WIKI |
KIPINDI |
MADA |
MADA NDOGO |
MATOKEO MAALUM YANAYOTOKEA |
MASWALI DADISI |
MAPENDEKEZO YA SHUGLI ZA UFUNZAJI |
KAZI YA ZIADA |
NYEZO |
MAONI |
1 |
1 |
FAMILIA |
Kusikiliza na kuzungumza |
Kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku. |
Unaweza kusoma maneno yote katika hadithi? |
Mwanafunzi afinyange na aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni. Mwanafunzi aandike maneno yaliyo na herufi za sauti alizofunzwa kwa kunakili aliyoandika mwalimu. |
Mwalimu asikize mwanafunzi akisoma maneno yote katika sentensi. |
Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 Uk 53
|
|
|
2 |
KUSIKILIZ A NA KUZUNGUMZA |
Maneno ya heshima |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua maneno ya heshima katika familia kutumia maneno ya heshima katika mawasiliano |
Unapopewa zawadi unatakiwa kusema nini? Mwenzako anapojikwaa utamwambiaje? |
Wanafunzi waweza kuonyeshwa mchoro wa mtoto akipokea zawadi halafu wajadili neno linalofaa kutumiwa na anayepokea zawadi. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video inayoashiria matumizi ya maneno ya heshima k.m. Mtu akipokea zawadi au wageni wakimtembelea mgonjwa hospitalini. |
Mwalimu asikize mwanafunzi akitambua baadhi ya maneno ya heshima unayoyajua. |
Mwanafunzi Uk53-54 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
Maneno ya heshma |
kuambatanisha maneno ya heshima na hisia zifaazo katika mawasiliano kuthamini matumizi ya maneno ya heshima katika mawasiliano ya kila siku |
Unapoomba ruhusu kutoka kwa mwalimu unatumia neno gani? |
Mwanafunzi aweza kupewa ufafanuzi kuhusu maneno ya heshima kama vile asante. Wanafunzi waweza kushirikishwa katika kuigiza vitendo vya heshima. Mwanafunzi ahusishwe katika mjadala kuhusu umuhimu wa kutumia maneno ya heshima. |
Mwalimu asikize maneno ya heshima kutoka kwa mwanafunzi. |
Mwalimu Wanafunzi Uk 55 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
2 |
1 |
KUSOMA |
Hadithi |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati uliotumika katika hadithi kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu familia |
Unatakiwa kufanya nini unaposomewa hadithi? Unakumbuka nini katika hadithi uliyosomewa |
Mwanafunzi aweza kujadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi aweza kutabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi aweza kufuatilia hadithi ikisomwa na mwalimu, kisha asome pamoja na mwalimu na baadaye asome akiwa peke yake au wiwili wawili. |
Mwalimu asikilioze wanafunzi wakisoma hadithi. |
Wanafunzi Chati Uk 56 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
|
2 |
KUSOMA |
Hadithi |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma hadithi kuhusu familia darasani |
Unaweza kutabiri kitakachotokea katika hadithi? |
Mwanafunzi aweza kueleza maana na matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi ukiwemo msamiati wa familia kama vile baba, mama, kaka na dada |
Mwalimu asikize maoni ya wanafunzi kuhusu hadithi. |
Chati Uk56 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
KUSOMA |
hadithi |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuchangamkia kusikiliza hadithi kila siku. |
Kwa nini unapenda hadithi? |
Mwanafunzi asikilize hadithi ya mwalimu au iliyorekodiwa inayojumuisha matumizi ya maneno ya heshima. |
Mwalimu asikize maoni ya mwanafunzi akieleza kwa nini anapenda hadithi. |
Wanafunzi Uk 58 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
3 |
1 |
SARUFI |
Nafsi ya kwanza wakati uliopo |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua maneno na viambishi vinavyotumika kuonyesha nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi. |
Je, unatumia maneno gani kujirejelea na mkiwa wengi? |
Mwanafunzi aweza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika mawasiliano. Mwanafunzi aweza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi |
Mwalimu asikize mwanafunzi akitambua maneno ya viambishi anayojua. |
Mwanafunzi ChATI Uk59-60 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
2 |
SARUFI |
Nafsi ya kwanza wakati uliopo |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma vifungu vya maneno vinavyoashiria nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi |
Je unaweza kusoma kifungu chochote? |
Manafunzi aweza kusoma sentensi zinazojumuisha matumizi ya nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi. |
Mwalimu Soma kifungu kisha uandike kifungu upya kwa hati nadhifu. |
Mwanafunzi Uk 60-61 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
SARUFI |
Nafsi ya kwanza wakati uliopo |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika sentensi kuandika vifungu vya maneno vinavyoashiria nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi |
Je unaeza andika vifungu vya maneno vinavyoashiria nafsi? |
Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwa kutumia maneno na viambishi vinavyowakilisha nafsi ya kwanza na wakati uliopo kama vile mimi
|
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitumia nafsi ya kwanza katika wakati uliopo kutunga sentensi. |
Mwanafunzi Tarakilishi Uk 59 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
4 |
1 |
SARUFI |
Nafsi ya kwanza wakati uliopo |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kufurahia kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika mawasiliano. |
Je unaeza kutumia nafsi ya kwanza wakati uliopita kwa umoja na wingi? |
Wanafunzi waweze kuigiza nafsi ya kwanza wakati uliopo hali ya umoja na wingi katika vikundi kwa kutumia vifungu |
Mwalimu atazame wanafunzi wakiandika wingi na umoja wa maneno uliyopewa. |
Chati Tarakilishi Uk 60-61 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
2 |
MWILI WANGU |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha mazungumzo |
Je unaeza kutamka sauti nne za herufi moja? |
. Mwanafunzi asikilize mwalimu anapotamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili au kama darasa |
Mwalimu aanaglie wanafunzi wakitaja na uandike sauti nne za herufi moja. |
Wanafunzi Tarakilishi Uk 62 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
MWILI WANGU |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno |
Je unaeza tambua sauti zozozte za herufi moja? |
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti. Mwanafunzi atambue herufi inayowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi. |
Mwalimu aangalie mwanafunzi akiandika sauti zozote za hetrufi moja. |
Wanafunzi Tarakilishi Uk 63 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
5 |
1 |
MWILI WANGU |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kutambua majina ya herufi zinazowakilish a sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Je unaeza tambua majina ya sauti lengwa?
