Grade 5 Shughuli za Kiswahili - Grade 5 Schemes of Work Term 3 2023

Rate this item
(1 Vote)

GRADE FIVE KISWAHILI ACTIVITIES. SCHEMES OF WORK TERM 3 2023

Wk

Lsn

Strand/ Theme

Sub strand

Specific learning outcomes

Key inquiry Questions

Learning experiences

Learning Resources

Assessment methods

Reflection

1

1

NDEGE WA PORINI

Kuandika insha:Insha za masimulizi

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze,

  1. kueleza sifa za insha ya masimuizi ili kuibainisha
  2. kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
  3. kuchangamkia utunzi mzuri
  1. Ni mambo gani unayozingatia ili kuandika insha ya masimulizi ya kuvutia?
  • Aandike insha isiyopungua maneno 150, inayosimulia tukio linalohusiana na ndege wa porini kwa kuzingatia anwani, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka na kwa lugha ya kiubunifu

Kielelezo cha insha ya masimulizi

  1. Kuandika tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha

2

Sarufi

Mnyambuliko waVitenzi: Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matini
  2. kutumia vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasiliana
  3. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano.
  1. Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?

Mwanafunzi:

  • Atambue vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti maneno, ubao na vyombo vya kidijitali
  • anyambue vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, wakiwa wawiliwawili au katika vikundi
  • atumie vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi
  • ashirikiane na wenzake kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi 
  • aandike sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

3

  • Anyambue katika halilengwa akiwa peke yake, wakiwa wawiliwawili au katikavikundi
  • Atambue vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi
  • ashirikiane na wenzake kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi
  • aandike sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali

Tarakilishi/vip akatalishi Kinasasauti

Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

4

Mnyambuliko wa Vitenzi: Kauli za kutendewa, kutendeka na kutendana

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika matini
  2. kutumia vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana ipasavyo anapowasiliana
  3. Kuchangamkia matumizi ya vitenzi katika hali ya kutendewa, kutendeka na kutendana katika mawasiliano.
  1. Je, vitenzi vinaweza kubadilika vipi mwishoni ili kuleta maana mbalimbali?

Mwanafunzi:

  • atambue vitenzi katika hali za kutendewa, kutendeka na kutendana katika chati, jedwali, kapu la maneno, mti maneno, ubao na vyombo vya kidijitali
  • anyambue vitenzi katika hali lengwa akiwa peke yake, wakiwa wawiliwawili au katika vikundi
  • atumie vitenzi katika hali lengwa kwenye sentensi
  • ashirikiane na wenzake kujaza mapengo katika jedwali la mnyambuliko we vitenzi kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi
  • aandike sentensi upya kwa kutumia vitenzi katika hali mbalimbali

Tarakilishi/vipakat

alishi

Kinasasauti

Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu

mbalimbali

Michoro

Chati

Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

2

1

MAGON JWA

Kusikiliza na Kuzungumza:

Mazungumzo ya Kimuktadha: 

Mazungumzo katika miktadha rasmi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua miktadha rasmi kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasiliano
  2. kutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasiliano
  3. Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi.
  1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi?

Mwanafunzi:

  • atambue miktadha rasmi kunakotumiwa lugha rasmi (k.v ofisini, hospitalini, mahakamani na bungeni)
  • asikilize mazungumzo rasmi kwa kutazama maigizo kwenye vyombo vya kidijitali kama vile video, rununu, runinga, tarakilishi n.k

Chati

Michoro na picha Mgeni mwalikwa

,

video)

Mti maneno Kapu maneno

Vitabu

mbalimbali

  1. Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia
  2. lugha katika mawasiliano
  3. Kujibu maswali
  4. Maigizo
  5. Kutambua k.m. kwenye orodha
  6. Mijadala
  7. Mazungumzo

