KISWAHILI
KARATASI YA KWANZA
KIDATO CHA NNE
MUHULA WA KWANZA
SAA 1¾
MAAGIZO
- Andika insha mbili.Insha ya kwanza ni ya lazima.
- Chagua insha nyingine moja kati ya hizo tatu zilizobakia
- Kila insha isipungue maneno 400
- Kila insha ina alama 20
- Mhariri wa jarida la shule yako ameamua kuchapisha habari kukuhusu.Andika tawasifu juu ya maisha yako tangu utotoni utakayomkabidhi mhariri huyo.
- Pendekeza njia za kukabiliana na ongezeko la visa vya utovu wa maadili miongoni mwa vijana katika jamii.
- Andika kisa kinachooana na methali``mchelea mwana kulia hulia mwenyewe’’
- Andika insha itakayokamilika kwa maneno haya.Mshtakiwa alimwangalia hakimu kwa macho ya huruma,kisha akamwangalia mkewe na wanawe akatamani kuwaomba msamaha lakini hukumu ilikuwa imetolewa.
MAAKIZI
MWONGOZO WA KUSAHIHISHI
-
- Hii ni insha ya tawasifu
- Lazima insha iwe na kichwa
- Insha iandikwe katika nafsi ya kwanza umoja na kwa lugha nathari
- Mtahiniwa aandike juu ya maisha yake tangu utotoni hadi wakati uliopo
- Insha iwe na mpangilio mzuri kimantiki
- Baadhi ya hoja
- Majina yake
- Tarehe na mahali pa kuzaliwa
- Maisha ya utotoni (kabla ya kuingia shule)
- Maisha katika shule ya msingi
- Maisha katika shule ya sekondari
- Tazama: Mtahini akadirie hoja za mtahiniwa
- Hii ni insha ya tawasifu
-
- Vijana hujihusisha na visa vingi vinavyo onyesha utovu wa maadili.mifano,ulevi,matumizi ya dawa za kulevya,ngono,uavyaji mimba, lugha chafu,wizi,kupigana n.k
- Mtahiniwa apendekeze njia za kukabiliana na uozo huo.
- Mtahiniwa apendekeze njia za kukabiliana na uozo huo.
- Baadhi ya hoja
- Vijana wapewe ushauri nasaha
- Wajihusishe na michezo
- Wapewe mafunzo ya dini
- Nafasi za ajira ziongezwe
- Wazazi wawajibike katika malezi ya wanawe
- Wazazi wawe mfano bora kwa vijana
- Taz.Mtahini akadirie hoja za mtahiniwa
- Vijana hujihusisha na visa vingi vinavyo onyesha utovu wa maadili.mifano,ulevi,matumizi ya dawa za kulevya,ngono,uavyaji mimba, lugha chafu,wizi,kupigana n.k
-
- Hii ni insha ya methali
- Maana ya methali;Mtu asiyetaka mwanawe alie huishia kulia yeye mwenyewe
- Methali hii huwanasihi wazazi wasichelee kuwadhibu watoto wao wanapokosea ili waishie kuwa na tabia na mienendo mizuri.
- Mtahiniwa atunge kisa ambacho kinalenga maana ya methali
- Mtahiniwa anaweza kueleza maana ya methali-si lazima
- Kisa kishughulikie pande zote mbili za methali.
- Hii ni insha ya methali
- Hii ni insha ya mdokezo
- Lazima insha ikamilike kwa mdokezo
TAZAMA: kwa viwango mbalimbali vya utuzaji tafadhali rejelea mwongozo wa kusahihisha mtihani wa pamoja wa kaunti ndogo ya Kirinyaga ya kati -2019
Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Form 4 Term 1 Opener Exams 2021.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students