MAAGIZO
- Jibu maswali mawili .
- Swali la kwanza ni la lazima.
- Chagua swali jingine moja kutoka kwa matatu yaliyosalia.
- Kila swali lina alama 20.
- Kila insha isipungue maneno 400.
Maswali
- Wewe ni katibu wa jopo lililoteuliwa na waziri wa wa usalama nchini kutafiti sababu za ukosefu wa usalama katika nchi yako. Andika ripoti yako.
- Eleza vyanzo vya utovu wa nidhamu katika shule za upili nchini.
- Achanikaye kwenye mpini hafi na njaa.
- Andika insha itakayohitimika kwa ;Hapo ndipo nilipogundua kuwa mla nawe hafi nawe ila mzaliwa nawe.
INSHA
MWONGOZO WA INSHA
-
- Wizi.
- Dawa za kulevya.
- Ukosefu wa kazi .
- Umaskini.
- Migogoro ya ardhi.
- Kuvunjika kwa ndoa.
- Mafuriko.
- Ajali barabarani .
- Ukosefu wa vyelelezo wema.
- Dini.
- Ukosefu wa maji kwa sababu ya kiangazi.
-
- Matumizi ya dawa za kulevya.
- Wizi.
- Vyelelezo wabaya katika jamii.
- Uoga wa mitihani.
- Ukabila.
- Dini.
- Matumizi ya nguvu zaidi wakati wa adhabu.
- Kushiriki mapenzi kabla ya ndoa.
-
- Mtahiniwa atoe maana ya ndani na nje ya methali.
- Mtahiniwa atunge kisa cha kusisimua kitakachoafikiana na maana ya ndani ya methali.
- Mtahiniwa atunge kisa cha kusisimua na ni sharti kioane na kipengele cha kuhitimisha.
Join our whatsapp group for latest updates
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Download Kiswahili Paper 1 Questions and Answers - Form 3 Term 3 Opener Exams 2023.
Tap Here to Download for 50/-
Get on WhatsApp for 50/-
Why download?
- ✔ To read offline at any time.
- ✔ To Print at your convenience
- ✔ Share Easily with Friends / Students