|
Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa |
Mwalimu asikize majina ya sauti lengwa. |
Wanafunzi Tarakilishi Uk 63-64 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
2 |
MWILI WANGU |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma |
Je unaeza soma maneno kwa kutumia silabi? |
Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa |
Mwalimu asikize mwanafunzi akisoma. |
Wanafunzi Tarakilishi Uk65-66 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
MWILI WANGU |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa ili kujenga stadi ya kusoma |
Je unaeza soma vifungu vya maneno? |
Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi na kuchanganua yaliyo marefu zaidi. |
Mwalimu asikize mwanafunzi akisoma vifungu vya maneno. |
Wanafunzi Tarakilishi Uk 67 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
6 |
1 |
MWILI WANGU |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuandika maumbo ya herufi zinazowakilish a sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya Kuandika |
Je unaeza Kuandika maumbo kwa sauti zinazowakilisha sarifi? |
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili. Mwanafunzi asikilize Wanafunzi tarakilishi na kusoma hadithi kupitia vifaa |
Mwalimu aangalie mwanafunzi akichora umbo. |
Wanafunzi Tarakilishi Uk 68 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
2 |
MWILI WANGU |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti zilizofunzwa katika mawasiliano ya kila siku. |
Unaeza sema maneno yanayojumuisha sarufi? |
Mwanafunzi aandike maneno yaliyo na herufi za sauti alizofunzwa kwa kunakili aliyoandika mwalimu |
Mwalimu aangalie mwanafunzi akiandika maneno yaliyo katika uk 68. |
Wanafunzi Tarakilishi Uki 69 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
Msamiati |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua sehemu za mwili katika mawasiliano kutumia majina ya sehemu za mwili katika kutunga sentensi |
Je unaeza tambua sehemu za mwili katika, mawasiliano? |
Mwanafunzi aambanitishe kadi za maneno na sehemu za mwili za nje. Mwanafunzi aweza kuonyeshwa video kuhusu sehemu za mwili za nje |
Mwalimu aangalie mwanafunzi akimuonyesha sehemu za mwili. |
Wanafunzi Tarakilishi Uk 69 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
7 |
1 |
KUSIKILIZA NA KUZUNGUMZA |
Msamiati |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuandika majina ya sehemu za mwili katika kuimarisha stadi ya kuandika kuchangamkia utunzaji wa sehemu za mwili katika kuimarisha afya |
Je unaeza Kuandika majina ya sehemu za mwili? |
Mwanafunzi aweza kushirikishwa katika kuimba nyimbo na Wanafunzi tarakilishi kukariri mashairi yanayohusu sehemu za mwili za nje |
Andika majina ya sehemu za mwili. |
Wanafunzi Tarakilishi Uk 71-72 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
2 |
KUSIKILIZ A NA KUZUNGUMZA |
masimulizi |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua sehemu za mwili katika mawasiliano kueleza matumizi ya sehemu za mwili ili kuthamini mwili wake |
Je, ni sehemu gani za mwili unazoweza kutaja katika umoja na wingi? |
Mwanafunzi ataje sehemu za mwili za nje. Mwanafunzi achore picha za sehemu mbalimbali za mwili za nje. Wanafunzi wajadili sehemu za mwili za nje na umuhimu wake katika vikundi. |
Mwalimu asikize mwanafunzi akitaja sehemu za mwili za nje. |
Wanafunzi Uk71 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1
|
|
|
3 |
KUSIKILIZ A NA KUZUNGUMZA |
masimulizi |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusimulia visa kuhusu sehemu za mwili katika kujenga stadi ya kuzungumza kuthamini sehemu za mwili wake maishani. |
Ni sehemu ipi ya mwili ya nje iliyo muhimu zaidi? |
Mwanafunzi atoe maelezo kuhusu sehemu za mwili za nje. Mwanafunzi azungumzie sehemu zake za mwili za nje. Mwanafunzi aweza kuimba nyimbo na kukariri mashairi mepesi kuhusu sehemu za mwili za nje |
Mwalimu asikize umuhimu wa sehemu za mwili kutoka kwa mwanafunzi. |
Wanafunzi Uk 72-73 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
8 |
1 |
SARUFI |
Umoja na wingi wa majina |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua majina ya sehemu za mwili katika umoja na wingi ili kuimarisha mawasiliano kutumia majina ya sehemu za mwili kwenye sentensi katika umoja na wingi ili kuimarisha mawasiliano |
Je, ni sehemu gani za mwili unazoweza kutaja katika umoja na wingi? |
