Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Form 3 End Term 3 2022 Exams

Share via Whatsapp

MASWALI

 1. SWALI LA LAZIMA
  Wewe ni miongoni mwa wanafunzi viongozi shuleni mwenu.Umeteuliwa kama katibu wa kamati ya wanafunzi hao wanaotayarisha siku ya wazazi. Andika ratiba mliyoitayarisha na kuwasilisha kwa mkuu wa shule kwa mahidhinisho.
 2. Ni jukumu la wananchi kusababisha maendeleo si viongozi.Jadili
 3. Kikulacho ki nguoni mwako.
 4. Malizia kwa ..............................Unaweza kukisia nilivyofurahi kuona paa la nyumba yetu.

SCHEME

 1. Kichwa
  • Shughuli
  • Wakati
  • Tarehe
   Kichwa kianze
   Ratiba ya siku ya wazazi.................
   Baadhi ya shughuli.
  • Kuwasili kwa wazazi /wageni.
  • kusajili kwa wageni
  • Wanafunzi kupata chakula cha mchana.
  • Shughuli kuanza rasmi.
   1. Ufunguzi –Mwalimu mkuu.
   2. Hotuba mbalimbali
    - Mwenyekiti wa wazaz(P.T.A)
    (Muungano wa wazazi na walimu)
    - Mwenyekiti wa Halmashauri ya shule (B.O.M)
   3. Burudani –vikundi mbalimbali vya wanafunzi.
   4. Utoaji wa zawadi
    - Wanafunzi bora kidato 1-4 katika masomo.
    - Wachezaji bora.
    - Walimu.
   5. Ulaji
    - Wazazi.
    - Walimu na wageni.
   6. Wazazi kukutana na wanao.
   7. Wazazi /wageni kuondoka kwa hiari yao.
 2.                    
  • Swali la kujadili.
  • Mtahiniwa lazima aunge mkono kauli hii hata kama ni kwa kutumia hoja moja pekee.
  • Anaweza kuungama mitazamo/mielekeo ifuatayo:
   1. Kuunga mkona pekee.
   2. Kuunga mkono na kupinga kisha aonyeshe msimamo wake. Hoja za pande zote hazistahili kuwa sawa .
   3. Kupinga kisha aunge mkono kwa hoja moja/chache.
 3. Mtahiniwa ana uhuru wa kufanya yafuatayo:
  1. Kueleza maana bayana na batini ya methali.
  2. Kutoeleza maana.
  3. Methali yenyewe iandikwe kama kichwa wala si kisawe chake.
  4. Kutunga visa vingi ambavyo vinaoana.
  5. Kisa kimoja ambacho kimefumbata maana ya methali na matumizi yake.
   M.F
   Kikulacho huwa ndani ya nguo uliyoifaa
   mtz:
   Hutumiwa kutukumbusha kuwa mtu anayeweza kutudhuru ni yule anayetufahamu vizuri.
 4. Insha ya mdokezo.
  • Iwe na kichwa kinachooana na kimalizio.
  • Anaweza kutumia kimalizio alichopewa vile kilivyo popote pale katika insha yake.
  • Kisa na wahusika hai/ wenye sifa bainifu.
Join our whatsapp group for latest updates

Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Form 3 End Term 3 2022 Exams.


Tap Here to Download for 50/-
Why download?

 • ✔ To read offline at any time.
 • ✔ To Print at your convenience
 • ✔ Share Easily with Friends / Students


Get on WhatsApp Download as PDF
.
Subscribe now

access all the content at an affordable rate
or
Buy any individual paper or notes as a pdf via MPESA
and get it sent to you via WhatsApp

 

What does our community say about us?

Join our community on:

 • easyelimu app
 • Telegram
 • facebook page
 • twitter page
 • Pinterest