondoo.
Andika mbinu za lugha zinazojitokeza kwenye dondoo hili
Taja hulka za mnenaji unajitokeza katika dondoo.
muktadha wa dondoo
Please
log in
or
register
to answer this question.
1
Answer
0
votes
answered
Jul 23, 2021
by
anonymous
Eleza muktadha wa dondoo.
Maneno ya Majoka
Anamwambia Ashua
Ofisini mwa Majoka
Ni baada ya Ashua kumkataa Majoka Kimapenzi alipokwenda kutaka msaada kwake
Andika mbinu za lugha zinazojitokeza kwenye dondoo hili
Swali la balagha – uliona nini kwa huyo zebe wako?
Nidaa – Eti mapenzi!
Taja hulka za mnenaji unajitokeza katika dondoo.
Hulka za Majoka
Dharau/ bezo – Eti mapenzi!
Mpyaro – zebe
Please
log in
or
register
to add a comment.
Related questions
0
votes
1
answer
“…kulinda uhai, kulinda haki, kulinda uhuru…” Weka dondoo hili katika muktadha wake
asked
Aug 16, 2021
in
Kigogo
by
anonymous
kigogo
muktadha wa dondoo
0
votes
1
answer
“Sitaki kazi za uchafu hapa Sagamoyo."
asked
Jul 6, 2021
in
Kigogo
by
anony mous
kigogo
muktadha wa dondoo
0
votes
1
answer
“ Kwa kweli ni hali ngumu hii”
asked
Jul 23, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
chozi la heri
muktadha wa dondoo
0
votes
0
answers
Jadili mambo yaliyofuatilia kutawazwa kwa Musumbi katika riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 19, 2021
in
Chozi la Heri
by
Hopekendi
chozi la heri
muktadha wa dondoo
0
votes
1
answer
Mame Bakari- (Mohammed Khelef Ghassary) “Haikuwa stahiki yake kubebeshwa mzigo kama ule.”
asked
Jul 6, 2021
in
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
by
anony mous
hadithi fupi
tumbo lisiloshiba na hadithi nyingine
muktadha wa dondoo
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Sarufi na Matumizi ya Lugha
(260)
Chozi la Heri
(83)
Kigogo
(60)
Tumbo Lisiloshiba na Hadithi Nyingine
(43)
Fasihi
(67)
Ushairi
(3)
Isimu Jamii
(33)
Insha
(10)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...