Mwanafunzi atunge sentensi kwa kurejelea sehemu za mwili katika umoja na wingi. Mwanafunzi asome sentensi zinazorejelea sehemu za mwili katika umoja na wingi. |
Mwalimu asahihishe kazi ya mwanafunzi. |
Wanafunzi Uk 74-75 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
2 |
SARUFI |
Umoja na wingi wa majina |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma sentensi zinazojumuish a sehemu za mwili katika umoja na wingi ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Unaeza tunga sentensi kuhusu sehemu za mwili? |
Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwa kutumia majina ya sehemu za mwili katika umoja na wingi. Mwanafunzi aweza kunakili sentensi katika umoja na wingi. |
Mwalimu aweze kusahihisha kazi ya mwanafunzi. |
Wanafunzi Uk 76-77 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
USAFI WA MWILI |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha mazungumzo |
Unaeza tamka sauti nne za herufi moja? |
Mwanafunzi atambue sauti /w/, /e/, /i/ na /h/ katika maneno. Mwanafunzi amsikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili wawili wawili na kama darasa. |
Mwalimu aweze kusikiza mwanafunzi akitamka sauti nne pamoja. |
Wanafunzi Uk 77 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
9 |
1 |
USAFI WA MWILI |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno ili kuimarisha mazungumzo |
Unaeza tambua herufi moja zilizofunzwa katika maneno mapya? |
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kusikiliza matamshi ya sauti lengwa. |
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitambua herufi moja zinazounda maneno. |
Wanafunzi Uk 78-79 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
2 |
USAFI WA MWILI |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kutambua majina ya herufi zinazowakilish a sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Je unaeza tambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa? |
Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi. Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa. |
Mwalimu asikilize mwanafunzi akisoma. |
Tarakilishi Uk 79 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
USAFI WA MWILI |
kusoma |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma |
Unaeza taja sauti moja katika stadi ya kusoma? |
Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno. |
Soma sentensi katika uk 80 huku ukiziandika katika daftari yako. |
Wanafunzi Uk 80 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
10 |
1 |
USAFI WA MWILI |
Kuandika |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma |
Unaeza soma maneno kwa kutumia silabi? |
Wanafunzi waweza kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. |
Mwalimu atazame mwanafunzi akiFanya zoezi nambari tatu uk 81
|
Tarakilishi Uk 81-82-83 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
2 |
USAFI WA MWILI |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuandika maumbo ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kuandika |
Unaeza Kuandika maumbo ya herufi zinazowakilisha sarufi? |
Wanafunzi waweza kusoma hadithi zilizo na maneno yaliyobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili |
Mwalimu atazame mwanafunzi akifanya zoezi nambari 1 na 2 katika uk 83 |
Wanafunzi Uk 83 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
3 |
USAFI WA MWILI |
Msamiati |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati wa usafi wa mwili katika kujenga msamiati kwa mawasiliano kutambua sehemu za mwili zinazopaswa kuangaziwa zaidi katika usafi katika kuimarisha mazungumzo |
Je unaeza kusema maneno ya usafi? Je, ni sehemu zipi za mwili zinazopaswa kuangaziwa zaidi katika usafi? |
Mwanafunzi atumie msamiati uliyofunzwa katika sentensi sahihi. Mwanafunzi aandike maneno yaliyofunzwa Mwanafunzi aweza kupewa kadi za maneno asome Mwanafunzi asimuliwe hadithi kuhusu usafi kisha ashiriki katika mjadala kuhusu usafi wa mwili.
|
Mwalimu atazame mwanafunzi akitaja na uandika baadhi ya maneno ya usafi unayoyajua. |
Wanafunzi Uk 85 -86 Kiswahili dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
11 |
TATHMINI NA KUFUNGA SHULE |
Kiswahili Schemes - Grade 1 Schemes of Work Term 2 2023
Published in
Grade 1 Schemes of Work Term 2 2023
Tagged under
Leave a comment
Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.