- UFAHAMU
- Mashirika yasiyo ya kiserikali huleta maendeleo muhimu humu nchini. 1 x 2 = 2
-
- Miradi ya kupambana na ugonjwa wa ukimwi
- Miradi ya maji ya kunywa
- Miradi ya kilimo
- Miradi ya uhifadhi wa mazingira
- Miradi ya ufadhili wa masomo 5 x 1 = 5
- Kwa sababu walaghai wa kitaalamu wameingilia sekta hii na kuwapora wafadhili pesa zao. 1 x 2 = 2
-
- Kupitia uandishi wa mapendekezo ya miradi isiyokuwepo
- Kutumia pesa kwa njia ambazo hazikukusudiwa
- Viongozi wa mashirika huzuru mataifa ya kigeni kwa kisingizio cha kuhudhuria makongamano ya maendeleo
- Baadhi ya mashirika hutumia pesa nyingi kwa masuala ya uatawala na usimamizi 4 x 1 = 4
-
- walaghai – Wadanganyifu, wajanja
- kuwapora – kuwanyanganya 2 x 1 = 2
- MUHTASARI
-
- Yaliyomo kwenye mtaala ni mengi mno
- Mtaala ni mzigo mzito kwa wanafunzi
- Unaegemea mtihani 3 x 1 = 3 + 1(mtiririko) = 4
-
- Wanafunzi hufika darasa la tano bila kujua kusoma kazi ya darasa la pili
- Baadhi ya wanafunzi hukamilisha darasa la nane bila kupata maarifa ya kimsing
- Madarasa hayatoshi japo yamejengwa
- Idadi ya wanafunzi ni kubwa sana
- Walimu walioajiriwa hawatoshi
- Idadi ya walimu kwa wanafunzi ni kubwa sana
- Ufisadi
- Wanafunzi hawana msukumo wa kusoma
- Ukosefu wa vifaa vya kusoma kama vitabu
- Mfumo wa kikasuku kwani watoto hawajui chochote nje ya mtihani 9 x 1 = 9 + 2 (mtiririko) = 11
-
- MATUMIZI YA LUGHA
- Hewa kutoka mapafuni na kupitia mdomoni lakini kiasi cha hewa hii hupitia kwa pua. 1 x 2 = 2
- ‘ka’ ya mtiririko / mfuatano / mfululizo wa vitenzi. 2 x 1 = 2
- Kivumishi – Vitabu vile ni vyake
Kiwakilishi – Vile ni vyake
Kielezi – Alipika vile alivyoagizwa 3 x 1 = 3 - Kanisani ndimo wapatikanapo wezi. 1 x 1 = 1
-
- Mvua ilipopusa baba alienda kondeni 1 x 1 = 1
- Majoka yale yaliyauma matoto makono 1 x 2 = 2
- Chakula kimepikwa na mama 1 x 2 = 2
-
- Uwezekano wa jambo kufanyika – Chakula kimepikika
- Mtenda hadhihirishwi katika sentensi – Kiti kimevunjika 1 x 2 = 2
-
- Amkeni – Kushurutisha watu wengi
- Dukani – Kuonyesha kielezi cha mahali 2 x 1 = 2
-
- Kasisi alitushauri kuwa ilifaa tuziache tamaduni ambazo hazitufai
- Kasisi alitushauri tuziache tamaduni zisizofaa 1 x 2 = 2
-
- Mtoto alikuwa amelala (TS)
- Mtoto alikuwa kitandani (t)
-
- ‘Ngali’ – Hakuna matumaini / uwezekano wa kumwona / wakati wa kitendo umepita.
- Kuna uwezekano / matumaini 2 x 1 = 2
-
- Hali ya mazoea
- Hali isiyodhihirika 2 x 1 = 2
- Mara kwa mara 1 x 1 = 1
- Weka shadda katika maneno haya
- mtoto – m’toto
- mto – ‘mto
-
- Silabi funge ni silabi inayoishia kwa konsonati mfano Muktadha labda
- Silabi wazi ni silabi inayoishia kwa irabu / vokali kwa mfano mama 2 x 1 = 2
-
- Jua – Juvya
- Kana – Kanya 2 x 1 = 2
- Ni – nafsi
ta – wakati ujao
m – mtendwa
tafut – mzizi
ish – kauli ya kutendesha
a – kiishio 6 x ½ = 3 - Alipata pigo kubwa alipoambiwa kuwa figo yake haifanyi kazi Kadiria majibu ya wanafunzi
-
- Alaye
Ampigaye 1 x1 = 1
- ISIMU JAMII
-
- Kiswahili kama lugha ya kibantu.
Kiswahili ni lugha asili ya wabantu - Kiswahili kama lugha ya mseto.
Kiswahili ni lugha ya mseto iliyotokana na mwingilino wa wabantu na waarabu wakati wa enzi za biashara ya utumwa. - Kiswahili ni lugha ya kiarabu
Kiswahili ni lugha iliyoletwa na waarabu waliofika katika pwani ya Afrika mashariki kwa minajili ya biashara. Zozote 2 x 1 = 2
- Kiswahili kama lugha ya kibantu.
-
- Biashara ya watuma
- Dini – kiswahili kueeneza ukristo na uislamu
- Vita – watu waliopigana katika vita vya kwanza na vya pili vya dunia
- Ukoloni – walikitumia kiswahili kwa wenyeji
- Wamishonari – walikitumia kiswahili kufundisha watu kusoma na kuandika
- Machapisho – vitabu na majarida
- Vyombo vya habari kama vile magazeti na redio. Zozote 4 x 2 = 8
-
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download KISWAHILI KARATASI YA 2 Marking Scheme - 2017 KITUI MOCK EXAMINATION.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students