WIKI |
KIPINDI |
MADA |
MADA NDOGO |
MATOKEO MAALUM YANAYOTOKEA |
MASWALI DADISI |
MAPENDEKEZO YA SHUGLI ZA UFUNZAJI |
KAZI YA ZIADA |
NYEZO |
MAONI |
1 |
Kwanza |
Kusoma: |
Hadithi |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi ili kuimarisha mawasilian |
Je, ni nini maana ya usafi gani? |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi athibitishe utabiri wake baada ya kusoma na kusomewa hadithi. |
Mwalimu asikize sentensi za wanafunzi wanapotunga. |
Wanafunzi Uk 91 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Pili |
Kusoma: |
hadithi |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma |
Je, ni matayarisho yapi unayofanya kabla ya kuja shuleni? |
Mwanafunzi asome hadithi baada ya mwalimu, kisha pamoja na mwalimu na baadaye akiwa peke yake au wawili wawili |
Fanya zoezi la kwanza ukurasa 93 |
Tarakilishi Uk 92-93 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Tatu |
Kusoma: |
hadithi |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma hadithi zinazohusu usafi wa mwili katika kujenga stadi ya kusoma |
Unafikiri ni nini kitakachotokea katika hadithi hii? |
Mwanafunzi aeleze maana na matumizi ya msamiati uliotumika kwenye hadithi |
Mwalimu asahihishe zoezi la mwanafunzi. |
Wanafunzi Uk 93 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
2 |
Kwanza |
Sarufi: |
Matumizi ya huyu na hawa |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua matumizi ya huyu na hawa katika mawasiliano kusoma sentensi zinazojumuisha huyu na hawa ili kuimarisha mawasiliano |
Je, unajua ni kwa nini tunatumia huyu na hawa |
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya huyu na hawa k.m. Huyu anakata kucha - Hawa wanakata kucha; Huyu anachana nywele - Hawa wanachana nywele. Mwanafunzi aandike sentensi zinazojumuisha matumizi ya huyu na hawa |
Mwalimu asikize wanafunzi wakisoma. |
Tarakilishi Uk94 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Pili |
Sarufi: |
Matumizi ya huyu na hawa |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuandika sentensi kwa kutumia huyu na hawa katika kuimarisha stadi ya kuandika kuthamini utunzi wa sentensi sanifu katika mawasiliano. |
Je, utatumia neno lipi kuonyesha kwamba mtu ni mmoja? Watu wakiwa wengi unaonyesha vipi? |
Mwanafunzi aweza kujaza mapengo kwenye tarakilishi kupitia mchezo wa kuburura na kutia kapuni. |
Mwalimu asikize majibu wa mwanafunzi kuhusu maswali aliyowapa. |
Uk 95-96 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 Wanafuzi |
|
|
Tatu |
Vyakula vya kiasilia |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutamka sauti nne za herufi moja katika kuimarisha stadi ya kuzungumza |
Ni sauti zipi unazoweza kutamka? |
Mwanafunzi atambue sauti lengwa /s/, /b/, /y/ na /z/ katika maneno. Mwanafunzi asikilize mwalimu akitamka sauti lengwa, kisha atamke pamoja na mwalimu na mwishowe atamke akiwa peke yake, wawili na kama darasa. |
Mwalimu asikize sauti ambazo mwanafunzi anaweza tamka. |
Wanafunzi Uk97-98 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 Wanafunzi |
|
3 |
Kwanza |
Vyakula vya kiasilia |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kutambua sauti za herufi moja zilizofunzwa katika maneno katika kuimarisha stadi ya kuzungumza |
Unajua kusoma herufi na maneno yapi? |
Mwanafunzi atumie teknolojia (papaya) kutamkia sauti. Mwanafunzi atambue herufi zinazowakilisha sauti lengwa kwa kutumia kadi za herufi |
Mwalimu asikilize mwanafunzi akisoma. |
Wanafunzi Uk 98 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Pili |
Vyakula vya kiasilia |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kutambua majina ya herufi zinazowakilisha sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Unajua kusoma herufi na maneno yapi? |