2

Kusikiliza na Kuzungumza: Mazungumzo ya Kimuktadha: Mazungumzo katika miktadha rasmi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua miktadha rasmi kunakotumiwa lugha rasmi ili kukuza mawasiliano
  2. kutumia lugha katika miktadha rasmi ili kufanikisha mawasiliano
  3. Kuchangamkia matumizi ya lugha katika miktadha rasmi.
  1. Ni wapi katika shughuli zetu za kila siku tunaitumia lugha rasmi?
  • ashiriki katika maigizo ya mazungumzo ya miktadha rasmi akishirikiana na wenzake
  • ashiriki katika mazungumzo rasmi nje ya darasa k.m. akiwa kwenye gwaride na majilisini
  • atambue nidhamu ya lugha inayozingatiwa katika mazingira rasmi k.m lugha ya heshima na adabu anapowasiliana

Chati

Michoro na picha Mgeni mwalikwa

,

video)

Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali

  1. Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia
  2. lugha katika mawasiliano
  3. Kujibu maswali
  4. Maigizo
  5. Kutambua k.m. kwenye orodha
  6. Mijadala
  7. Mazungumzo

3

Kusoma

Kusoma kwa Mapana: Matini

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia
  2. kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa
  3. Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake.
  1. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini ?
  2. Unachagua matini hayo kwa nini?

Mwanafunzi:

  • Achague matini kv. vitabu, majarida, magazeti) yanayomvutia maktabani na mtandaoni
  • Asome matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe uliomo
  • Awatol wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha
  • ajadiliane na wenzake matini ambayo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati

Tarakilishi/vipak atalishi Kinasasauti Rununu

projekta Kinasasauti Rununu projekta

Nakala ya shairi kamusi

  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti

4

Kusoma kwa Mapana: Matini

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua matini ya aina mbalimbali ya kusoma na kuchagua yanayomvutia
  2. kusoma matini aliyochagua ili kufaidika na ujumbe na lugha iliyotumiwa
  3. Kufurahia usomaji wa aina mbalimbali za matini ili kupanua mawazo yake.
  1. Ni habari zipi unazopenda kusoma kwenye matini ?
  2. Unachagua matini hayo kwa nini?

Mwanafunzi:

  • achague matini (k. v . vitabu, majarida, magazeti) yanayomvutia maktabani na mtandaoni
  • asome matini aliyochagua ili kufaidi ujumbe uliomo
  • awatole wenzake muhtasari wa kile alichosoma kwenye matini ili kupashana ujumbe na kuchocheana kusoma zaidi kwa ajili ya kujifurahisha
  • ajadiliane na wenzake matini ambayo wamesoma kwa kuzingatia ukuzaji wa msamiati

Tarakilishi/vipak atalishi Kinasasauti Rununu

projekta Kinasasauti

Rununu projekta

Nakala ya shairi kamusi

  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti

3

1

Kuandi ka

Insha za Maelezo

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze,

  1. kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali
  2. kuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaao
  3. Kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi.
  1. Je, ni mada gani inayoweza kuandikiwa insha za maelezo?

Mwanafunzi:

  • atambue vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
  • ashiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya maelezo aandike insha ya maelezo mtandaoni na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini.
  • Awasome wenzake shairi aliyoandika ili kuisoma na kuitathmini.

Kielelezo cha insha ya maelezo

  1. Kuandika tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha

2

Insha za Maelezo

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze,

  1. kutambua vifungu vya maelezo vilivyoandikwa kwenye matini mbalimbali
  2. kuandika insha ya maelezo kwa kufuata mtindo na muundo ufaao
  3. Kuchangamkia utunzi mzuri wenye ujumbe mahususi.
  1. Je, ni mada gani inayoweza kuandikiwa insha za maelezo?
  • aandike insha ya maelezo isiyopungua maneno 150 kwa kuzingatia msamiati unaohusu suala lengwa na kwa kuzingatia vigezo kama vile: ujumbe, tahajia, anwani, muundo, mtindo, mapambo ya lugha k.v methali, nahau, tashbihi, istiari n.k. alizojifunza awali

Kielelezo cha

insha ya maelezo

  1. Kuandika tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha

3

Sarufi

Vinyume: Vinyume vya Vitenzi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vinyume vya vitenzi katika matini
  2. kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi
  3. Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vitenzi katika mawasiliano ya kila siku.
  1. Je, ni vitenzi gani unavyoweza kutambua vinyume vyake?

