|
JUMA |
KIPINDI |
MADA |
MADA NDOGO |
MATOKEO MAALUMU YANAYOTARAJIWA |
MASWALI DADISI |
MAPENDEKEZO YA SHUGHULI ZA UFUNZAJI |
NYENZO |
TATHMINI |
|
|
1 |
1-2 |
Shuleni |
Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili Kusikilizana na kuogea |
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze kutamka sauti nne za herufi moja ili kuimarisha mazungumzo |
Je? sauti zipi unazojua kutamka? |
Mwanafunzi aweze kutambua kutamka sauti g/d/d/na/ r katika maneno |
Kazi ya vikundi Charti iliyo na michoro ya vitu vinavyo patikana shuleni |
Maswali mepesi ya kauli |
|
|
|
3 |
Shuleni |
Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili Msamiati |
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze kutambua majina ya herufi moja iliyofunzwa katika kujenga stadi ya kusilizana |
Je? sauti ni sauti gani tuliyosoma jana? |
Mwanafunzi aweze kutambua sauti za herufi ambazo tulijifunza katika somo lililopita |
Charti Daftari na Kalamu |
Maswali mepesi ya kauli Zoezi |
|
|
2 |
1 |
Shuleni |
Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili Kuandika |
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze kutambua maina ya herufi sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusikiliza |
Je? Unaweza kutambua herufi gani katika sentensi? |
Mwanafunzi aweze kutumia teknolojia kuskiliza matamshi ya sauti lengwa |
Tarakilishi Charti |
Maswali mepesi ya kauli Zoezi madaftarini |
|
|
|
2 |
Shuleni |
Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili Kusoma |
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze; Kusoma herufi za sauti moja katika kujenga stadi ya kusoma |
Je,unajua kusoma herufi na maneno gani? |
Mwanafunzi asome herufi kwa sauti moja kadi za herufi |
Tarakilishi Charti za herufi Kadi za herufi |
Maswali mepesi ya kauli |
|
|
|
3
|
Shuleni
|
Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili
|
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze; Kusoma maneno kutumia silabi zinazotokana na herufi ili kujenga stadi ya kusoma |
Je,unajua kusoma herufi na maneno gani?
|
Mwanafunzi aambatanishe silabi ya kusoma maneno yanayotokana na herufi lengwa |
Charti za herufi Kadi za herufi
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
|
3 |
1 |
Shuleni |
Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili Kusoma |
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze; Kusoma maneno kutumia silabi zinazotokana na herufi ili kujenga stadi ya kusoma |
Je,waweza kusoma kusoma sautina maneno za Kiswahili? |
Mwanafunzi asome maneno kwa kutumia silabi au kwa kugawa maneno marefu |
Vitabu vya kusoma |
Maswali mepesi ya kauli Kuwatazama Wanafunzi wanaposoma |
|
|
|
2 |
Shuleni |
Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili Kuandika |
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze; Kuandika herufi zinazowakilishwa na sauti lengwa katika kujenga stadi ya kusoma |
Je,waweza kusoma kuandika sauti na maneno za Kiswahili? |
Mwanafunzi aweze kuandika maneno alizosoma |
Kadi za herufi Kalamu na daftari |
Maswali mepesi ya kauli Zoezi vitabuni |
|
|
|
3 |
Shuleni |
Sauti ya majina ya herufi ya Kiswahili |
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze; Kutumia maneno yanayojumulisha sauti zilizofunzwa ilikujenga |
Je,unajua herufi zipi? |
Mwanafunzi kutumia maneno ya kujumulisha sauti zilizofunzwa |
Charti za herufi Kadi za herufi |
Maswali mepesi ya kauli |
|
|
4 |
1 |
Shuleni |
Kusikilizana kuzungumuza maamkuzi ya nyakati za siku |
Kufika mwisho wa kipndi mwanzafunzi aweze; Kutambua maneno yanayotumiwa katika nyakati za siku ili kuimarisha stadi ya kusikilizana kuzungumza |
