Login
Remember
Register
EasyElimu Questions and Answers
Questions
Unanswered
Tags
Users
Ask a Question
Ask a Question
Chozi La Heri Questions and Answers
0
votes
1
answer
"poa sana siste,we ni mnoma. siku moja nitakuhelp hata mimi" eleza muktadha wa kauli hii 2,tambua sifa nne za msemaji 3,kwa kurejea riwaya nzima fafanua mbinu ya uandishi iliyojitokeza
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
2
answers
"Mwanangu ni vyema kujifunza kuishi na wenzake bila kujali tofauti za ukoo na nasaba"eleza muktadha wa kauli hii?2,fafanua sifa mbili za msemaji 3,eleza vile dhuluma mbalimbali zilivyowahini wanadhi haki zako
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
0
answers
"mzee mwenye wake na wana wengi alihosabiwa kuwa mkwasi kwelikweli" tambua mbinu mbili za kimtindo katika dondoo hii 2,fafanua jinsi maudhui ya utamaduni yalivyojitokeza katika riwaya hii 3,jadili jinsi mwandisi alivyotumia mbinu ya uhuishaji katika riwaya
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
1
answer
Fasiri jinsi maudhui ya mabadiliko yalivyoijenga riwaya ya Chozi la Heri.
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
1
answer
"Naona awamu hii kama asemavyo mwalimu, wingu la mabadiliko limetanda "eleza muktadha wa dondoo hii
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
1
answer
"Na nani kasema viongozi waliopo hawajajikuna wajipatapo?" Eleza mukhtadha wa dondoo
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
1
answer
Jamii katika riwaya ya chozi la heri imebaidiwa (tenganishwa) na utabaka. Tetea kauli hii.
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
0
answers
"Wote wake na waume wapewe nafasi sawa". Fafanua sifa mbili za mnenaji.
asked
Jul 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
0
answers
weka dondoo hii katika muktadha wake "wote wake na waume wapewe nafasi sawa"
asked
Jul 20, 2021
in
Chozi la Heri
by
adiona
chozi la heri
0
votes
1
answer
Jinsi maudhui ya umaskini yamejitokeza katika chozi la heri
asked
Jul 20, 2021
in
Chozi la Heri
by
nturibi
chozi la heri
0
votes
0
answers
Jadili mambo yaliyofuatilia kutawazwa kwa Musumbi katika riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 19, 2021
in
Chozi la Heri
by
Hopekendi
chozi la heri
muktadha wa dondoo
0
votes
1
answer
Weka dondoo katika mukhtadha wake "Hili ni wingu la kupita na bila shaka wingu la kupita halipaswi kumtia mkulima matumaini"
asked
Jul 11, 2021
in
Chozi la Heri
by
dayaone
chozi la heri
0
votes
1
answer
“Haidhuru kuwa huenda wimbo huu unawaghasi waliolala. Atakalo mwimbaji huyu ni kutakasa hisia zake.” Bainisha jinsi mrejelewa alivyotakasa hisia zake kwenye wimbo wake kwa mifano mwafaka.
asked
Jul 6, 2021
in
Chozi la Heri
by
anony mous
chozi la heri
riwaya
kuandika
0
votes
1
answer
“Vipi binadamu anavyoweza kuyazoa maji yaliyomwagika?"
asked
Jul 6, 2021
in
Chozi la Heri
by
anony mous
muktadha wa dondoo
chozi la heri
0
votes
2
answers
"Kuukata mkono niliostahili kuubusu yalinifika ya kunifika"
asked
Jul 5, 2021
in
Chozi la Heri
by
Rowlingso
chozi la heri
0
votes
1
answer
Tathmini umuhimu wa mbinu zifuatazo katika kuijenga riwaya ya Chozi la Heri : Barua
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
chozi la heri
riwaya
0
votes
1
answer
Tathmini umuhimu wa mbinu zifuatazo katika kuijenga riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
riwaya
chozi la heri
0
votes
1
answer
Jadili kwa hoja nane suala la ukoloni mambo leo lilivyoshugulikiwa katika riwaya ya Chozi la Heri
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
riwaya
fasihi
chozi la heri
0
votes
1
answer
‘…familia yake bado inamiliki mashamba ya michai na mibuni pamoja na mashirika mengi…’
asked
Jul 2, 2021
in
Chozi la Heri
by
anonymous
riwaya
chozi la heri
0
votes
1
answer
"Mara moyo unaanza kumwenda mbio na vipapasio vya akili yake kusimama wima. Anajihisi kama anayetarajia kuanza kinyang'anyiro kikali cha upiganaji masumbwi. Kwa mbali anasikia mbisho hafifu ... Anatoka nje kwenda kuitikia mbisho huu ... Mara anasikia moyo wake ukimwambia, "Yako ya arobaini imefika," ...
asked
Jun 21, 2021
in
Chozi la Heri
by
anony mous
riwaya
kuandika
chozi la heri
Page:
« prev
1
2
3
4
Welcome to EasyElimu Questions and Answers, where you can ask questions and receive answers from other members of the community.
Categories
All categories
Mathematics
(632)
English
(287)
Kiswahili
(559)
Chemistry
(663)
Physics
(604)
Biology
(659)
Geography
(537)
History
(568)
CRE
(365)
IRE
(53)
Agriculture
(519)
Business Studies
(379)
Computer Studies
(20)
Home Science
(60)
General Questions
(432)
6.4k
questions
9.6k
answers
6
comments
590
users
...