Mwanafunzi

  • Atambue vinyume vya vitenzi (k.m. Simamaketi, cheka-lia, enda- rudi, chimba- chimbua n.k) katika chati, kadi za maneno, kapu la maneno, mti maneno au vifaa vya kidijitali ashirikiane na wenzake kutafuta vinyume vya vitenzi kwa kurejelea orodha ya vitenzi
  • aliyopewa atalii mazingira yake na kuunda orodha ya vinyume vya vitenzi anavyovitambua.
  • Atunge sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi
  • Aandike upya sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi.

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu

projekta Kapu maneno

Mti maneno Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

4

Vinyume: Vinyume vya Vitenzi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vinyume vya vitenzi katika matini
  2. kuunda sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi
  3. Kuchangamkia matumizi ya vinyume vya vitenzi katika mawasiliano ya kila siku.
  1. Je, ni vitenzi gani unavyoweza kutambua vinyume vyake?

Mwanafunzi

  • atambue vinyume vya vitenzi (k.m. Simamaketi, cheka-lia, enda- rudi, chimba- chimbua n.k) katika chati, kadi za maneno, kapu la maneno, mti maneno au vifaa vya kidijitali
  • ashirikiane na wenzake kutafuta vinyume vya vitenzi kwa kurejelea orodha ya vitenzi aliyopewa
  • atalii mazingira yake na kuunda orodha ya vinyume vya vitenzi anavyovitambua.
  • atunge sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi kwa kuzingatia upatanisho wa kisarufi
  • aansike upya sentensi kwa kutumia vinyume vya vitenzi.

Tarakilishi/vipakat

alishi Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

4

1

KUDHIB ITI ITIKADI ZA KIDINI

NA KIJAMII

Kusikiliza na Kuzungumza: Tashbihi: Tashbihi za tabia

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua tashbihi za tabia katika matini
  2. kutumia tashbihi za tabia kwa usahihi katika sentensi
  3. kufurahia matumizi ya tashbihi za tabia katika mawasiliano ya kila siku
  1. Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia?

Mwanafunzi:

  • Atambue tashbihi ya tabia (k.v. mjanja kama sungura, mlafi kama fisi, mwenye maneno mengi kama kasuku, - eusi kama makaa) katika vitabu, matini, chati na vyombo vya kidijitali. 
  • aeleze maana ya tashbihi mbalimbali za tabia kwa kutoa mifano

Chati

Michoro na picha Mgeni mwalikwa

video

Mti maneno

Kapu maneno Vitabu mbalimbali

  1. Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  2. Kujibu maswali
  3. Maigizo
  4. Kutambua k.m. kwenye orodha
  5. Mijadala
  6. Mazungumzo

2

Kusikiliza na Kuzungumza: Tashbihi: Tashbihi za tabia

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua tashbihi za tabia katika matini
  2. kutumia tashbihi za tabia kwa usahihi katika sentensi
  3. kufurahia matumizi ya tashbihi za tabia katika mawasiliano ya kila siku
  1. Ni tashbihi zipi hutumiwa kuelezea tabia?
  • akamilishe tashbihi mbalimbali za tabia akiwa peke yake au kwa kushirikiana na wenzake darasani
  • ajaze mapengo katika sentensi kwa kutumia tashbihi mbalimbali za tabia
  • atumie tashbihi za tabia katika sentensi akiwa peke yake au katika vikundi.