Tunaakuana vipi wakati wa asubuhi, mchana na jioni |
Mwanafunzi aigize maamziki ya nyakati za asubuhi, mchana na jioni |
Charti za kuonyesha maamziki ya nyakati Kadi za herufi mbalimbali |
Maswali mepesi ya kauli |
|
|
|
2 |
Shuleni |
Kusikilizana kuzungumuza maamkuzi ya nyakati |
mwanzafunzi aweze; Kutambua maneno yanayotumika katika maamkuzi ili kuuimarisha stadi ya kusoma |
Kwanini tunasalimiana |
Wanafunzi wasalimiane na kasha washirikishwe katika mjadala kuhusu maamkizi |
Kazi ya vikundi Vitabu vya kusoma |
Mjadala Maswali mepesi ya kauli |
|
|
|
3 |
Shuleni |
Msamiati |
mwanzafunzi aweze; Kutambua kwa kutaja msamiati wa shule katika kuimarisha lugha |
Je, unavifaa gani vya shuleni? |
Mwanafunzi aonyeshe vifaa halisi vinavyopatikana shuleni ili aweze kuchora |
Vifaa halisi kama bendera, dawati, darasa, ofisi, vyoo |
Maswali mepesi ya kauli |
|
|
5 |
1 |
Shuleni |
Msamiati |
mwanzafunzi aweze; kusoma maneno na sentensi zinazio jumlisha msamiati shuleni ili kuuimarisha stadi ya kusoma |
Taja vifaa mbalimbali vinavyo patikana shuleni na umuhimu wake |
Mwanafunzi msamiati wa shuleni katika kadi au charti na aandike majina ya vitu vinavyo patikana shuleni |
Vifaa halisi kama bendera, dawati, darasa, ofisi, Michoro vitabuni |
Maswali mepesi ya kauli |
|
|
|
2 |
Shuleni |
Msamiati |
mwanzafunzi aweze; kutaja msamiati wa shuleni katika kuimarisha umilisi wa lugha |
Je, unajua vifaa gani vya shuleni? |
Mwanafunzi aonyeshe vifaa halisi vinavyopatikana shuleni |
Kadi za michoro ya vitu vya shuleni |
Maswali mepesi ya kauli Kutizama kazi ya wnafunzi |
|
|
|
3 |
Shuleni |
Kusikilizana na kuzungumza masimulizi |
mwanzafunzi aweze; kutaja majina ya vitu vinavyo patikana shuleni ilikuimarisha stadi ya kuzungumuza na kusikiza |
Ni Vifaa vipi vinavyopatikana shuleni? |
Mwanafunzi asimulie kisa kuhusu shule zna kufafanua umuhimu wa vitu vinavyopatikana shuleni |
Vifaa halisi vinavyopatikana shuleni Michoro ya vitu shuleni |
Majadiliano Maswali Mepesi ya kauli |
|
|
6
|
1
|
Shuleni
|
Kusikilizana na kuzungumza masimulizi |
Mwanzafunzi aweze; kusikiliza kwa makini ili kuimarisha stadi za kuzungumza na pia aweze kusimulia kuhusu vitu mbali mbali vinavyopatikana shuleni ili kuimarisha stadi za kusikilizana |
Ni nani anayetumia vifaa vinavyopatikana shuleni? |
Mwanafunzi awze kushiriki katika wimbo na mashairi kuhusu vifaa vinavyopatikana shulenina pia atazame picha na michoro inavyoonyesha vifaa vinavyopatikana shuleni na wajadiliane katika vikundi |
Vifaa halisi vinavyopatikana shuleni Majadiliano kati ya wanafunzi na mwalimu Hadithi fupi |
Maswali Mepesi ya kauli |
|
|
|
2 |
Shuleni |
Kusoma hadithi |
Mwanzafunzi aweze;kutambua picha za vitu vinavyopatikana shuleni Katika kujenga stadi ya kusoma pia aweze kueleza picha katika hadithi ili kuimarisha stadi za kuszungumuza |
Unaona ninikatika picha? |
Mwanafunzi ajadili picha zinazojumulishwa kwenye hadithi Mwanafunzi atabiri kitakacho tokea |
Vitabu vya hadithi vifaa halisi vya shuleni |
Maswali mepesi ya kauli Majadiliano |
|
|
|
3 |
Shuleni |
Kusoma hadithi |
Kusikiliza hadithi ikisomwa na mwalimu kuhusu vitu vinavyopatikana shuleni ilikuimarisha umakinifu |
Nini knacho tendeka katika hadithi? |
Mwanafunzi Kumsikiliza mwalimu anaposoma kasha pamoja na mwalimu na baadaye asome pekee yake kwa sauti . Wanafunzi wasome wawili wawili au kwa vikundi |
Vitabu vya hadithi |
Maswali kauli Kutoka kwa hadithi |
|
|
7
|
1
|
Shuleni
|
Kusoma hadithi
|
Mwanafunzi aweze kusoma hadithi kuhusu shuli ilikuimarisha stadi ya kusoma na pia aweze kufahamu hadithi alisoma nakusomewa ilikupata mafunzo ya hadithi |
Ni nani wahusika katika hadithi?
