Kiswahili mufti Schemes of Work Class 6 Term 3 2020/2021

Rate this item
(1 Vote)
                     KISWAHILI SCHEMES OF WORK            STD 6       MUHULA WA  3       2020/2021
JUMA KIPINDI FUNZO MADA SHABAHA SHUGHULI ZA MWALIMU NA MWANAFUNZI ASILIA (Kiswahili Mufti) NYENZO MAONI
1                                        Kufungua: Mazoezi na Marudio
2      1 Ufahamu Punda wa Kitumtu Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa maneno magumu
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 203-206 maelezo kitabuni  
 2 Sarufi Ngeli kwa ngeli  Mwanafunzi yapaswa:
Matumizi na kuelewa Ngeli kwa ngeli
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 206-208 maelezo kitabuni   
 3 Kusikiliza na kuongea   Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa msamiati na Matumizi ya kugha
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali 
Kiswahili Mufti uk 208-209 maelezo kitabuni   
 4 Kuandika Imla  Mwanafunzi yapaswa: 
Ajihusishe na kuelewa
Kuandika
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 209  maelezo kitabuni   
 5 Msamiati Ala za muziki  Mwanafunzi yapaswa: 
Kuelewa Ala za muziki
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 209-211  maelezo kitabuni   
3      1 Ufahamu Fahari yetu Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa
Kuandika
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk. 212-214  maelezo kitabuni   
 2 Sarufi  Ngeli kwa ngeli Mwanafunzi yapaswa: 
Kuelewa na kutumia Ngeli kwa ngeli
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk. 214-215 maelezo kitabuni   
 3 Kusikiliza na kuongea  Methali
Makala:Redio 
Mwanafunzi yapaswa:
Kusikiliza na kuongea 
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 215-216 maelezo kitabuni   
 4 Kuandika Marudio:Insha ya masimulizi Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha ya masimulizi
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 216 maelezo kitabuni   
 5 Msamiati Mazoezi na marudio Mwanafunzi yapaswa:
Kufanya mazoezi na marudio
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 217-218 maelezo kitabuni   
4      1 Ufahamu  Wazimu barabarani Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa maneno magumu
  • Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 219-222 maelezo kitabuni  
 2 Sarufi Mkato wa maneno Mkato wa maneno
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 223-224 maelezo kitabuni  
 3 Kusikiliza na kuongea Mchezo wa kuigiza-kipindi cha runinga Mwanafunzi yapaswa:
Mchezo wa kuigiza
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 224-225 maelezo kitabuni  
 4 Kuandika  Mtungo Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika mtungo kuhusu ukame
  • Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 226 maelezo kitabuni  
 5 Msamiati Zoezi Mwanafunzi yapaswa:
Kufanya zoezi mseto
  • Kusoma na kuandika
  • Mazoezi ya ziada, Maswali
Kiswahili Mufti uk 226-227 maelezo kitabuni  
5      1 Ufahamu Fahari Yetu Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa
Kuandika
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 212-214 maelezo kitabuni  
 2 Sarufi Ngeli kwa ngeli Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa na kutumia Ngeli kwa ngeli
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 214-215 maelezo kitabuni  
 3 Kusikiliza na kuongea Methali
makala:Redio
Mwanafunzi yapaswa:
Kusikiliza na kuongea
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 215-216 maelezo kitabuni  
 4 Kuandika Marudio:Insha ya masimulizi Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha ya masimulizi
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 216 maelezo kitabuni  
 5 Msamiati Mazoezi na marudio Mwanafunzi yapaswa:
Kufanya Mazoezi na marudio
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 217-218 maelezo kitabuni  
6      1 Ufahamu Uadilifu wa adili

Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Uadilifu wa adili

  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 235 maelezo kitabuni  
 2 Sarufi Mkato na vimilikishi umoja na wingi -ako na -enu (w-w) Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Mkato wa vimilikishi umoja na wingi -ako na -enu (w-w)
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 235-236 maelezo kitabuni  
 3 Kusikiliza na kuongea Vitendawili, mafumbo,methali na nyimbo Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Vitendawili, mafumbo,methali na nyimbo
  • Kusoma na kuandika
Kiswahili Mufti uk 236 maelezo kitabuni  
 4 Kuandika Insha Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha kuhusu mchezo unaopenda
  • Kusoma na kuandika
Kiswahili Mufti uk 236 maelezo kitabuni  
 5 Msamiati Marudio Mwanafunzi yapaswa:
ajihusishe na kuelewa kusoma
  • Kusoma na kuandika
  • Mazoezi ya ziada, Maswali
Kiswahili Mufti uk 236-239 maelezo kitabuni  
 7      1

Ufahamu Sarufi

Kusikiliza na kuongea

Michezo yetu

Mkato wa vimilikishi vya nafsi ya tatu, umoja na wingi -ake,-ao (y-z)

Maigizo na majadiliano

Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa
Kuandika
Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Mkato wa vimilikishi vya nafsi ya tatu, umoja na wingi -ake,-ao (y-z)

Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Maigizo na majadiliano

  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 240-243 maelezo kitabuni  
 2

Kuandika


Msamiati

Insha

Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha kuhusu mchezo unaopenda


Mwanafunzi yapaswa:
ajihusishe na kuelewa kusoma

  • Kusoma na kuandika
  • Kusoma na kuandika
  • Mazoezi ya ziada, Maswali
Kiswahili Mufti uk 245-249 maelezo kitabuni  
 3

Ufahamu 
Sarufi

Kusikliliza na kuongea

Nyani waliopanda farasi

Mkato wa vimilikishi vya nafasi ta tatu, umoja na wingi        -ake, -ao (w-wz)

Mazingira yetu

Mwanafunzi yapaswa:
Kusoma na kuelewa
Kuandika   
Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Mkato wa vimilikishi vya nafasi ta tatu, umoja na wingi       -ake, -ao (w-wz)

Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Mazingira yetu

  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
  • Kusoma na kuandika
    Zoezi, Maswali
Kiswahili Mufti uk 250-254 maelezo kitabuni  
 4

Kuandika

Msamiati

Imla

Tarakimu 

Mwanafunzi yapaswa:
Kuandika Insha kuhusu mchezo unaopenda


Mwanafunzi yapaswa:
Kuelewa Msamiati

  • Kusoma na kuandika
  • Kusoma na kuandika
  • Mazoezi ya ziada, Maswali
Kiswahili Mufti uk 255-256 maelezo kitabuni  
 5                                           Sura ya Kumi       
8                                   Mazoezi na marudio, maandalizi ya mtihani wa mwisho wa muhula        
9                                         Mtihani wa mwisho wa muhula na kufunga        
Read 899 times Last modified on Tuesday, 25 May 2021 07:24

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.