Chati

Michoro na picha Mgeni mwalikwa

video

Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali

  1. Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  2. Kujibu maswali
  3. Maigizo
  4. Kutambua k.m. kwenye orodha
  5. Mijadala
  6. Mazungumzo

3

Kusoma

Kusoma Mapana: Matini ya Kidijitali

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua na kuzingatia hatua za kiusalama katika matumizi ya vifaa vya kidijitali
  2. kutambua na kufungua faili iliyo na kifungu cha kusoma ili kuimarisha umilisi wake wa kutumia tarakilishi
  3. Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
  1. Unapenda kusoma habari kuhusu nini Mtandaoni?
  2. Unakumbuka habari gani uliyoisoma Mtandaoni?
  3. Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari mtandaoni?

Mwanafunzi:

  • Atambue na kuzingatia hatuaza kiusalama kutoka kwenye chati au kwenye tarakilishi na mitandao.
  • Atambue jina la faili lengwa kwenye tarakilishi na kufanya mazoezi ya kufungua na kufunga 
  • atambue mitandao salama yenye matini inayoafiki kiwango na mahitaji yake

Tarakilishi/vipak atalishi Kinasasauti Rununu

projekta Kinasasauti Rununu projekta

Nakala ya shairi kamusi

  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasar wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti

4

Kusoma Mapana: Matini ya Kidijitali

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kusakura kwenye tovuti salama ili kupata vifungu vya kusoma
  2. kutumia vyombo vya kidijitali kwa urahisi kupata matini zinazolengwa
  3. Kuchangamkia matumizi ya vifaa vya kidijitali katika kutafuta na kusoma ujumbe ili kuimarisha maarifa yake.
  1. Unapenda kusoma habari kuhusu nini Mtandaoni?
  2. Unakumbuka habari gani uliyoisoma Mtandaoni?
  3. Ni hatua gani za kiusalama unazozingatia unapotafuta habari Mtandaoni?
  • atambue umuhimu wa kutoa habari kwa mwalimu, mzazi au mlezi wake endapo atapata ujumbe kutoka kwa watu asiowajua mtandaoni na kutowasiliana nao
  • atafute maana za maneno mapya kwenye kamusi mtandaoni
  • asimulie habari kuhusu matini aliyosoma kwa wenzake

Tarakilishi/vipak atalishi Kinasasauti Rununu

projekta Kinasasauti

Rununu projekta

Nakala ya shairi kamusi

  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasar wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti

5

1

Kuandi ka

Aina za Insha: Insha ya masimulizi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo
  2. kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
  3. Kuchangamkia utunzi mzuri.
  1. Unawezaje kupata kwa haraka hoja za kusimulia katika insha?

Mwanafunzi:

  • Atambue insha ya masimulizi kwa kurejelea vielelezo vya insha zilizoandikwa kwenye matini mbalimbali au tarakilishi
  • Ashiriki na wenzake kujadili mada ya insha na muundo wa insha ya masimulizi andike insha ya mazimulizi katika vifaa vya kidijitali na kuisambaza kwa wenzake na mwalimu ili kuisoma na kuitathmini
  • awasomee wenzake insha aliyoandika ili waitathmini na kumwelekeza

Kielelezo cha insha ya masimulizi

  1. Kuandika tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha

2

Aina za Insha: Insha ya masimulizi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua insha ya masimulizi kwa kuzingatia muundo
  2. kuandika insha ya masimulizi kwa kufuata kanuni zifaazo
  3. Kuchangamkia utunzi mzuri.
  1. Unawezaje kupata kwa haraka hoja za kusimulia katika insha?
  • aandike insha ya masimulizi (k.v. kuhusu itikadi za kidini na za kijamii, sherehe, hadithi, ndoto, ndoa za lazima n.k) isiyopungua maneno 150 akizingatia ainambalimbali za maneno, mnyambuliko wa vitenzi, na nyakati ili kejenga picha dhahiri ya anachokiandikia daftarini. Pia azingatie mada, mpangilio mzuri wa mawazo, hati safi, tahajia, kanuni za kisarufi, uakifishaji mwafaka, lugha ya kiubunifu

Kielelezo cha insha ya masimulizi

  1. Kuandika tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha

3

Sarufi

Nyakati na Hali

  • Hali ya Mazoea
  • Hali Timilifu

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vya hali ya mazoea na hali timilifu kwenye kitenzi
  2. kutambua vitenzi katika hali ya mazoea na hali timilifu kwenye matini
  3. Kufurahia matumizi ya hali ya mazoea na timilifu katika mawasiliano.
  1. Je, wewe hufanya shughuli gani kila siku?

