KISWAHILI KARATASI YA 1 - 2017 KITUI MOCK EXAMINATION

Share via Whatsapp

 

  1. Insha ya lazima
    Wewe ni mkuu wa Polisi Idara ya Trafiki Wilaya ya Muembe Mmoja. Kutokana na visa vingi vya ajali barabarani, waandikie ilani madereva na wananchi katika Wilaya yako kuhusu kutozingatia sheria za trafiki. Ilani hii itokee katika gazeti la ‘Sauti’.
  1. Vijana wengi nchini hawana ajira. Jadili mbinu mbalimbali za kubuni nafasi za kazi nchini Kenya kwa vijana.
  1. Mchuma janga hula na wakwao. Andika kisa kudhibitisha methali hii.
  1. Andika Insha inayoanza kwa maneno yafuatayo:
    Nilipowakumbuka wenzangu, macho yaliingia kiwi, machozi yakanilengalenga…
Join our whatsapp group for latest updates

Download KISWAHILI KARATASI YA 1 - 2017 KITUI MOCK EXAMINATION.


Tap Here to Download for 50/-




Why download?

  • ✔ To read offline at any time.
  • ✔ To Print at your convenience
  • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

  • easyelimu app
  • Telegram
  • facebook page
  • twitter page
  • Pinterest