|
Mwanafunzi aweze kusoma vitabu vya hadithi mbele ya darasa na pia aweze kuuliza na kujibu maswali yanayopatikana na ufahamu |
Vitabu vya hadithi
|
Maswali mepesi ya kauli
|
|
|
|
2 |
Shuleni |
Msamiati nambari 11-50 |
Mwanafunzi aweze kutambua nambari 11-50 kwa maneno ilikuimarisha mawasiliano |
Ni nambari gani ambazo zipo jati ya 11-50? |
Mwanafunzi aweze kutambua nambari 11-50 kwa maneno |
Kadi za nambari na majina ya nambari hizo |
Maswali mepesi ya kauli Zoezi |
|
|
|
3 |
Shuleni |
Kusoma nambari 11-50 |
Mwanafunzi aweze kutambua nambari 11-50 kwa maneno ilikuimarisha stadi ya kusoma |
Je waweza kusoma nambari 11-50? |
Wanafunzi wasome kadi za nambari 11-50 na aweze kutunga sentensi ya nambari 11-50 |
Kadi za nambari Majina yake |
Maswali mepesi ya kauli Zoezi |
|
|
8 |
1-3 |
Msami ati |
Kuandika nambari |
Mwanafunzi aweze kuandika nambari 11-50 kwa maneno ilikujenga stadi ya kuandika pia awezekutumia nambari 11-50 kwa maneno ilikuimarisha mazungumuzo yake |
Je waweza kutumia nambari 11-50 katika sentensi? |
Mwanafunzi aweze kuandika nambari 11-50 kwa maneno pia atunge sentensi akitumia majina ya nambari 11-50 |
Kadi za nambari Daftari na kalamu |
Maswali mepesi ya kauli Zoezi |
|
|
9 |
1-3
|
Sarufi
|
Matumizi ya ako na enu |
Mwanafunzi aweze kutambua Matumizi ya ako na enu katika mawasiliano na pia aweze kusoma sentensi zinazojumulisha - ako na -enu katika kujenga stadi ya kusoma |
Je ni maneno gani unawaweza kutumia kuonyesha kitu nicha nani |
Mwanafunzi atunge sentensi zenye matumizi ako na –enu na pia kutumia sentensi zinazojumulisha ako na -enu |
Kazi ya vikundi
|
Kuchumguza jinsi wanafunzi wanavyotumi a ako na – enu katika sentensi |
|
10 |
1-3 |
Haki Zangu |
Msamiati “kusoma” |
Mwanafunzi aweze kusoma msamiati kuhusu haki za watoto ili kuimarisha stadi za kusoma |
Ni msamiati gani za haki za watoto unazoweza kutumia katika sentensi |
Mwanafunzi ajadiline na wenzake kuhusu maana ya msamiati kuhusu haki za watoto |
Kazi ya vikundi |
Kuuliza maswali kuhusu haki za watoto Kuwachungu za wanafunzi wanavyojadili ana |
||
11 |
1-3 |
Haki Zangu |
Msamiati “kuandika” |
Mwanafunzi kutunga sentensi akitumia msamiati wa haki za watoto kuandika sentensi akitumia msamiati wa haki za watoto kuimarisha stadi za kuandika |
Ni haki gani za watooto unazozijua? |
Mwanafunzi aandike msamiati Mwanafunzi atunge senensi kwa kutumia haki za watoto |
Nyimbo na Mashairi kuhusu usafi wa mwili Kazi ya vikundi |
Maswali mepesi kuhusu haki za watoto |
||
12 |
1 |
Haki Zangu |
Kusikilizana na Kuzungumuz a “Masimulizi” |