Mwanafunzi:

  • Atambue viambishi vya hali ya mazoea (hu) na hali timilifu (me) kwenye vitenzi katika chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali atambue viambishi katika hali ya mazoea (hu) na hali timilifu (me) kwenye sentensi, chati, ubao au kwa kutumia vifaa vya kidijitali

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

4

Nyakati na Hali

  • Hali ya Mazoea
  • Hali Timilifu

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vitenzi katika hali ya mazoea na hali timilifu kwenye matini
  2. kutumia vitenzi vya hali ya mazoea na timilifu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
  3. Kufurahia matumizi ya hali ya mazoea na timilifu katika mawasiliano.
  1. Je, wewe hufanya shughuli gani kila siku?

Ashiriki na wenzake katika mazoezi ya kutumia hali ya mazoea (hu) na hali timilifu (me) katika sentensi na kuziandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi

  • ashirikiane na wenzake katika vikundi kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine
  • atunge sentense katika hali ya mazoea na hali timilifu kwenye blogi ili wenzake waweze kuisoma na kutathmini usahihi wake

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

6

1

Nyakati na Hali

  • Hali ya Mazoea
  • Hali Timilifu

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua vitenzi katika hali ya mazoea na hali timilifu kwenye matini
  2. kutumia vitenzi vya hali ya mazoea na timilifu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano
  3. Kufurahia matumizi ya hali ya mazoea na timilifu katika mawasiliano.
  1. Je, wewe hufanya shughuli gani kila siku?

Ashiriki na wenzake katika mazoezi ya kutumia hali ya mazoea (hu) na hali timilifu (me) katika sentensi na kuziandika daftarini au kupiga chapa kwenye tarakilishi/kipakatalishi

  • ashirikiane na wenzake katika vikundi kubadilisha sentensi kutoka hali moja hadi nyingine
  • Atunge sentensi katika hali ya mazoea na hali timilifu kwenye blogi ili wenzake waweze kuisoma na kutathmini usahihi wake

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

2

UWEKE ZAJI

Kusikiliza na Kuzungumza: Kutoa Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kusimulia tungo mbele ya wenzake kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha
  2. kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake
  3. kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali
  1. Je, ni nini Unachozingatia katika kutoa masimulizi?

Mwanafunzi:

  • asikilize masimulizi yakitolewa na mgeni mwalikwa, mwalimu, mwanafunzi mwenzake au kutokana na vifaa vya kidijitali.
  • abuni masimulizi yanayohusiana na mada husika kwa kutazama picha, michoro au kujadiliana na wenzake

Chati

Michoro na picha Mgeni mwalikwa

video

Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali

  1. Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  2. Kujibu maswali
  3. Maigizo
  4. Kutambua k.m. kwenye orodha
  5. Mijadala
  6. Mazungumzo

3

Kusikiliza na Kuzungumza: Kutoa Masimulizi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kusimulia tungo mbele ya wenzake kwa kuzingatia mada, ubunifu na usanifu wa lugha
  2. kutumia ishara zifaazo kuimarisha masimulizi yake
  3. kuchangamkia masimulizi katika mazingira mbalimbali
  1. Je, ni nini Unachozingatia katika kutoa masimulizi?
  • kutoa masimulizi kuhusu mada (k.v. Jinsi ya kuwekeza na Faida za uwekezaji)
  • atumie ishara za mwili zifaazo k.v ishara za uso, za mikono na mabega kuimarisha masimulizi yake
  • ajadiliane na wenzake kuhusu ubora wa masimulizi aliyosikiliza