Mwanafunzi aambatanishe silabi kusoma maneno yanayotokana na sauti lengwa. Mwanafunzi atenganishe silabi katika kutambua sehemu mbalimbali za maneno. |
Mwalimu atazame mwanafunzi akisoma silabi katika uk 99 kisha utunge maneno. |
Wanafunzi Uk 98-99 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Tatu |
Vyakula vya kiasilia |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma herufi za sauti moja katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Unajua kusoma herufi na maneno yapi? |
Wanafunzi waweza kushirikishwa kusikiliza mgeni mwalikwa mwenye umahiri wa kutamka sauti lengwa. Mwanafunzi aweza kufinyanga maumbo ya herufi inayowakilisha sauti iliyofunzwa. |
Mwalimu aanaglie mwanafunzi akifanya zoezi. |
Wanafunzi Uk99-100 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
4 |
Kwanza |
Vyakula vya kiasilia |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma maneno kwa kutumia silabi zinazotokana na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Unajua kuandika herufi na maneno yapi? |
Mwanafunzi aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni. |
Mwalimu atazame mwanafunzi akiandika maneno. |
Wanafunzi Uk 101 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Pili |
Vyakula vya kiasilia |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusoma vifungu vilivyo na maneno yaliyo na sauti lengwa katika kuimarisha stadi ya kusoma |
Unajua kuandika herufi na maneno yapi? |
Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kwa kugawa maneno marefu katika sehemu ndogo ndogo ili kuyasoma kwa urahisi. |
Mwalimu aangalie mwanafunzi anapoandika herufi anazojua. |
Tarakilishi Uk 102 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Tatu |
Vyakula vya kiasilia |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuandika maumbo ya herufi yanayowakilisha sauti lengwa |
Unajua kuandika herufi na maneno yapi? |
Mwanafunzi aandike maumbo ya herufi za sauti alizosoma hewani na vitabuni |
Mwalimu atazame maumbo ambayo mwanafunzi anachora. |
Wanafunzi Uk103 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
5 |
Kwanza |
Vyakula vya kiasilia |
Sauti na majina ya herufi za Kiswahili |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuchangamkia kutumia maneno yanayojumuisha sauti lengwa katika mawasiliano ya kila siku. |
Unajua kuandika herufi na maneno yapi? |
Wanafunzi wasome hadithi zilizo na maneno yanayobeba sauti lengwa kama darasa au wawili wawili |
Mwalimu atazame kazi ambayo mwanafunzi anachora. |
Wanafunzi Uk103 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Pili |
Msamiati |
Msamiati |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua vyakula vya kiasili ili kuimarisha lishe bora kusoma majina ya vyakula mbalimbali ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Unapenda waweza kutaja chakula kipi? |
Mwanafunzi atambue vyakula mbalimbali vya kiasili kwa kutumia vyakula halisi, picha na michoro kama vile mihogo, viazi, mahindi, maharagwe, mboga na matunda. Mwanafunzi atumie msamiati aliyofunzwa kutunga sentensi. |
Mwalimu asahihishe sentensi ambazo mwanafunzi anaandika. |
Wanafunzi Uk 104 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
tatu |
Msamiati |
Msamiati |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kuandika majina ya vyakula katika kuimarisha stadi ya Kuandika kutumia majina ya vyakula katika sentensi sahihi |
Vyakula vipi hukuzwa shambani? |
Mwanafunzi aweza kupewa kadi za majina ya vyakula vya kiasili asome kwa sauti. Wanafunzi waweza kuambatanisha majina ya vyakula halisi au michoro na majina yavyo. |
Mwalimu asikize baadhi ya chakula vinazokuzwa shambani. |
Wanafunzi Uk 105-106 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
6 |
kwanza |
Kusikiliza na Kuzungu mza |
