INSHA
- Lazima
- Hii ni insha ya mahojiano.
- Mwanafunzi ajitambulishe(ajipe jina) na atambulishe mkurugenzi.
- Mahonjiano yanapoanza yaonyeshe yalikuwa yamepangwa
- Mtindo ni wa kitamthilia.
- Hii ni insha ya methali.
- Kisa kionyeshe mhusika aliyepuuza ushauri wa mara kwa mara kisha akaathirika mwishowe.
-
- Swali hili ni la kutoa hoja zilizofafanuliwa.
- Halina pande mbili.
- Hoja za kupendekeza – ziwe kati ya 6-8 kutegemea hati ya mwanafunzi
Hoja- Kuongezwa idadi ya askari- mafunzo yanatolewa kila mwaka, askari hufuzu kila mwaka.
- Kutolewa ahadi za zawadi kwa wanaoripoti wahalifu.
- Msamaha kutolewa kwa wahalifu wanaotubu/wanaobadilisha tabia.
- Kuanzishwa kwa mpango wa nyumba kumi vijijini.
- Kutolewa kwa nambari za dharura za polisi(hotlines) kwa wananchi.
- Kutoa mafunzo ya kuimarisha uhusiano kati ya wananchi na polisi/askari.
- Kamera za siri majijini na kwenye barabara.
- Adhabu kali kwa wahalifu wanaokamatwa.
- Hii ni insha ya mdokezo tamatishi.
- Insha iishie kwa maneno haya. Asiongeze neno lolote mwishoni. Akiongeza amejitungia swali- atuzwe 01. Atumie nafsi ya kwanza.
- Kisa kionyeshe
- hali ya aibu aliyoipitia
- hali ya mtamauko.
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download KISWAHILI KARATASI YA 1 Marking Scheme - 2017 MURANG'A MOCK EXAMINATION.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students