Chati

Michoro na picha Mgeni mwalikwa

video

Mti maneno Kapu maneno Vitabu mbalimbali

  1. Kumakinikia jinsi mwanafunzi anavyotumia lugha katika mawasiliano
  2. Kujibu maswali
  3. Maigizo
  4. Kutambua k.m. kwenye orodha
  5. Mijadala
  6. Mazungumzo

4

Kusoma

Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha hadithi

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungu
  2. kueleza maana za msamiati wa mada lengwa uliotumika katika kifungu
  3. kuchangamkia usomaji wa kifungu ili kujenga maarifa ya ufahamu
  1. Je, ni mambo gani yanayokuvutia unaposoma kifungu cha ufahamu?
  2. Unafanya nini ili kujua maana ya msamiati uliotumiwa katika kifungu?

Mwanafunzi:

  • atambue msamiati wa suala lengwa (uwekezaji) (k.v. kuwekeza, faida, hasara, fidia, mtaji, ajira, mkopo, mwanabiashara, deni, mteja, biashara, bidhaa, bajeti, kilimo biashara, benki, vyama vya ushirika, ushuru kutokana na mapato, n.k akitumia kapu maneno, mti maneno au tarakilishi.
  • aeleze maana ya msamiati huu kama unavyotumiwa katika jamii wakati wa mawasiliano na shughuli za uwekezaji.

Tarakilishi/vipak

atalishi Kinasasauti Rununu projekta Kinasasauti Rununu projekta

Nakala ya shairi kamusi

  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti

7

1

Kusoma kwa Ufahamu: Kifungu cha hadithi

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutumia msamiati ulio katika kifungu kwa usahihi katika sentensi
  2. kusoma kifungu kwa ufasaha ili kupata ujumbe
  3. kuonyesha ufahamu wa kifungu kwa kutoa muhtasari na kujibu maswali
  4. kuchangamkia usomaji wa kifungu ili kujenga maarifa ya ufahamu
  1. Je, ni mambo gani yanayokuvutia unaposoma kifungu cha ufahamu?
  2. Unafanya nini ili kujua maana ya msamiati uliotumiwa katika kifungu?
  • Atunge sentensi akitumia msamiati husika, akiwa pekee yake, kwenye jozi au kikundi.
  • atazame chati kwenye tarakilishi au matini inayoonyesha bajeti ajadili na wenzake matukio kwenye picha zinayoonyesha wafanyibiashara na wateja wao katika shughuli za kibiashara.
  • Asome ufahamu kwa kuzingatia ujumbe akiwa pekeyake au kwa sauti akipishana zamu na wenzake
  • Ajibu maswali kutokana kifungu alichosoma

Tarakilishi/vip akatalishi Kinasasauti Rununu projekta Kinasasa uti Rununu projekta Nakala ya shairikamusi

  1. Kutunga sentensi k.m. kwa kutumia msamiati lengwa
  2. Kujibu maswali k.m. katika ufahamu
  3. Kutoa muhtasari wa ufahamu au matini yaliyosomwa
  4. Kukariri na kuimba mashairi
  5. Kusoma kwa sauti

2

Kuandi

ka

Kuandika Insha: Baruapepe

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake
  2. kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo
  3. kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano
  1. Unazingatia vipengele gani unapoandika baruapepe?

Mwanafunzi:

  • atambue muundo wa baruapepe kwa kurejelea kielelezo chake kilichochapishwa au kwenye tarakilishi.
  • ajadili sehemu mbalimbali za baruapepe kama vile anwanipepe ya mtumaji (k.m. This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.),anwanipepe ya mpokeaji, mada ya baruapepe, mtajo, mwili, hitimisho na jina la mwandishi/mtumaji.