Mwanafunzi kutaja haki zake ilikuimarisha ujuzi na masuala yanayomwatjiri pia aweza kelelza umuhimu wa haki za watoto ili kuteteta haki zake zinapokaukiwa |
Je unazijua haki zako? |
Mwanafunzi ataje haki za watoto Wanafunzi wjadili michoro kwnye chato au pcha zinazozingatia haki za watoto |
Vitabu vya hadithi kuhusu haki za watoto |
Kuwachungu za wanafunzi wanavyojadili maswali |
||
|
3
|
Haki Zangu
|
Kusoma hadithi
|
Mwanafunzi aweze kutambua picha kuhusu haki za watoto ilikufahamu hadithi vizuri na pia kufahamu hadithi za mwalimu kuhusu haki za watoto katika kuimarisha stadi za kusikiza na kusoma |
Ni maswali yapi uliyojifunza katika hadithi uliyosoma? |
Mwanafunzi ataje haki za watoto Mwanafunzi ajadili picha zinazojumulishw a kwwenye hadithi pia atabiri kile ambacho kitakacho tokea katika hadithi |
Vitabu vya hadithi kuhusu haki za watoto
|
Kuwachungu za wanafunzi wanavyojadili maswali Maswali mepesi ya kauli |
||
13 |
1-2 |
Haki Zangu |
Kusoma hadithi |
Mwanafunzi aweze kusoma hadithi kuhusu haki za watoti ya kuimarisha stadi za kusoma na pia aweze kufahamu hadithi aliyosomewa kupata mafunzo yanayolengwa ya hadithi |
Ni haki gani zimezingatiwa katika hadithi? |
Mwanafunzi atabiri kile ambacho kitakacho tokea katika hadithi adhihirishe ufahamu wa matumizi ya haki za watoto |
Daftari na kalamu |
Maswali mepesi ya kauli Zoezi |
||
|
3 |
Haki Zangu |
Sarufi matumizi ya vizuri na vibaya |
Mwanafunzi aweze kutambua matumizi yafaayo matumizi ya vizuri na vibaya katika mawasilianopia aweze kutumia vizuri na vibaya katika sentensi sahihi ili kuimarisha mawasiliano |
Utatumia maneno yapi kueleza jinsi mtu alivyofanya jambo? |
Mwanafunzi arejele vitendo mbalimbali kwa kutumia vizuri na vibaya kwa mfano: Mwanafunzi amesoma vizuri; Mtoto anacheza vibaya |
Kazi ya Vikundi |
Kuwachungu za wanafunzi wanavyotumia Kuwachungu za wanafunzi wanavyojadili maswali katika sentensi |
||
14
|
1-3
|
Haki Zangu
|
Sarufi matumizi ya vizuri na vibaya “Kuandika”
|
Mwanafunzi aweze kusoma na kuandika sentensi zinzajumulisha vizuri na vibaya ilikuiarisha uandishi mwafaka
|
Utatumia maneno yapi kueleza vile unavyofanya jambo?
|
Mwanafunzi Arejele vitendo mbalimbali kwa kutumia vizuri na vibaya kwa mfano: Mwanafunzi afanye zoezi zinazojumulisha vizuri na vibaya Madaftarini mwao |
Daftari na kalamu
|
Maswali mepesi ya kauli Zoezi
|
Kiswahili Schemes - Grade 2 Schemes of Work Term 1 2023
Published in
Grade 2 Schemes of Work Term 1 2023
Tagged under
Leave a comment
Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.