Masimulizi |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kusikiliza masimulizi kuhusu vyakula vya kiasili katika kuimarisha stadi ya kusikiliza |
Kwa nini tunakula chakula? |
Mwanafunzi asimulie hadithi kuhusu vyakula vya kiasili. Wanafunzi wajadiliane kuhusu umuhimu wa vyakula vya kiasili. Wanafunzi wasimuliane visa kuhusu vyakula vya kiasili.wanafunzi |
Mwalimu asikilize mwanafunzi akieleza umuhimu wa chakula. |
Tarakilishi Uk 107 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Pili |
Kusikiliza na Kuzungu mza |
Masimulizi |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kufahamu masimulizi aliyosikiliza katika kuimarisha stadi ya kusikiliza kufurahia vyakula vya kiasili katika maisha ya kila siku. |
Je, umuhimu wa vyakula vya kiasili ni upi? |
Mwanafunzi aweza kuhusishwa katika kuimba nyimbo na kukariri mashairi kuhusu vyakula vya kiasili. Mwanafunzi aweza kusikiliza nyimbo na mashairi yaliyorekodiwa kwenye vifaa vya kiteknolojia kuhusu vyakula vya kiasili. |
Mwalimu atazame mwanafunzi akifanya zoezi. |
Tarakilishi Uk107-108 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
tatu |
Kusoma: |
Hadithi |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua msamiati uliotumiwa katika hadithi aliyosoma au kusomewa ili kuimarisha mawasiliano |
Je, unaona nini katika picha? |
Mwanafunzi ajadili picha zilizojumuishwa kwenye hadithi. Mwanafunzi atabiri kitakachotokea kwenye hadithi. Mwanafunzi afahamu matumizi ya msamiati uliotumika kwenywae hadithi.wanafunzi |
Mwalimu asikize mwanafunzi akisimulia kis a chochote. |
Wanafunzi Uk 110 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
7 |
Kwanza |
Kusoma: |
Hadithi |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kusikiliza hadithi zikisomwa na mwalimu kuhusu vyakula vya kiasili ili kuimarisha stadi ya kusoma |
Unadhani ni nini kitakachotokea katika hadithi |
Mwanafunzi asikilize mwalimu anaposoma hadithi, asome pamoja na mwalimu kisha asome peke yake, wawili wawili au katika vikundi. |
Mwalimu asikize mwanafunzi akisoma hadithi. |
Wanafunzi Uk 110-111 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
Pili |
kusoma |
Hadithi |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kufurahia vyakula vya kiasili maishani. |
Unakumbuka hadithi gani uliyoisoma? |
Mwanafunzi asikilize hadithi ya mwalimu au hadithi iliyorekodiwa kuhusu vyakula vya kiasili. |
Mwalimu asahihishe kazi ya mwanafunzi. |
Tarakilishi Uk112 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
|
tatu |
Sarufi |
Matumizi na –angu na –etu |
Kufikia mwisho wa mada, mwanafunzi aweze: kutambua matumizi ya –angu na – etu katika mawasiliano kutumia –angu na – etu katika sentensi ili kuimarisha mawasiliano |
Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu? |
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na –etu. Mwanafunzi aandike sentensi zenye kuhusisha-angu na –etu. |
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitunga sentensi. |
Wanafunzi Uk 113 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
8 |
Kwanza |
Sarufi |
Matumizi na – angu na –etu |
Kufikia mwisho wa mada mwanafunzi aweze kufurahia kutumia –angu na –etu katika mawasiliano. |
Je, ni maneno gani tunayotumia kuonyesha kuwa kitu ni chako au ni chenu? |
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ya -angu na –etu. Mwanafunzi aandike sentensi zenye kuhusisha -angu na –etu. |
Mwalimu asikilize mwanafunzi akitumia angu na etu katika kutunga sentensi. |
Tarakilishi 114-15 Oxford Kiswahili Dadisi mazoezi ya lugha gredi 1 |
|
9 |
marudio |
Kiswahili Schemes - Grade 1 Schemes of Work Term 3 2023
Published in
Grade 1 Schemes of Work Term 3 2023
Tagged under
Leave a comment
Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.