Kielelezo chainsha ya baruapepe

  1. Kuandika tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha

3

Kuandika Insha: Baruapepe

Kufikia mwisho wa mada ndogo,mwanafunzi aweze:

  1. kutambua baruapepe kwa kuzingatia muundo wake
  2. kuandika baruapepe kwa kuzingatia ujumbe, muundo na mtindo
  3. kuchangamkia uandishi wa baruapepe katika mawasiliano
  1. Unazingatia vipengele gani unapoandika baruapepe?
  • Aandike barua pepe kwa rafiki, mzazi, mwalimu n.k
  • akishirikiana na wenzake darasani, kwa kutumia tarakilishi akizingatia muundo wa uandishi wa baruapepe.
  • aandike baruapepe akiwa peke yake.
  • atume baruapepe aliyoiandika kwa mpokeaji.
  • kuhusu umuhimu baruapepe katika mawasiliano

Kielelezo chainsha ya baruapepe

  1. Kuandika tungo mbalimbali
  2. Wanafunzi kufanyiana tathmini
  3. Potfolio
  4. Shajara
  5. Mijadala kuhusu vidokezo vya insha

4

Sarufi

Ukanushaji wa maneno na sentensi: Viambishi vya nafsi na wakati katika sentensi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vya wakati na nafsi katika sentensi
  2. kukanusha viambishi vya nafsi na wakati katika maneno na sentensi kwa usahihi
  3. kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya nafsi na wakati na kuzikanusha
  4. kufurahia ukanushaji wa viambishi vya nafsi na wakati katika sentensi
  1. Viambishi vya nafsi katika vitenzi ni vipi?
  2. Viambishi vya wakatikatika vitenzi ni vipi?
  3. Unatumia viambishi gani wakati wa kukanusha vitenzi?

Mwanafunzi:

  • Atambue viambishi vya nafsi (ni, tu, u, m, a, wa) na vya wakati (li, na, ta) katika vitenzi kwa kuvipigia mistari kwenye vitabu au kuvikolezea wino kwenye tarakilishi
  • Atambue viambishi vya wakati li, na, ta katika hali yakinishi na ku, ta, si, ha, katikahali kanushi

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

8

1

Ukanushaji wa maneno na sentensi: Viambishi vya nafsi na wakati katika sentensi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vya wakati na nafsi katika sentensi
  2. kukanusha viambishi vya nafsi na wakati katika maneno na sentensi kwa usahihi
  3. kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya nafsi na wakati na kuzikanusha
  4. kufurahia ukanushaji wa viambishi vya nafsi na wakati katika sentensi
  1. Viambishi vya nafsi katika vitenzi ni vipi?
  2. Viambishi vya wakatikatika vitenzi ni vipi?
  3. Unatumia viambishi gani wakati wa kukanusha vitenzi?
  • asome sentense zenye viambishi lengwa kwenye vitabu au tarakilishi katika hali yakinishi na kanushi
  • akanushe maneno na sentensi akizingatia nafsi na nyakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi
  • asikilize au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi na wakati kupitia vyombo vya kidijitali

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

2

Ukanushaji wa maneno na sentensi: Viambishi vya nafsi na wakati katika sentensi

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua viambishi vya wakati na nafsi katika sentensi
  2. kukanusha viambishi vya nafsi na wakati katika maneno na sentensi kwa usahihi
  3. kutunga sentensi sahihi zenye viambishi vya nafsi na wakati na kuzikanusha
  4. kufurahia ukanushaji wa viambishi vya nafsi na wakati katika sentensi
  1. Viambishi vya nafsi katika vitenzi ni vipi?
  2. Viambishi vya wakatikatika vitenzi ni vipi?
  3. Unatumia viambishi gani wakati wa kukanusha vitenzi?
  • asome sentensi zenye viambishi lengwa kwenye vitabu au tarakilishi katika hali yakinishi na kanushi
  • akanushe maneno na sentensi akizingatia nafsi na nyakati kwenye daftari au kwa kutumia tarakilishi
  • asikilize au kutazama vipindi vya ukanushaji wa nafsi na wakati kupitia vyombo vya kidijitali

Tarakilishi/vipakat

alishi Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

3

Ukubwa na udogo wa nomino: Nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi mbili

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi mbili
  2. kutambua nomino zinazoanza kwa herufi m- katika hali ya ukubwa na udogo
  3. Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano.
  1. Ni nomino gani unazoweza kutaja ukubwa wake?

Mwanafunzi:

  • Atambue nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja (k.m mtoto, mlango, mkate na mlima) kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu la maneno au kifaa cha kidijitali.
  • Atambue nomino zinazoanza kwa herufi m- na zenye mzizi wa silabi moja katika ukubwa na udogo (k.v. mtoto (toto- kitoto), mlango (lango - kilango), mkate (kate- kikate)
  • ashiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo.

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

4

Ukubwa na udogo wa nomino: Nomino zinazoanza kwa m- na zenye mzizi wa silabi mbili

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo
  2. kutumia nomino zinazoanza kwa herufi m- katika hali ya ukubwa na udogo kwenye sentensi
  3. Kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano.
  1. Ni nomino gani unazoweza kutaja ukubwa wake?
  • ashiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino na kingine kutaja ukubwa na udogo wa nomino hiyo.
  • Apewe orodha ya nomino katika hali ya ukubwa na orodha nyingine ya nomino katika hali ya udogo kwenye tarakilishi ili aziburure kuziambatanisha.
  • atunge sentense zinazorejelea nomino lengwa katika ukubwa na udogo akiwa peke yake au kwenye vikundi.

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

9

1

Ukubwa na udogo wa nomino: Ukubwa na udogo wa nomino zinazoanza kwa herufi n

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kutambua nomino zinazoanza kwa herufi n- ili
  2. kuzitofautisha na nonimo nyingine
  3. kutambua nomino zinazoanza kwa herufi n- katika hali ya ukubwa na udogo
  4. kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa na
  5. udogo kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano
  1. Ni nomino gani unazoweza kutaja udogo wake?

Mwanafunzi:

  • Atambue nomino zinazoanza kwa herufi n- kwenye chati, ubao, mti maneno, kapu la maneno au kifaa cha kidijitali.
  • Ashiriki katika vikundi kubadilisha nomino kutoka hali ya wastani hadi hali ya ukubwa na udogo.

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno

Mti maneno Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

2

Ukubwa na udogo wa nomino: Ukubwa na udogo wa nomino zinazoanza kwa herufi n

Kufikia mwisho wa mada ndogo, mwanafunzi aweze:

  1. kubadilisha nomino katika hali wastani kuwa katika hali ya ukubwa na udogo
  2. kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwenye sentensi
  3. kufurahia kutumia nomino katika hali ya ukubwa na udogo kwa usahihi ili kuimarisha mawasiliano
  1. Ni nomino gani unazoweza kutaja udogo wake?
  • ashiriki katika mchezo wa vikundi ambapo kikundi kimoja kitataja wastani wa nomino, kingine ukubwa na kingine kutaja udogo wa nomino hiyo.
  • apewe orodha ya nomino katika hali ya ukubwa na orodha nyingine ya nomino katika hali ya udogokwenye tarakilishi ili aziburure kuziambatanisha.
  • atunge sentensi zinazorejelea nomino lengwa katika ukubwa na udogo akiwa peke yake au kwenye vikundi

Tarakilishi/vipakat alishi

Kinasasauti Rununu projekta Kapu maneno Mti maneno

Kadi za maneno Picha za vitu mbalimbali Michoro

Chati Mabango

  1. Kutambua k.m. kwenye orodha
  2. Kuambatanisha maneno lengwa
  3. Kujaza mapengo
  4. Kazi mradi

3-4

Marudio

10

Mtihani

Read 553 times Last modified on Tuesday, 22 November 2022 09:18

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.